BONGO MOVIE WAMTENGA WEMA MSIBA WA BABA YAKE.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KATIKA hali isiyotarajiwa katika wasanii wanaounda kundi la Bongo movie wamejikuta wakijitenga kushiriki msiba wa Baba mzazi wa msanii mwenzao Wema Isack Sepetu, baada ya kuundwa zengwe na mmoja wa watu wenye ushawishi katika kundi hilo, Wema akiongea kwa uzuni amesema kuwa hata wale waliofika jana katika msiba huo hawakufika kwa ajili ya kumfariji bali walifika kwa ajili ya kumsanifu. 

FC ilifanya utafiti ili kubaini hilo kwa kuwapigia simu baadhi ya wasanii wanaotoka katika kundi hilo nao bila kusita kwa masharti ya kutotajwa majina walitiririka kwa kusema kuwa ni kweli uongozi wa kundi hilo umetoa agizo watu wasishiriki kutokana na tabia ya msanii huyo kutoshiriki katika misiba ya wasanii wenzake.
“Ni kweli hilo lipo na lina ukweli kwa njia moja au nyingine Wema bwana huwa hashiriki katika misiba ya wasanii wenzake, kuna mtu muhimu sana na ana sauti katika kundi la Bongo Movie amesema kuwa katika misiba iliyotokea ameshiriki misiba miwili tu, wa marehemu Sharo na Kanumba kwa sababu alikuwa mtu wake,”anasema kijana huyo.
Hili si jambo la kulifurahia kwa wasanii kwani halijengi bali linaleta mgawanyiko wa moja kwa moja, msanii mwingine alikiri kuwa Wema anabagua kushiriki misiba kwani wakati amefariki marehemu John Maganga alipigiwa simu ili ashiriki katika msiba lakini alisema yupo Location, hivyo wasanii wenzake wanamtenga ili aone umuhimu wa kushiriki misiba ya wenzake.

Jana jioni nyumbani hakukuwa na wasanii zaidi ya mtangazaji wa kipindi cha Take One Zamaradi Mketema akiwa na Rais wa shirikisho la wasanii Simon Mwakifwamba na waombolezaji wengine, huku baadhi ya wasanii wakifika pale na kuondoka jambo ambalo Wema alilitafsiri kama walifika pale kutoa lawama ili asiwaone kama hawajafika lakini hawakuwa na dhamira ya kweli mioyoni mwao.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

54 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. awakufika msibani kwa sababu msiba ulikuwa hauna wali

    ReplyDelete
  2. Wivu unawasumbua bongo movies,acha kazi zao tuendelee kuzigonga copy na kuwanyonya hadi siku wawe na umoja.wema anapesa ndefu na ni star kinachowasumbua hawa bongo movie ni kuwa wanawivu na hawapendani wao kwa wao

    ReplyDelete
  3. Nyie bongo muv wasenge tu....mmekosa hata utu mnatangaza umaku wenu kbsa.....chupi chafu nyie.....pole wema mpnz!

    ReplyDelete
  4. Hata wasipoenda msiba wa mzee Sepetu ni wa kitaifa, tusubiri tuone wao wakifiwa kama Kikwete na viongozi wengine kama wataenda. Wivu utawaua...

    ReplyDelete
  5. Bongo muv mavi 2nyie ata mcpoenda hakiaribiki ki2,kwanza mko wanafiki sana...pole Dadaangu Mungu awe nanyi

    ReplyDelete
  6. Mzee Sapetu haitaj bongo movie kupumzishwa...ni mtu muhim ktk nchi hii so hta mcpoenda atahifadhiwa kwa heshima zote....Pole sana wema n ur family

    ReplyDelete
  7. kaenda kikwete,muheshimiwaaa na first lady....inahuuuu...bongo movie kitu gani banna tupa kuleeeeee,fyuuuuuuu

    ReplyDelete
  8. Daaaaaaaah.....! Jaman haya n maisha n wat i no n kwamba yanapta.,ko naomba km kuna tofaut kama hizi em zifutwe coz hazijengi juct kubomomoa nothing else,n km kwel Wema unabagua misiba y kuhudhuria nakat mpo kitengo kimoja cyo vizur coz u've 2no dat matatizo cyo y mmoja juct y @mtu hapa dunian,je unajickiaje kutengwa n wenzako...? Em achen izo jaman pendaneni&mshirikiane ktk shida n raha.,n Mungu atajaaria.

    ReplyDelete
  9. a2endi msibani mpaka aache kubagua msiba mingine kwan yy amekuwa nan hata akienda obama cc a2wez fika mcban

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chupi chafu tu nyie viraka......tuone kma kutifika kwenu kutafanya mzee sepetu ac zikwe....hamna mana

      Delete
    2. halafu nyie ndio wanafiki wenyewe wema kwenye misiba anaendaga,na hao bongo movie walikuwepo kwa msiba...nyoko zako

      Delete
  10. Diamond platnumz29 October 2013 at 21:50

    pole baby m ctoweza kufika kwa sababu nitakuwa na show inje ya nchi.na uyu peny ananing"ang"ania na mm cmtaki.i love u baby.pole kwa ichi kipind kigum

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha uhuni we co dimond nyoko wee

      Delete
  11. pole Wema na familia yote kwa ujumla. hao bongo movie waende wasiende wote ni choka mbaya tu. tuone kama wao wazazi wao wakifa kama kikwete ataenda. mazafanta. wote wanasumbuliwa na wivu hasahasa kina dada. poleni penye wivu hakuna ushindi

    ReplyDelete
  12. Hivi watanzania mmekuwa maspokesman wa Wema.kwenda msibani kwao au kutokwenda kunawahusu nini nyie.alalamike yeye sio nyie kupeana matusi bure kwenye mtandao.kumbe ndiyo maana wasenge na mashoga wamekuwa wengi bongo sababu mnapenda kujipendekeza kwa watu wenye hela matokeo yake mnafanyiwa mambo mengine.LEAVE WEMA FAMILY TO GRIEVE AND BURIED THEIR DAD IN PEACE,U WANNA SHOW YOUR SUPPORT GO AND JOIN THEM IF U CANT JUST SHUT UR FAT ASS

    ReplyDelete
  13. Uwii mnalipizia visasi mpaka kwenye misiba! Pole Wema usijali coz kumzika mtu nikujaaliwa kama bongo movie hawakuja kuwa na wewe katika kipindi hiki kigumu badi wewe chukulia kama hawa kajaaliwa tu

    Nyie bongo movie ubaya haulipizwi na ubaya! Sasa hapo mmemfunza nini Wema ? Au wenyewe ndio mnaona mmemkomoa! Hamjamkomoa bali mmeonekana wajinga na wakosa khuruma tu. R.I.P Mzee Sepetu

    ReplyDelete
  14. mother fucker hapo juu,,unaongea nn xaxa,,km unaona wanaongea pumba na ww umekuja kufnya nn humu,si ukakae na mama ako uko mchezeane atako,,,unajifanya unajuuua

    ReplyDelete
  15. Mtoto akinyelea paja huoshwa halikatwi. Sasa hao bongo movie kama wema kakosea wasingeli mlipiza. Hao kina jb riyama sijuwi basata kigosi steve nyerere.

    ReplyDelete
  16. Safi sana haka kamalaya kina nyodo sana, amwite domo aje amfariji kumamae zake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora yy anayewakumfarij....wew? Umalaya alianza nao mama yako ndo mana akakukunya wew hanic.. unavyosema kuma maye kwan mama yako ana shimo la mdako au? .....kma raha inyofoe hyo kuma ya mamayo uibandike usoni utembee nayo!

      Delete
  17. Wema wewe hujawahi kuja hata kwenye msiba mmoja wa wasanii wengine, kwanini tuje wa kwako? kufa kufaana, na bado usipoendelea kuja na wako mingine HATUJI!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu wewe kwanza inaelekea unamuonea wema donge

      Delete
    2. kwani mkienda nyie atafufuka ...kafieni mbele wasenge tupu...

      Delete
    3. Bora hamkwenda mngenukisha ushuzi bure, na ubishoo hakuna lolote Malaya nyie

      Delete
    4. We chiz wewe mbona hua anaenda jaman nlishamuona kwa msiba wa ngwair,kanumba na hata wa kashi au mlitakaje jaman?achen roho mbaya

      Delete
  18. kwani wasipoenda ni kwamba hatazikwa ama!

    ReplyDelete
  19. Kwani wangeenda angefufuka hawa waigizaji wa wapi washamba hivyo

    ReplyDelete
  20. Yote wivu tu! Angewaalika kwenda kwake kula mngejazana kama mafurushi ya nguo chafu. Badala mwende ndio apate kujifunza and next atakumbuka support zenu nakungundua kuwa alikuwa anakosea....ndio kwanza nyie mnamuonesha kwamba it's ok ! Watuwazkma Ovyoo, Pole Wema Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Aaamin

    ReplyDelete
  21. Unaweza ukawaona wati wanavaa wanapendeza kumbe kichwani hamna kitu. Hivi hata kwenda msibani mpaka muambiwe nendeni au laaa. But mtu akifa kuzikwa ni lazima kwani haijalishi wingi wa wahudhuriaji.

    ReplyDelete
  22. nasibu abdul aka diamond30 October 2013 at 06:13

    oooo my wife wema pole sana kwahiki kipindi kigumu mungu atakuafu achana nahao bngo movie kwanza cjawahi kununua ht kazi zao niko bze na shoo nikimaliza shooo nitatafuta sehemu twende nikutie mimba ili ikupozepoze na majonzi penny kila mumba ninayo mpa inatoka kwahiyo sina shughuli nae

    ReplyDelete
  23. Bongo movie na wasanii ni kioo cha jamii sasa wanatfundisha nini? Kweli unalipiza kisasi hadi kwenye msibaaa hii siyo harusi? Na sisi tutasusa kununua movie zenu na kuangalia tuone mtaishije mjini

    ReplyDelete
  24. Nyoo ukialikwa kwenda Kula na mifuko mnabeba yakuwekea kilichobaki ILA msiba mnaleta usenge wenu,pole sana dia wema mungu atakutia nguvu.

    ReplyDelete
  25. Nyie wapumbavu mnaojidai diamond subirini ya kwenu mnachezea misiba

    ReplyDelete
  26. ha ha ha umenifurahisha sana yaam nakumbuka walivyoalikwa kufuturishwa na wema walienda mpaka na bib zao ila kwenye msiba wanagoma@wivu na njaa

    ReplyDelete
  27. Hivi nani anababaisha mtu na kutohudhuria mazishi siku hizi ?! Tena Mimi huwa sipendi rundo la watu msibani familia ya wafiwa hawapumui kha ! Kampuni za maziko zipo ni pesa tu unamwaga kila kitu kinafanyika catering kibao pesa yako tu sasa nani anababaisha mtu na kuzira yani labda tu uwe huna cash ya kutosha ila Kama una cash hata wazire wote your loved one will be buried with no problems money talks

    ReplyDelete
  28. umeona eehe?mambwa hao naomba na wew mzee wa udaku utuwekee na alivyoagwa ili hao bongo movie waone,tena 2naomba muweke now jinsi alivyoagwa

    ReplyDelete
  29. Wanazuia nini sasa hao bongo movie upeo mdogo wa mawazo elimu hawana wanaishia kuburuzana tu.Tatizo wanapenda kuhudhuria misiba ya watu wa chini ili wauze sura sasa hapo nafasi hiyo hakuna ndio mana.Kufeni masikini nyie wema amewazidi kwa kila kitu.

    ReplyDelete
  30. Hakuna kuchangia hela ya jeneza hapo mbwaaaa wema tunakupenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa wameze wembe

    ReplyDelete
  31. Wapumbavu sana hao bongo movies. wenyewe kwa wenyewe kutwa wanasemana. mara huyu kajitoa mara huyu kafanywa hivi. wingine mibaba mikubwa pumbu kapu zima lakini akili zao hazijai hata kwenye kijiko cha chai. sasa munadhani muspokwenda ndo hangezikwa au! Wema hendi misibani kwa watu coz hajichanganyi na wanafik, anatoa pole kwa muda wake mwenyewe. pumbavu nyie na ndio maana asilimia 90 yao wanakaa kwenye vibanda vya kukodi kwa roho zao mbaya.

    ReplyDelete
  32. Jamani wana bongo movie hamkutakiwa kususa ila ilitakiwa muwe na vikao vya kuelezana na kukumbushana pale mtu anapokwenda sivyo. Hivyo hata huyo Wema mlitakiwa mumwekechi na kumweleza kwamba anastahili kuhudhuri kwenye shughuli mbalimbali na kujumuika na wenzake bila kuchagua au kutoa hudhuru siyokuwa ya lazima. Pia kwenye hicho chama chenu cha bongo movie ilitakiwa muweke fain kama mtu haja hudhuria kwenye shughuli na kapewa taarif basi apigwe fain au hata adhabu ya kuondolewa kwa miezi kadhaa. sasa hapo ingewajenga. ila msiwekeane Visasi hii ni dunia watu wote wanapita. Ushirikiano ni jambo la Kheri.

    ReplyDelete
  33. hali ya kawaida sana,KAMA YEYE HAEND MISISBA YA WENZAKE KWANIN WAENDE KUJIPENDEKEZA.
    NA WENGINE PIA MJIFUNZE,MTAAN KWETU KUNA MMAMA ALIFIWA ALIKUWA ANALALA NDAN MWENYEWE KISA YEYE KUHUDHURIA MISIBA YA WATU NI MWIKO

    ReplyDelete
    Replies
    1. BORA HAMKWENDA KWANI KIMEPUNGUA NINI, KILA KITU KIMEENDA SAWA NA WAGENI WA KITAIFA NDIO HAO MLIOWAONA, HUU NI MSIBA WA KITAIFA, MAJIRANI NA WATU WENGINE KIBAO. NYIE VINUKA MKOJO KAENI MBALI.

      Delete
    2. huna hata haya, kama ingekuwa haina umuhimu angeongea nini.
      atajifunza kijifanya watu wajipendekeze akipata matatizo.
      ETI WAGEN WA KITAIFA, HAO NI WAMEKUJA KWA AJILI ALIKUWA KKIONGOZI YEYE JE WENZIE UNAFIKIRI HAITAMUUMA?
      DAI ALIKUWEPO?

      Delete
  34. Mi naona bongo move mmefanya poa,coz hata huku mtaan habar ndo hiyo,mtu asiejali misiba ya wenzake anajifanya yuko bz na yeye akifiwa habar ni ileile,watu hawali hata chakula cha msiba na lazima awekwe mtu kati,na huko vijijin watu kama hawa wanalazw juu ya kabur anakula mboko mbele za watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. TENA NI FUNZO KWA KILA MTU, WEWE HAUND KUSHIRIKI NA WENZIO ALAFU UNATAKA WENZIO WAJE KWAKO.INAHUSU?

      Delete
  35. JAMANI MUWE WAANGALIFU SANA NA HAWA WAANDISHI WA HABARI. HUWA WANAZUA JAMBO LOLOTE ILI WAPATE KUUZA MAGAZETI NA NYIE MUTIRIRIKE TU. WEMA TOKA AFIWE NA BABA YAKE YUKO BUSY UTAKUTA HATA HAYO MALALAMIKO SIYO YA KWELI. LEO WAMEANDIKAKUWA MAMA YAKE KALALAMIKIA SERIKALI KUMTENGA, BIBI WA WATU AMESHANGAA SANA KUONA HIZO HABARI HAJAONGEA JAMBO HILO NA MTU YOYOTE. HAWA WENYE MAGAZETI NI WAZUSHI SANA WANAWEZA HATA KUUWA MTU KWA PRESSURE

    ReplyDelete
  36. ZAMARADI MKETEMA30 October 2013 at 11:36

    HEE! KUMBE DINGI YAKE WEMA ALIKUWA NI MTU NA HESHIMA ZAKE KWENYE NCHI HII! SASA MBONA HUYO MWANAYE NI KICHECHE KILICHOPITILIZA? INAONEKANA WEMA HAKUPATA NAFASI YA KULELEWA NA KUPEWA MAADILI MEMA NA BABA YAKE MZAZI.NA PIA INAONEKANA MAMA YAKE MZAZI ANAMUUNGA MKONO KWENYE UMALAYA WAKE.MAANA ME SIJAWAHI KUMSIKIA MAREHEMU BABA YAKE HATA SIKU MOJA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU AKICOMMENT SCANDAL YOYOTE ILE YA WEMA,LAKINI MAMA YAKE NDO KINARA WA MAGAZETI YA UDAKU! AMA KWELI TABIA HAINA DAWA NA VYA KURITHI HUWA VINAZIDI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha uchonganishi mbwa wewe na wewe sio zamaradi shenz zako

      Delete
  37. Jb,batuli,eshauheti,wolper,snura,kabula,jack chuzi,na wengineo walikuwepo

    ReplyDelete
  38. mmmh! wabongo ipo kazi!!

    ReplyDelete
  39. hivi diamond mwenyewe anaejimegeaga kisela yuko coz hapa tunashabikia utafikiri yanatuhu kumbe anaepewaga mwimbwi yuko zake wapi cjui.

    ReplyDelete
  40. Chezea mimi sasa bado mama yake ili nmuone kama ataendelea kuniibia dudu yangu kwa yule mbagalaaa wangu.

    ReplyDelete
  41. USTARABU MNGEENDA KUZIKA BAADA YAHAPO MUNGEMWITA WEMA MUMKALISHE KITAKO MUMUELEEZEE MAKOSA YAKE ILI AJIREKEBISHE

    ReplyDelete

Top Post Ad