WAJUE SUBA MKOLE KUNDI LA WANAMUZIKI NDUGU WAWILI WA BONGO FLAVA...NOMA SANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA









Suba mkole ni kundi lenye wasanii ndugu ambao ni salimu khamis Chris materials na ramadhani shabani wambua classic,maana halisi ya suba mkole ni uzao wa mababu zao ambao ni mzee suba na mkole,vijana hawa WaPo katika music yapata mwaka ,Wapo chini ya mdau aliye jitolea Kuwa Saidia(William riwa) baada ya kuona kipaji chao kikubwa walichonacho vijana hawa,wameshafanya ngoma nane studio mbalimbali,lakini wameachia ngoma tatu mpaka sasa ambazo ni suba mkole ,nisipokuona(mensen selekta)na sonde ft ney wa mitego(shedy clever)nyingine ni inyemba wamefanya na fidempa wa Uganda(mensen)nyingine I got love ft ney lee na bag dad(C9 record).na nyingine nyingi ambazo bado zipo studio,nivijana wenye future na mziki wanao Fanya....Ujio wao si wa kitoto ....More news about Suba Mkole to follow ..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad