IMEGUNDULIKA: KABLA NELSON MANDELA HAJAFUNGWA JELA ALIISHI TANZANIA HUKO MOSHI-SIKILIZA HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika mwaka wa 1962 Nelson Mandela aliondoka Afrika kusini kisirisiri na kwa muda wa miezi saba alikuwa akitembelea mataifa mengi ya bara la Afrika.
Chama cha African National Congress, ambacho kilikuwa ndio kimepigwa marufuku na utawala wa ubaguzi, kilikuwa kimeanzisha mapambano ya kijeshi kupitia jeshi lake la Umkhonto we Sizwe.
Kazi ya mandela ilikuwa ni kutafuta uungwaji mkono wa hali na mali kutoka mataifa mengine ya Afrika na pia kutafuta mataifa yaliyo tayari kuwapa mafunzo ya kijeshi makurutu wake akiwemo yeye mwenyewe.
Alipata mafunzo ya kijeshi nchini Morocco, kutoka kwa wanajeshi wa Algeria waliokuwa wanatumia ardhi ya Morocco kama kituo chao kupigana dhidi ya utawala wa kikoloni wa Ufaransa.Mafunzo mengine yalifanyika Ethiopia.
Katika kuangalia safari ya maisha ya Nelson Mandela zipo taarifa kwamba kabla ya kufungwa jela, Marehemu Nelson Mandela aliwahi kuishi nchini Tanzania katika familia moja ambapo wakati anaondoka aliacha baadhi ya vitu, vikiwemo viatu .
John Solombi aliitembelea familia hiyo iliopo Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania na kutuandalia taarifa ifuatayo. SIKILIZA HAPA:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watanzania mshaanza kujipaisha! hzo habr zilikuwa wp ckuzote?

    ReplyDelete
    Replies
    1. WE ULITAKAJE? WASISEME KAMA KWELI? WABONGO HAMNA UELEWA KILA KITU MNABISHA

      Delete
  2. hivi kumamake wasenge nyie hamuwezi kumuongelea mtu akiwa hai mpaka msubilie afe ndo mnaanza ooh marehemu alikuwa mtu wa watu! mpenda msikitini/kanisani!! huo ni unafiki na ukafiri ulio kithr nguluwe nyie au kuna mtu kauliza ujio mandela bongo? kafirweni malaya nyie mshatuchosha na wewe anonymous wa pili ni shoga kuma wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. mi mwenyewe nashangaa leo ndo tunasikia sifa kibao za mandela hii inakera mtu mpaka afe ndo anasifiwa

      Delete
  3. WABONGO NI WAJINGA SANA….SIKU ZOOOOTE HIZI MLIKAA KIMYAAA…KAKATA ROHO TU….SASA ETI " OOH ALIWAHI KUISHI MOSHI " INGEKUA NI VIZURI MNGETOA HII HABARI WAKATI YUKO HAI ILI AULIZWE NA ASEME MWENYEWE…MSITUDANGANYE ……MSONYOOOOO!!!

    STUPID PEOPLE….

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeoona ee huu ndo utamaduni wa waafrika hata alipokufa gadafi tulisikia hivyohivyo mengi mpaka msikiti alijenga tz, sasa hizi hadith na historia kwa nn msitupe mtu akiwa hai na inakura rahisi kwenda kumuuliza na akatujibu tukapata kitu asili shwain nyie kumbe hadi kiatu aliacha bongo jamani mnakera mpaka marehemu akifa ndo mzuri why akiwa mzima mko kimya

      Delete
  4. Ni kweli aliishi Moshi sehemu inaitwa rau kwa Mzee mmoja anaitwa Mzee Musa Nyari Marabaa

    ReplyDelete
  5. We anonymous wa tatu hapo juu hatujaja umu kutukanana kuweni msitaarabu Kama wewe unaona kutukana fan nenda katukane kuku wako nyumbani ili wafurahi

    ReplyDelete
  6. mi nashangaa walinyamaza a haya mambo asee sikuwahi kufahamu kama mandela alishawahi kuja Tanzania tena katika mikakati ya waafrika kujikomboa yani sasa ndo unasikia mengi kuwa mandela alikuwa rafiki mkubwa wa tanzania mbona hatukuwahi kuyasikia haya mpaka mweyewe anakufa

    ReplyDelete
  7. Mandela aliwahi kuja tanzania ni kweli ila sio MOSHI NI MBEYA KWA KUPITIA TUNDUMA HABARI NDIO HIYO

    ReplyDelete
  8. KWIKWIKWI, HABARI IFUATAYO TUTASIKIA MWANAMKE MTANZANIA KAJITOKEZA AKIDAI KUZAA NA MANDELA! KWIKWIKWI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahaaaaa! umenivunja mbavu, eti alizaa na Mandela, du!nouma kweli

      Delete
  9. Na watajitokeza na watoto na wajukuu kabisa! loh watanzania kwa kushabikia wafu!!!!

    ReplyDelete
  10. naitwa juma niko mtwara eti naambiwa nafanana na mandela atakuwa babu yangu huyu mzee

    ReplyDelete
  11. usilete swaga za kilokole humu we anonymous wa nane toka juu watu washachoshwa na unafiki!

    ReplyDelete
  12. Hahahaha napita tu mie

    ReplyDelete
  13. Hii habari niliwahi isoma mda mrefu sana kwenye gazeti moja hivi

    ReplyDelete
  14. Huyu bibi utakuta kaja mtu enzi hizo anamfananisha na mandela

    ReplyDelete

Top Post Ad