HURUMA: WASTARA AUMIA TENA MGUU...SOMA HAPA KWA TAARIFA ZAIDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANADADA anayeendesha maisha yake kwa kuPkupitia filamu za Bongo, Wastara Juma ameumia mguu baada ya kuwekewa mwingine mpya wa bandia huko Nairobi nchini Kenya. 

Akizungumza na paparazi wetu siku chache baada ya kurudi Bongo, Wastara alisema aliumia wakati akifanya mazoezi ya mguu mpya aliowekewa ambapo kwa sasa anaendelea kuuguza jeraha hilo na amerudi mara moja kwa ajili ya Sikukuu ya Idd, ikimalizika atarejea tena nchini humo kwa ajili ya matibabu zaidi.


“Nimeshindwa kula sikukuu mbali na watoto wangu ndiyo maana nikaja mara moja japokuwa siko vizuri kwa sababu niliumia kwenye mazoezi ya kutumia mguu mpya huko Nairobi  na sasa nauguza kidonda lakini baada ya hapo nitarudi tena Nairobi kwa ajili ya matibabu,” alisema Wastara.


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mungu akutie nguvu dada yangu

    ReplyDelete
  2. Polesana dada!MMungu atakuafu!

    ReplyDelete
  3. God bless u cs

    ReplyDelete
  4. Dah! Pole sana dada yetu Mungu akujalie nguvu upone.

    ReplyDelete
  5. Pole xana dada yetu. Ila jipe matumaini utapona kupitia uwezo wa mungu,kikubwa ni kumuomba tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad