PICHA ZA WAHAMIAJI HARAMU WALIO KAMATWA JANA MKOANI MOROGORO WAKIWA KWENYE GARI LILIBEBA CHOKAA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwa



Mmoja wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maskini, wanahangaika kuja tz kutafuta maisha wangejua nasis tunataka kupakimbia kwenda nje kutafuta,fursa,dah

    ReplyDelete
  2. Mmmhh never trust any one.. Wakikosa cha kufanya ni watu wabaya sana hao

    ReplyDelete
  3. Ama kweli,wakati watz wanataka kuikimbia kupitia mlangoni,waethiopia wanatamani kuingia kupitia dirishani!

    ReplyDelete
  4. Hahahahaaaaa...jamaa wajinga sana wanajua wakija. Bongo watapa gud life,hahahaaa wamechemka pakubwa,chapa fimbo wote rudisha kwao

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli we ndugu yangu wa juzi. nani kakwambia safari yao ni TZ. hao jamaa hapa ni njia tu,

      Delete
  5. Kila siku wagen wagen jaman hao wanaelekea angalo na south africa na msumbiji na kiraman hakuna ujaja wa kufika kusi mwa africa kutoka nchi za kaskazin ni lazima upite tanzania

    ReplyDelete
  6. Utajiri mkubwa wa angalo upo katika mikono ya wahabeshi hawa wailitrea so huwezi kwenda angalo bila ya kupitia tz hapa kwan ingekuwa rahisi kwao kuingia uganda kisha congo ya kinshasa je hao waasi si watawala nyama ndio kwao ss kimbilio tz than msumbuji wakifika tuu msumbiji biashara imekwishwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau angalo ndio wapi huko..? au unamaanisha Angola

      Delete
    2. This comment has been removed by the author.

      Delete
  7. Bongo ni transit tu hao wanaelekea bondeni kwa madiba.

    ReplyDelete

Top Post Ad