BABA DIAMOND ACHEKELEA MWANAYE KUMRUDIA WEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Gadness Mallya

Baba mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa amejikuta akiangua kicheko ‘hevi’ baada ya kusikia taarifa za mwanaye kurudiana na aliyekuwa zilipendwa wake, Wema Isaac Sepetu.

Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Baba Diamond alisema alifurahishwa mno na hatua ya mwanaye kurudiana na Wema kwani ndiye mwanamke anayejielewa na ana nyota kali tofauti na warembo wengine aliowahi kuwa nao.

“Wema ni mwanamke mwenye nyota kali sana na anapendwa na wengi. Siyo kama hao akina sijui Penny (Penniel Mungilwa).


“Hana majivuno hata mimi nilisema mwanzoni walipoachana kuwa Diamond alipoteza bahati lakini sasa naamini atafika mbali zaidi kwani kama siyo kuachana kwao, Diamond angekuwa mbali,” alisema.


Hata hivyo, alimtaka Diamond kutulia na Wema kwani ndiye mwanamke sahihi kwake na aepuke kutangatanga kwani atashindwa kufanya mambo ya maana yatakayomuwezesha kuwa juu zaidi ya hapo alipo kwa sasa.


Hivi karibuni Diamond alithibitisha kurudiana na Wema wakiwa China lakini alipotua Bongo akaendelea na uhusiano wake na Penny hivyo kuwaacha mashabiki wake njiapanda

Source:GPL

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani plzzzz muache kuandika habari yeyote imuhusuyo wema for the time being.. Hvi nyie mnakuwaje.? Mnajua anapitia wakati gani sasa hvi..? Mtu anaomboleza msiba wa babake nyinyi mnaweka upuuzi wenu huu.. Unataka watu waje kucoment nn sasa hapa.. Grow up ww admini.. Heshima kitu cha bure.. Wiki hii plzzz she needs a break..!! Hauna hata mshiba wa aibu.,

    ReplyDelete
  2. huyu baba domo inaelekea alikua kibaka,,,,chek mikono ilivyo na nakoz

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahah... u made my day dawg...

      Delete
  3. We mchangiaji wa kwanza hebu tumia akili yako kwanza unapozungumza mambo inamana ukifiwa ndo maisha mengine hayarndelei after all hajazungumzwa kwa ubaya hapa, kifo na mapenzi ni haki ya mwanadam ucjipachike akili na utu usiokutosha na kuwaona wengine wajinga ndg yangu.

    ReplyDelete
  4. We mchangiaji wa kwanza hebu tumia akili yako kwanza unapozungumza mambo inamana ukifiwa ndo maisha mengine hayarndelei after all hajazungumzwa kwa ubaya hapa, kifo na mapenzi ni haki ya mwanadam ucjipachike akili na utu usiokutosha na kuwaona wengine wajinga ndg yangu.

    ReplyDelete
  5. Msamehen admin ana uwezo mdogo. Tunaomba mkurugecy atubadiliahie huyu admn

    ReplyDelete
  6. Wema Mkali She Is So Beautifull It's Right Baba Domo Kusmile..!MR LOVE

    ReplyDelete
  7. MUMEONA SASA NYIE UDAKU SPESHELI KUNA MTU BAADA YAKUTOWA MAONI KAANZA KUMCHUNGUZA BABA WA WATU ACHENI UMBEYA WENU

    ReplyDelete
  8. acheni pumbavu zenu babake wema akujia wapi kwa mahusiano ya dai ?
    ukishidwa kureason fiata ndomo

    ReplyDelete
  9. Duuuu mbooo ikitoka kuchovya Kwa wema inaenda kuchovya Kwa penny,kweli penny kagoma kuachia majumba ya nasib Kama alivyosema mwanzo wamechuma wote.

    ReplyDelete
  10. Nyie Waislam amna miiko si ualalishe wote?

    ReplyDelete
  11. baba wema yuco right sana maana wema she is beautfull...... but pensel yuko kama hayuko.... wema we are sory 4uar dad .......
    \

    ReplyDelete
  12. baba naseeb yuko right kuhusu wema ni mzuri lakini penseli yuko km hayuko she is ugly.........wema we are sory 4uar dad

    ReplyDelete
  13. Safi sana baba diamond wema mkali.

    ReplyDelete
  14. kweli mze. wema is beauty onyinye,cute
    na alivumilia mengi kwa domo

    ReplyDelete

Top Post Ad