ZITTO AANZA KAZI ILIYOMPELEKA USWIS..ATUMA PICHA HII KAMA USHAHIDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zilizoenea leo ni kwamba Zitto Amekwenda Uswiss kufuatilia mabilion ya yaliyotunzwa huko na mafisadi ...Jioni hii amepost kwenye facebook yake picha hiyo hapo juu akiwa na caption hii hapa chini:

"Siku ya kwanza ya kazi hapa Uswiss, mikutano mizuri sana na Waziri wa Fedha na timu yake, Shirika la Maendeleo #SDC na asasi ya #AllianceSud " Zitto

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zitto ukitoka uswiss potia visiwa vya jersey kufuatilia ya mabillioni( vijisenti) vya fisadi mkuu mr.chenge

    ReplyDelete
  2. Uzalendo huendana na vitendo, hicho ndio kipimo cha uzalendo japo kisije kuwa kikaangio chako.

    ReplyDelete
  3. Safi JEMBE letu tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. kazi hyo iwe kazi nzuri na yenye matokeo chanya kama opareshen ya M4C. naktakia mema hadi mwisho tuuone

    ReplyDelete
  5. KILA LA KHERI BROTHER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Jaman tunakuombea sana

    ReplyDelete
  7. ya kweli hayo?au changa tu kutuwekea wazungu hapo bado sio ishu,we r waiting for result bro coz siasa ni mchezo mchafu...

    ReplyDelete
  8. Hakuna lolote hapo siasa za bongo tu

    ReplyDelete
  9. Kwa siasa za bongo stegemei kupata matokeo yoyote ya kuisaidia tz

    ReplyDelete
  10. Zitto unawanyima usingizi wenzio wenye mabilioni yao ufhaibuni,wana usongo na wewe na wanatamani ardhi ipasuke.

    ReplyDelete
  11. All the best bro

    ReplyDelete
  12. Kazi njema Mh,.
    Den let us make money,,,visit this link ryt here,.

    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete

Top Post Ad