MWANAFUNZI ATEKWA HUKO MOSHI NA KUFANYISHWA NGONO KWA SIKU NNE..SOMA ZAIDI HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Marangu inayomilikiwa na kanisa Katoliki jimbo la Moshi, (jina limehifadhiwa) alitekwa na kukufungiwa kwenye hoteli moja ya kitalii mjini hapa na kufanyiwa vitendo vya ngono kwa muda wa siku nne mfululizo.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kutekwa Agosti 6 mwaka huu na kijana mmoja (jina linahifadhiwa) mfanyakazi wa kampuni ya simu za mikononi (Airtel) mjini Dodoma.

Akizungumza jana na Tanzania Daima Jumatano, kaka wa mwanafunzi huyo, Joseph Temba, alidai mdogo wake alitekwa na mtu huyo na tayari mtuhumiwa ameshakamatwa.
  
Alisema walifanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo Agosti 10, mwaka huu, katika baa moja akiwa na mdogo wake baada ya raia wema kutoa taarifa za kuonekana kwake.
  
Kwa mujibu wa kaka wa mwanfunzi huyo siku ya tukio alipokea simu kutoka kwa mwangalizi wa wanafunzi (matroni) akimjulisha kutokuwapo bwenini kwa mdogo wake na ndipo walipoanza kufuatilia na kutoa taarifa kituo kikuu cha polisi mjini Moshi na kupewa namba Mos/RB/9196/2013.

Alisema siku iliyofuata ya Agosti saba jioni walipokea simu kutoka kwa watu wa karibu wakiwataarifu kuwapo katika hoteli hiyo mdogo wake lakini baada ya kufika walinyimwa kuona kitabu cha wageni ili kuangalia orodha ya majina ya wageni waliofikia hapo ili kujiridhisha kama mtuhumiwa huyo alikuwapo mahali hapo.
  
Hata hivyo alisema jioni ya Agosti 10 walipokea taarifa za kuonekana kwenye baa hiyo mtuhumiwa akiwa na mdogo wake na kuwajulisha polisi na hatimaye kufanikiwa kumtia mbaroni ambapo hadi sasa bado anahojiwa na jeshi la polisi.
  
Chanzo cha kutekwa kwa mwanafunzi huyo ni mawasiliano ya simu baina ya mtekaji na mwanafunzi huyo ambapo inadaiwa mtuhumiwa huyo alimrubuni mwafunzi huyo kuacha masomo na kwamba angemtafutia nafasi kwenye shule kubwa za kimataifa.

Inadaiwa kwamba mwanfunzi huyo alikubaliana na propaganda hiyo na kutoka shuleni jioni ya Agosti 6 na kumfuata mtuhumiwa kwenye gari lake na kwenda naye hadi Moshi mjini umbali wa kilomteta 50 kutoka shule ya sekondari Marangu.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz, alisema hana taarifa za kutekwa kwa mwanafunzi huyo kwa kile alichodai alikuwa ametingwa na majukumu ya kikazi mjini Arusha na kuahidi kulifuatilia baadaye
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Katekwa nyara kivipi,mbona alikaa kwenye hiyo hoteli na hata kwenda bar bila ya kulalamika? Ukisema alibakwa kwa kigezo cha umri,sawa,lakini binti huyu ana pepo wa ngono na alifurahia uroda kama kawaida!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Upo sahihi kabisaaa, mleta thread hii hana akili , nani katekwa hapo wakati mwanafunzi anajua uroda na mpaka pombe? hapo labda mzungumzie umri tu but mtoto ni ngoma ya kukedha hio. na maumbo haya ya digitaly ni ngumu kujua hata umri kwa kweli. pengine yeye ndo alimdanganya mwanaume kuwa ni mfanyakazi wa hapo shule na c mwanafunzi, unless huyo kijana ni chiz haingii akili kutembea na mwanafunzi tena wa boarding kwa kumtorosha, ni sawa na kujinyonga tu, madem wote hawa mtaani.

      Delete
  2. Kwa mujibu wa kikwette "binti huyo ana kiherehere' .upuuzi mtupu.

    ReplyDelete
  3. natafakari sipati jibu kutekwa au kurubuniwa

    ReplyDelete
  4. hakutekwa hyo walikubaliana kwenda kuenjoy nakurauroda

    ReplyDelete
  5. Malaya 2 huyo alikua anajua anajua anachofanya

    ReplyDelete
  6. Hajatekwa amerubuniwa muandishi jaribu kurekebisha kauli kabla ya kutoa habari usiharibu jina la blog yako

    ReplyDelete
  7. Washukuru Mungu hizi tabia ziko nchi zetu yangetokea hapa Amerika ,km ni kweli alitekwa ,bila ridhaa yake ,huyo jamaa ,asingekuwa na hamu ya kuishi tena,na huyo mwanafunzi alitoka wapi na huyo jamaa wakati yeye ni mwanafunzi? wataalam wa sharia mkoa wa Kilimanjaro wa simamie haya mambo ,yaishe ,wakao wanasheria wazuri sana moshi ,na vyomba vya habari waellimishe watu hizi tabia zisiwepo taifa linapata aibu sana,ni watu wengi wanafuatilia taarifa za nyumbani wakiona haya yanatokea ,kuna imani inapotea,Mungu tusaidie.

    ReplyDelete
  8. K una mambo yakuangalia sana unapo andika mambo yanayo husu jamii,dunia inaangalia sana Tanzania kwa sasa ,ni ngumu kuelewa ila nchi yetu inachunguzwa sana ,hasa utamaduni wake,watu wake,na yote yanayotokea nyumbani,kwa sababu tunaongea kishwahili na watu wengi wanataka kuleta watoto wao waje wajifunze kishwahili etc ,Tanzania ,wanapo ona hay matatizo ,kwao ni makubwa sana kuliko unavyo fikiria ,unagusa maisha ya watoto wao,wageni,wawekezaji na watalii kwa ujumla wange wanachunguza nchi hata miezi 3 kbla hawaja safari dunia imebadilika sana tumalize haya matatizo kwa wenzeti ni mambo ya kutisha sana .

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwahiyo matatizo yatatuliwe sababu ya wageni wanataka kuleta watoto wao waje kujifunza kiswahili sio? acha ubwege kujipendekeza kwa wazungu sio issue.....halafu sio kishwahili ni kiswahili, sio wenzeti ni wenzetu, napata wakati mgumu sana sasa wange wanachunguza ndio mdudu gani, hawaja safari ndio nini hiyo?

      Delete
    2. Mwambie msenge huyo watu wa nje cc wanatuhusu nn, anataka tujue yupo majuu, so what!

      Delete
  9. hii imepestiwa tu niliwahi kuisoma miezi kadhaa iliyopita

    ReplyDelete
  10. hii imepestiwa tu niliwahi kuisoma miezi kadhaa iliyopita

    ReplyDelete
  11. Replies
    1. kwan we ndo wakuthibitisha kuwa habari ina maana ama laa mbona watu kmbelembele front hvyo khaaaa wengine tumeona n ya maana na hujalazimishwa km hbr haijakuvutia c unaacha kusoma tu ila ww japo c ya maana umesoma mpk na mikomenti yoooote ksha ukapoteza na muda wa kuacha komenti lako lisilo na maana pia waiiii

      Delete
  12. Huyo aliyepost habari hi labda yeye ndo kaikuta leo.asilaumie sana hii post ni ya kitambo sana.

    ReplyDelete
  13. Huyo aliyepost habari hi labda yeye ndo kaikuta leo.asilaumiwe sana hii post ni ya kitambo sana.

    ReplyDelete
  14. yaaan wewe na kujsifu koooote kuwa uko AMERIKA bado fikra hazijatanuka.....wazungu wenyewe c ndo wanapaisha uhuru wa vyombo vya habari ama uhuru manake n kushuga kot hali halisi ilioko???? kweli ukolon mambo leo smh

    ReplyDelete
  15. HII BLOG NI KAMA BLOG YA MAKUMBUSHO HII HABARI YA MUDA MREFU KICHIZI TOKA KIPINDI HICHO FURGASON KOCHA MAN U, MOURINHO REAL MADRID, BALE YUKO SPURS NA KABLA OBAMA HAJAJA BONGO. MSIWEKE HABARI NA MATUKIO AMBAYO YAMEPITWA NA WAKATI MNASABISHA MKANGANYIKO KATIKA JAMII.

    ReplyDelete
  16. Nyie wote wasenge changien mada sio majungu huyo jamaa hajakosea dent kmdaganya msela

    ReplyDelete
  17. Mi naona wafunge ndoa tu na si vinginevyo.

    ReplyDelete
  18. demu kamdanganya msela

    ReplyDelete

Top Post Ad