TAZAMA PICHA YA ALIYEKUA MPENZI WA MHUSIKA WA MAUAJI YA ILALA BOMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Sababu za Mauaji hayo inasemekana ni Kisasi cha Mapenzi baada ya Muuaji Anayejulikana kwa Jina la Gabriel Munnis Kuachwa na Mchumba wake wa Muda mrefu (Christina) ambae pia alimsomesha.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

41 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhh aliekipanga mungu binadamu hawezi kukitenganisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. usijifanye unamjua mungunwakata hujui chochote,mnawasaliti watu afu mnasema alipanga mungu!!!!!mungu hawezi kupanga mutu amsalit mtu na kumlia pesa zake afu unamkimbia baada ya kpata mafanikio,,,huyo ni shetan

      Delete
    2. pesa ni material tu kaka ingekua pesa ni mapenzi basi Mengi wa IPP asingeachwa na mke wake kusomesha mtu sio kipimo cha mapenzi kajipange tena ndio nyinyi huwa mnahesabu mangapi mmemtendea mpenzi wako utasikia nimemtafutia kazi, nimemsomesha, nampa hela ya matumizi kelele nyingiii kaka yote hayo sio mapenzi ukipendana na mwenzi wako hata msipopeana pesa ya kibajaji mnafuraha tu mkionana

      Delete
  2. Uwiiiii! Sio wachagga wote wanatamaa bwana! Halafu mbona Si mrembo? Jamani? Kuweni na hofu ya Mungu!!!!!'

    ReplyDelete
  3. Muandishi umechemsha. Hapo ni tina. Alikua girlfriend wa gaby. Yapili alfa mdogo wake tina hana hatia. Wa tatu ni francis hana hatia ni bf wake na dadake tina na alfa. Suit your self kuma wewe hujui kitu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. well said.. natamani umuongezee tusi!!!

      Delete
    2. Hilo tusi litawafufua walokufa?

      Delete
    3. Siku hiz adimini amekuwaje sijui hayupo serious na kaz yake

      Delete
  4. Kamsomesha tina wapi mkundu wewe

    ReplyDelete
  5. Acha hizo weweeee mzuri banaaa black beauty no mkorogo hapo.Utamfananisha na demu alietomb.a na Kapuya? Demu mbayaaaa pole sana Mzee nyege mbaya na K Ina power hata ukiwa kichaa wanaume hicho kichwa chenu cha chini always hakina akili

    ReplyDelete
  6. Kuma mama zenu yee watu wa media mnaongea mapumpu yenu tu hsamjui kitu. Gabby wakumsomesha mtu. Eti anauza magari. Kwani yard yake ipo wapi. Yani mnaudhi. Let him rot in hellllllllllllllll. Jambazi mkubwa.

    ReplyDelete
  7. Alilazimishwa kumsomesha kwani? Mapenzi km yameisha huna haja wewe sepa tuuuuu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. na ndio maana alikataliwa mwanaume unaroho ya kuua atakutaka nani? huyu dada alishamuona jamaa sio mpenzi ni muuaji

      Delete
    2. mtapigwa risasa mpaka muishe endeleeni kutapeli watu,hata mamaake ufo alikuwa anajubu majubu kama hayo yako kumamae we kahaba hapo juu,hata mimi ningewalipua

      Delete
    3. matusi ya nini? ndio nyinyi mnalazimisha mapenzi duniani kila mtu na mtuwe katafute mnayependana sio kuleta joto hasira kwenye mapenzi

      Delete
  8. Na wewe kwanini ukubali kusomeshwa si ungekataa. Mshahara wa dhambi ni mauti.

    ReplyDelete
  9. Hakutakiwa jamani. Au hamelewi. Gaby ni chizi hakutakiwa.

    ReplyDelete
  10. Sasa mi naona wanawake wamekuwa wajanja sana yaan wanaweza kukwepa risasi du.inatubidi sisi ving'ang'anizi tubadili style ya mauaji.Yaani badala ya kutumia manati ya mzungu sasa tutumie ujuzi wa babu tu, unampiga JINI anableed kila siku mpaka anakufa shabash! ..hii inaitwa silence killer

    ReplyDelete
  11. Haya ni masnura aka majanga.com 2013 mungu atunusuru yarrabi

    ReplyDelete
  12. naona makahaba wa hum ndani washaanza kushabikia utapeli wa mapenzi,endeleen tu ila kiama kimefika

    ReplyDelete
  13. Namjua vizuri huyu dem alikuwa anakaa tabata Magengeni na alihama mapema mwaka huu, kupitia yeye nilimjua kapten na Carol ambaye ni admin ofic pale nssf, namjua vizuri mama yake, kwa ufupi naijua ile familia, wakati nikiwa karibu Tina(mama olga) nilimjua Gabo kama kijana wa kawaida tu asiyeweza kudate na Tina na kumbuka huyu dada ana about 40yrs na Gabo about 20 yrs. ni wakati huo najua Tina anamtoto ambaye ana about 18 kama si 20. Wakati huo nikijua Tina alikuwa akidate na baba olga ambaye ni mhasibu pale muhimbili kwa mujibu ya maelezo ya Tina na ndiye aliekuwa anamlipia hata nyumba ofkoz nyumba na samani za ndani ilikuwa imekamilika maana ni ful Ac, soon o later baba olga alijitoa hivyo ikabidi aondoke kwa ile nyumba mim nikiwa best wake wa karibu, alipoondoka magengeni niliendelea kuwasiliana naye kwa mara ya mwisho ilikuwa last two months aliponiambia ameolewa na mwanaume ambaye anawivu sana so nisimpihie usiku kwani mume wake haelewi huu urafiki, kuanzia siku hiyo sikuwahi kupiga simu wala kutuma text tena kwake, NIMJUAVYO MIMI HUYU mwanadada si mutu wa kuhitaji sana pesa kwa mwanaume hata tukiingie sehemu mara kadhaa amekua akiklia bili kama kawaida kwa ufupi alikuwa anajitambua, nimepata mshtuko wa kitu kimoja je Gabo alikuwa mpz wake hata wakati nikiwa karibu yake? Je mahusiano ya Gabo ni ya muda murefu kama habari zinavyodai maana mi siiamini ktk hilo labda kama Gabo ndo mzazi mwenzake wa mtoto mdogo olga. maana yawezekana hata mimi kuna siku ningepigwa risasi ya kichwa maana niliwahi kuongozana naye maeneo kadhaa kama rafiki wa kawaida..mungu ni mwama ninapata mawazo sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole sana kwa hiyo trauma, shukuru Mungu amekuepusha na hilo janga. Na wanawake jamani wakome kuwa Cougar au kutembea na viserengeti boys, ukute alikuwa anapewa pesa na mtu mzima mwezie kisha anampa huyo Gabo, ukute alimpangia chumba na kumpa huduma zote, sasa pengine alivyomwambia anaolewa/ameolewa na mume mwenye wivu jamaa akaona bora wakose wote.

      Delete
    2. UMENIACHA HOI, ETI ANAPENDA SANA PESA, YAANI WANAUME WA SIKU HIZI HAMNA KITU, MWANAMKE GHARAMA BWANA, UNALIWA VIJISENTI ETI UNAMPIGA MTU RISAASI, FYUUUUUUUUUUUUUUUU

      Delete
    3. Huna lolote LUJUO...hayakuhusu!

      Delete
  14. uasherati ndo chanzo hakuna kingine

    ReplyDelete
  15. MANAUME YA SIKU HIZI MABAHILI KAMA NINI.
    wewe kaka kama hauna hela acha ktongoza katafute kwanza, na zikiliwa ndio imeenda kwa mganga hairudi,
    mbona nyie mnatucheat na hatuwapigi risasi na wakati mwingne mnakula vyetu.
    Yaani siku hizi mimi akijilengesha tu nazila na kama hauna uelekeo na kubwaga vilevile, mjifanye kusave baadaye anaolewa mwingine, nani anataka.
    KUCHUNA NDIO MPANGO MZIMA NA KAMA KUUA NI SOLB BASI SHILIKIANENI NA SHETANI.
    UBAHILI UTAWAUA, ETI UMEMSOMESHA, MBONA ULIKUWA UNAMTUMIA?UMEISHAEXPIRE BWANA.

    ReplyDelete
  16. unakuta kabisa kaka mtu mzima analalamika msichana wake anamchuna sana, mara oooh ukiniacha takuua na mtaua sana mwaka huu na mkaombewe hayo mapepo machafu yawatoke, ukiuliza sasa amekulia shiling ngapi eti nimempangia nyumba,kupanga?watu wanajengewa na kununuliwa ma hamer?fyyuuuuuuuuuu, inatia hasira wanawake tunaonewa sana, kama mtu amesema kakuchoka ondoka kimya kimya, dont be selfsh maana una wazazi na ndugu wanaokutegemea kwa nini ujiue, haya siwez kujudge ila wanaume tuacheni jamani na niwajibu wako kutoa hela.
    KAMA HAUNA HELA NENDA KIJIJINI KALIME UKISHAVUNA NJOO SASA MJINI

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau upo wapi nikupeleke picnic?? umenipa raha sanaa!! eti umegharamia,, kama ni kurudishiana vitu mlivopeana wanaweza kulipa vitu wanawake wanavowapa?? kama unaona pesa ni kitu cha muhimu zaidi si ikutimizie uache kumtafuta huyo mwanamke? mixiiiuuuuu vitu vingine vinaniudhi sana.
      ahahaahahaaa wakalime vitunguu walete pesa mujinii

      Delete
  17. na kumamaae zenu na hivi sasa hatugaramii mwanamke ng'ooo bora tununue machangudoa, sasa imekula kwenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. FYUUU.utakuta hauna hata hela, hicho ki elfu kumi chako ndio cha kuulia mtu,fanyeni kazi wanaume mpate hela, sio kubwabwaja tu.
      kumpa mtu sitahiki yake ndio kigezo sasa, mwanamke anatakiwa kuhudumia maana unamtumia sio baadaye uje umdai au kigezo cha kunganganiana.

      nenda kanunue machangudoa wa buku 2 ukitaka dem classic lazma ugharamie, kama hauna pochi kaoe kijijini.
      mtu hela ya mawazo unalazmisha demu wa mjini, mama wa watu sijui kafanya kosa gani, ipo siku nakwambia mtahukumiwa na sheria itafata mkondo wake,

      Delete
  18. hayo ndo matatizo ya serengeti boy, serengeti boy wanataka kulelewa tu siku hizi

    ReplyDelete
  19. wewe unayesema hugharamii unaenda kununua machangu si uende ulikatazwa huna pesa tulia mliambiwa wanaume mtakula kwa jasho lenu na siku zote wenye vihela vya mawazo ndio mnalalamika ,huna pesa wanawake wazuri wote shemeji zako kama sio mama zako wadogo jipange

    ReplyDelete
  20. mda nimekupenda bure.
    kizuri gharama.
    kweli wanaume wasiokuwa na hela ni wasumbufu sana, kihela cha mawazo, alafu full wivu, kama wataka niwe wako 24/7 gharamikia na unitimizie mahtaj yote si kuleta wivu wakijinga.
    unataka ngoma usiyoiweza, ukiachwa badala ushukuru Muumba na kwenda kutafuta mahaosegirl ambao ni saiz yenu eti unapaniki hadi kufikia maamuz magumu namna hii.
    ukiachwa shukuru na ulivyotoa ilikuwa ni service ya kutumia ghari.

    ReplyDelete
  21. ameongea vizuri sana au waende mwanza wakalime pamba mlete tuwasaidie kutunza.
    wanaume wasiokuwa na pesa wana tabu wenye pesa zao wametulia tuliiii.
    akikupa dola 25 ya bongolicius utakumbushwa mwaka na yatakuwa masimlizi kwa wenzao.
    na mutuwache tulale.

    ReplyDelete
  22. Pesa,pesa,fedha,mwanaume bila pesa usitegemee ukawa na demu wa peke yako.Kuvumiliana umaskini ni kwenye ndoa tu.Kwingine huko ni habari za sikunyingi.Nimemaliza.

    ReplyDelete
  23. Ahahahaha lol mdau wa bongolicius umenipa raha sana hahaahahahha dola 25 unakumbushwa mwaka

    ReplyDelete
  24. JAMANI HII KITU HII KITU NOUMA

    ReplyDelete
  25. UKIWA MJANJA KULIWA SIRI YA NDANI. HUMU NDANI WASHIKAJI METUMIA LUGHA CHAFU SANA ZA KUUDHI MPAKA MAANA YA TOPIC INAYOZINGUMZIWA IMEPOTEA. ILA UKWELI UNABAKI PALE PALE KUWA MTUHUMIWA WA KWANZA AMEKUFA HIVYO CASE DISMISSED. HATA CASE YA KAMANDA ZOMBE ALISHINDA BAADA YA KUKOSEKANA KWA MTUHUMIWA NAMBA MOJA ALIYEFYATUA RISASI AMBAYE HADI SASA AMETOROSHWA HAJULIKANI ALIPO NA MTUHUMIWA NAMBA MBILI ALIFARIKI HIVYO USHAHIDI UKAKOSEKANA WA KUMTIA ZOMBE HATIANI.

    SASA KHS MUNISI NA TINA, KWA VILE MUNISI AMESHAFARIKI, HAPA UTAPATA MAELEZO YA UPANDE MMOJA TU AMBAYO KWA VYOVYOTE VILE YATAKUWA YAMEONGEZEWE VIUNGO ILI KUJITAKASA. INAWEZEKANA KUNA JAMBO KUBWA SANA TINA ALIMFANYIA MUNISI NA AMBALO HALINA USHAHIDI WA KUWEZA KUMFIKISHA MAHAKAMANI. YOTE MIMI NA WEWE HATUJUI BASI NASHAURI BORA TUENDELEE KUCHIONGA HATA HAPA KWENYE MTANDAO KWA KADIRI UTAKAVYOJISIA KWA VIDOLE HAVILIPIWI VOCHA

    ReplyDelete
  26. wadada wenye tabia kama hizi wako wengi mtu anamgharamia kumsomesha halafu anmtosa siyo kitu kizuri, nakumbuka miaka ya tisini na tatu; dodoma kuna muuza duka alijiua kwa kujikata uume na kujipiga shoti ya umeme kwa mambo kama haya kamsomesha demu halafu demu kaja kutosa tena ile ya kifedhuli, mtuonee huruma wanawake kama hamna future na watu msituimie vyao halafu mnakuja kuwaacha kama huyu christina......

    ReplyDelete
  27. dah life doesn't change until u have choices..watu wanachagua sana ..kwanza mwanamke akishajifanya anajua sana vitu vingi hafai kwa sababu ipo siku ...atakuambia hujui kujielezea mbele za watu ...wakati anasahau yeye ulimpataje ..

    ReplyDelete

Top Post Ad