WEMA, DIAMOND WAMTESA PENNY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Mwandishi Wetu

ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi kupitia wakati mgumu kama anaopitia sasa.

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na Penny, mwanadada huyo amekuwa akikosa amani kila anaposikia habari za Wema kurudiana na Diamond hivyo kuwa katika wakati mgumu.
“Watu wanapomwambia au kumuuliza Penny habari za Diamond kurudiana na Wema amekuwa akiumia sema tu watu hawajui,” kilisema chanzo hicho.
Hata hivyo, baada ya taarifa hizo kuwa habari ya mjini, mwishoni mwa wiki iliyopita, Penny alifunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anachokifanya ni kuhakikisha anamshikilia staa huyo wa Bongo Fleva hadi hapo Mungu atakapoamua vingine.

“Katika uhusiano niliowahi kuwa nao huu ni mgumu mno,” ilisomeka sehemu ya utetezi wa Penny aliouandika juu ya penzi lake na Diamond.


Hakuishia hapo kwani aliendelea kujitetea kwa wadau wake ambao walimjibu kuwa kinachoonekana anamhofia Wema ambaye akikita penzi lake kwa Diamond, kwa ustaa wake, atamfanya mwanamuziki huyo kuendelea kuliweka juu jina lake.
Katika maelezo yake, Penny alikiri kuwa mapenzi yanatesa lakini anaamini mateso hayo ni ya muda tu hivyo liwalo na liwe yeye anampenda Diamond.

Wiki iliyopita, Wema na Diamond waliripotiwa wakidaiwa kurejesha upya penzi lao lililozimika mwaka jana, jambo ambalo lilimpa Penny wakati mgumu huku akieleza kuwa anachoamini ni kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa penzi hilo.

Source:Globalpublishers
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

40 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Iwe amerudiana na wema au awe na demu mwingine yeyote ila ukweli ni kwamba penny hapendwi na diamond... Hizo video za b.day jamani kajiaibisha... Mm siko upande wa wema or any but all i can see iz therz no CHEMISTRY between penny and diamond..too fake.. Demu mshamba

    ReplyDelete
  2. Licha ya ushamba they are fakng each other too much, namuonea huruma penny cz anang'ang'ania hata afanywaje so as asiachike watu wakaongea

    ReplyDelete
  3. na badao kitaeleweka tu mbona mwak huu jamani chezea kujifanya mbutananga kumkamata mwanaume kwa madawa? Unalo shotiiiiii yetu macho coz vita umeitaka mwenyewe na hizo evidence unazozitaka soon zitakufikia tukuone tena utaropoka nini, note what goes up must come down

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahha chezea kuroga mtu ambaye na yeye mjanja wa hayo mambo.. Diamond ashatonywa na mtaalamu wake..lol penseli kwa kweli unalo.. Hahah king'ang'anizi..anataka washa. A/C kwenye bajaji..kiiiiruuuuuuu

      Delete
  4. Hizo video wanamuonyesha wema eti. Upuuzi mtupu very stupiu kwakeli wame act like kids. Moreover hawako married uzinifu tu ati wamepamba bed d loves p.ovyoo.

    ReplyDelete
  5. Mm nadhani zile video walizituma wakati wamelewa.. Maana huyo pennl kashupaa ka vuvuzela..
    Anagombana na mawifi kabisa kisa picha "piicha piiicha..""
    Aibu jamani mweeeh.. Sasa
    Na ile ya room ni nn..? Wat for?? Ikiwa na maana gani...? Ma mapambo ya maua..? Si wangeya
    Waga tu kwa bed instead of drawing..? Ushamba.com..
    Na mawifi ndo hao., now nnaelewa kwa nn wema alikuwa hapatani nao na kwa nn walikuwa wanamchukia., sidhani kama wema could keep up na huo uswahili.. Naapia na nina uhakika wema hawezi fanya utumbo kama huo na ndo maana wakamchukia.. Wanampenda pennyl sababu mswahili mwenzao., mshamba mwenzao.. Wema mama sasa naelewa ulichopitia madam., pole sana.. Haustahili kuwa na ukwe kama huo.. U are too way beter than that ., hata kama una kasoro zako hiyo familia haikufai kwa kweli.. Move on and never look bak. Hayo ni majanga.. Ikitokea unarudiana na diamond make sure you keep that family sa far as you can... Yani ni too much aiseeh.. Khaaa uswahili wa wapi huo jamani maana hainiingii akilini hadi sasa..

    ReplyDelete
  6. Sasa mm kilichonichekesha zaidi jamani huyo queen darlin anavyolazimisha camera woman aelekezee simu kwa diamond na wema.. Kashupaa mwenyewe.. Hahahhaha aisee nimekutana na uswahili wa manzese, ilala, msanga, n.k ila uswahili huu ni 1st grade.. Yani ushamba ni ugonjwa kwa kweli.. Na ninadhani hauna tiba.. Penniel licha ya kuwa mbaya ni mshamba wa kupindukia...,

    ReplyDelete
  7. penny ikiisha wino hua inagoma lkn watu wengi hawampendi xana speedo wawa2 cjui atacha mkorogo ili awe mweusi km mkaa au ndo atajibabua ngozi awe km mdori nyie wasichana nabado mtamvulia sana chupi domo.nakila anaemvulia chupi jamaa nimkundu kwani wanaume wengine hakuna mpaka huyo domo yaani nawewe wema km kweli najidomo wee utakua nitaahira jamani au huyo jamaa unampa goti nn maana hatuelewi au ana uboo mkubwa xana jamani ckio lakufa hilo

    ReplyDelete
  8. Pesa ni mwanaharamu kweli kweli kwa sababu kama Diamond angekuwa yule wa mwaka 2009 sidhani hata kama huyu Penny angemsogelea; ni vigumu kujua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau umeona heee,mwaka 2009 diamond asingegombewa kiasi hiki jamaniiii mapenzi siku hizi Kama huna pesa utasubiri saaaana,my baby my baby,kisa dimondo Ana hela na majumba.ujumbe Kwa diamond,hupendwi jinsi ulivyo ni Mali ulizonazo babu weee.

      Delete
  9. Ki diamond chenyewe cha ajaabu pomoja na pesa alizonazo ila anaonekana too much mswahili na mshamba hapo wanawake wanataka pesa na fame yake tuuuu na wewe wema achaga basi kujichoresha huyo diamond hakufai ur too much better than him i wish ungetoka hata na izzo business yuko poa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli ki mtu chenyewe ovyooooo

      Delete
    2. Kweli ki mtu chenyewe ovyooooo

      Delete
    3. Pesa mama,ukiwa na pesa hata ukiwa na chongo watu watasema ni kengeza.

      Delete
  10. Peny hizo picha kama mlemavu asiye na shingo bichwa sasa doooh ilikuwa kidogo uwe mbilikimo mwili wako siuelewi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaaaa MUNGU ATUSAMEHE ILA PENNY HATA MI SIMUELEWAGI HIVI SHINGO YAKE KAMA IMEZIDIWA NA KICHWA..YAANI ANA SHINGO FUPI INAYOMFANYA AZIDI KUONEKANA DWARF..KZ YA MUNGU LKN SIO KOSA LAKE!

      Delete
  11. Picha picha pichaaaa too much show off !!! Pole penninsula

    ReplyDelete
  12. Pole mama ulikua hujui kua hiki kizazi cha nyoka washakufunua tayar wanachapa raba

    ReplyDelete
  13. Hahaaa mi napita tu jaman,ila leo ndio nimeamin penny ana sura pana hahaaaaa....nikikumbuka na ile clip mi hoiii.nazan aliirusha halima kimwana ila penny kama penny asingeweza rusha ule ushuzi ni aibu kwakweli,na pale ndio kaizihirishia dunia kua anaforce mapenz,ila m,h ni aibu sana kuiba mpenz wa rafikiyo alafu warudiane mweh..byee nlikua napita tu,nasubiria picha lenyewe

    ReplyDelete
  14. ME MWENYEWE NASHANGAA,HUYO DOMO ANA KIPI HASA CHA KUZUZUA MADEMU WOTE HAO WAKALI WA TOWN HADI WAMVULIE CHUPI?! ME NADHANI HAKUNA DEMU ALIYETOMBWA NA DOMO AMBAYE HAKUFUATA UMAARUFU NA PESA! MBONA WANAUME WAZURI,TUNAYEJIHESHIMU,WENYE VIPATO VYETU TUPO KIBAO TU! WAJE TUWAPE MAPENZI YA KWELI!

    ReplyDelete
  15. ME MWENYEWE NASHANGAA,HUYO DOMO ANA KIPI HASA CHA KUZUZUA MADEMU WOTE HAO WAKALI WA TOWN HADI WAMVULIE CHUPI?! ME NADHANI HAKUNA DEMU ALIYETOMBWA NA DOMO AMBAYE HAKUFUATA UMAARUFU NA PESA! MBONA WANAUME WAZURI,TUNAYEJIHESHIMU,WENYE VIPATO VYETU TUPO KIBAO TU! WAJE TUWAPE MAPENZI YA KWELI!

    ReplyDelete
  16. I hate that andunje penny for sure,i cant wait cku atakapoachika,..msaliti mkubwa sura kama mfuniko

    ReplyDelete
  17. Kugwi hapo ni halima kimwana mtu mzima afanya mambo ya kitoto. Kajitokeza kwenye camera nawatuache tulale mie natizama hilo jisura lake na meno hayajulikani ni mwanya au pengo.hahaha shombo. Naajifunze kuvaa nguo kutokana na body yake

    ReplyDelete
  18. Ndugu yangu diamond, iv unadhani hawa wanawake wanakupenda kweli?mi naamn ww unayajua maisha ya aina 2,yakula mtembele na yakula baga, na kabla hujawa sta nina hakika wanawake wliikutesa sana kimapenzi,kabla hujawa staa kuna mwanamke yyt alishawai kutishia wat kua atawaloga kwa7bu yako?heb jiulize

    ReplyDelete
  19. TEAM Wema mpo????kuna kidemu kinajiita bad as wanna b insta kinampiga wema vijembe eti anaendesha magari bila kadi,si bora wema kuliko wewe unatombwa na wanaija hovyo mara wanamuziki mara wacheza mpira na kuhongwa hela ya kununua nguo na viatu pole utabadilisha sana mboo ila kufikia maisha ya uboss lady bado sana unahongwa dola mia mia mpaka umfikie wema sepetu ni leo kisa eti ulikuwa demu wa chaz baba mxiuuuuuu

    ReplyDelete
  20. wema mdogo wangu achana na domo kwanza akufai anamfaa huyo penny mbaya kana shingo fupi kajichubua anafikiri ndio atapendwa kwanza wanaendana na dioamond waache awapendezi ata kidogo loooh. wema yupo juu bwana wewe penny usijilinganishe na wema ata kidogo acha

    ReplyDelete
  21. Huyo Wema yuko juu nini? Ndiyo hivyo tena Diamond ndiyokeshamgalagaza na uclass wake kwani hao wa class yake hawaoni? Mara Jumbe mara Chaz baba hana lolote,ye mwenyewe hajieshimu ndio maana hao watu wa class hawapati. Dushelele halina uclass bana!

    ReplyDelete
  22. Sahivi lulu wolper wako upande wa peny wema una maadui sana ishi kwa umakini mkubwa

    ReplyDelete
  23. Problem is kila mtu anaongea negative kuhusu penny na wema and what about diamond him self..
    Ukiangalia tatizo na chanzo ya yote ni diamond na si penny au wema,Koz jamaa uasherati na wanawake ni party of hom self na atujui wengine anaolala nao..off course Yes ata akiwa na mke jamaa atoacha kwenda na wanawake wengine koz kwake ndo imeshakuwa game na he find funny him self na isitoshe lot of fool girls wanambabaikia..Na penny my dear jst 4 gud if u see hayo mapenzi doesn't work out then move pn na tafuta mpenzi mtaependana na mtakaelewana koz looks like hio relationship na jamaa ni kujiforce tuu and end of time wasting time,pain,stress and loose your mood in manything..Soo my dear penny watch ur move.

    ReplyDelete
  24. Problem is kila mtu anaongea negative kuhusu penny na wema and what about diamond him self..
    Ukiangalia tatizo na chanzo ya yote ni diamond na si penny au wema,Koz jamaa uasherati na wanawake ni party of hom self na atujui wengine anaolala nao..off course Yes ata akiwa na mke jamaa atoacha kwenda na wanawake wengine koz kwake ndo imeshakuwa game na he find funny him self na isitoshe lot of fool girls wanambabaikia..Na penny my dear jst 4 gud if u see hayo mapenzi doesn't work out then move pn na tafuta mpenzi mtaependana na mtakaelewana koz looks like hio relationship na jamaa ni kujiforce tuu and end of time wasting time,pain,stress and loose your mood in manything..Soo my dear penny watch ur move.

    ReplyDelete
  25. HAO WOTE WAZINIFU WAKONGWE.niite ORUJONJOMOGO

    ReplyDelete
  26. Mamaaaaa lulu mbona ameshatwmbea na dimondo?hivi huu ushoga wa siku hizi vipi?lulu katembea na bwana wa mercy galabawa pia.hivi penny na lulu ni mashoga?du kipindupindu kikianza tutatafutana wengi.hivi diamond una mdudu wa ngono?mbona Malaya kupita maelezo?Kama unampenda penny tuliaaaa.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushoga wa kinafki lulu anamchukia wema,plus pen na wolper hivyo wameungana ! Wema be careful hata huyo kajala simuamini kabisa

      Delete
    2. Wema hawamuzi hao wote atawakizichanga nado ukija kwenye kichwa bado. wolper na penny wanasagana lulu pia anasagwa. Wema unamfananisha na wolper teja yule.

      Delete
  27. heeeeee jamani kujulikana kubaya duuuuuuuu poleni

    ReplyDelete
  28. halima kimwana umeshazeeka halafu mbayaaaaaa astaghfirullah poooo halafu unajitia kundini na kulazimisha kuwa wa mjini nenda kijijini mama. na huyo fake wifi yako penny nyote wabayaaaa halafu mnajishauwa loooooooo.

    ReplyDelete
  29. Mwambie asipanick kiasi hicho atakuja kufa kwa ugonjwa wa moyo bureeeee

    ReplyDelete
  30. jamanieeeeee hata penny mrembo lakini wema she is miss people heart yani mzuri wa sura umbo roho sijui nisemeje wema you are great and i admire you diamond anakosea sana kuishi na penny huyu pennyu akatafute makafiri wenzie we abdul naseeb funga ndoa na wema bwana

    ReplyDelete
  31. WE.PENNY KUMA LAKO CHAFU KAHABA MKUBWA ETI UNAUMIA DAIMOND WAKO..KUMAMAKO.

    ReplyDelete

Top Post Ad