KAJALA AFUNGUKA BAADA YA TUHUMA ZA KUTEMBEA NA MUME WA MWASHA (8020 FASHIONS) KUZAGAA MITAANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya gazeti moja la udaku linalotoka kila jana kutoa taarifa tata juu ya mwigizaji maarufu wa filamu nchini Kajala Masanja kuwa, kwa  mdada huyu sasa ameamua 'kuiingilia ndoa ya Shamim Mwasha - blogger na mmiliki wa 8020 fashion boutique, leo hii kupitia mtandao wa kijamii maarufu nchini mwanadada huyu amefunguka kuhusu tuhuma hizo na kujibu haya yafuatayo...

Nadhani namjua huyu dada siku nyingi sana kabla ata ya wengine wenu kumjua tunaheshimiana sna na atujawahi kukoseana sasa sijui nani alie anzisha habari ya mimi natembea na mume wake na sijui alifanya ivyo kwa makusudi gani naumia kila siku kwaajiri ya ujinga wa watu na hayo magazeti nikiwaambia nipeni ushahidi wa kuwa natembea na mume wa shamim sijui kama mtafanya daah sijui nisemeni nini @8020fashions mpz enjoy ndoa yako acha na wapumbavu nimevumilia nimeona bora leo niandike unajua sipendagi kuongea lkn gazeti la jana limenikwaza sana,” aliandika Kajala.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

47 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ha ha ha ha ha, Haloooooooooooooooooo, shost na wewe, tulivyokushauri na shemeji ufanye hivyo tulikuwa tunatania mwaya, kumbe umefanya kweli kuandika, achana naye babu weee kwani tatizo nini? bei ya mkaa au? waache waandishi waandike weeee mpaka wakome, wanadamu waongeee weeee mpaka wapate sugu za midomo, usimuache Abdul, komaa bibi wewe, yote aliyokufanyia leo unasema nini? au unaogopa huyo mama alivyo mwanga? siku hizi hana kitu huyo keshaaaaa, kwanza ustadhi wake walishagombana, ukiwa mshirikina sana baadaye dawa zinadunda. So wewe nyumba ndogo Kay endelea kujilambia na kujirinia asali kwa mrija mwanawane. Tena acha kujishaua eti ukiomba vidhibiti hatuna, ntasema mimi......... Kwanza Mr. Sembe mwenyewe hapo kafika, alafu wala haonagi haya kukutambulisha kwa washikaji sasa wewe unataka nini tena. Basi sawaaaaaa@8020 fashion mpenzi enjoy ndoa yako.......kwi kwi kwi kwi kwi kwi, mjini raha, maisha magumu lakini kijijini sirudi ng'o.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdada nakuonya chuki binafsi inaleta maradhi ya moyo punguza chuki binafsi unatumia nguvu nyingi sana kumchafua Shamim lakini hujafanikiwa bado alopewa kapewa hata ufanyeje umeandika post unajicommentia mwenyewe page nzima umefikisha comment 20 wewe mtu mmoja bado hutosheki hakuna anayekujibu wote wamekudharau hata hakuna anayetoa neno umo tu umekazana mwenzako shamim huko amelala kifuani kwa mumewe wanapeana mahaba wewe umekunjia uso screen ya computer bottom line alopewa kapewa kama ulikua unamuona wa moja kanga ukamcheka zamani zile sio mwenzako tena hali imeshambadilikia hata asingeolewa na mumewe wa sasa ana maisha mazuri kwa jasho lake mwenyewe tukuulize wewe unayeshinda kwenye mitandao kumchafua uko wapi? nakusaidia kujibu umefulia umevurugwa hujitambui pole yako soma namba kwa nyuma tu mwenzako yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee haloooooooo

      Delete
    2. Mange ndio alieandika hapo

      Delete
  2. Kwel wanawake mwalimu wao kipofu mwanaume anapenda mara moja tu wengine wakuzugia kama mwenzio kamuoa jua kampenda yeye ndo mke bora kwan akumuona kajala mdah mrefu shamimu mwaya wanaume ndo walivyo usipate vidonda vya koo bure achana naye huyo

    ReplyDelete
  3. Mjini msingi kiuno..........!!!

    ReplyDelete
  4. We shamim ulikimbilia pesa ya sembe ulizani mbege ya kimachame hiyo, Kila mtu anaitaka hiyo pesa haramu iliyojaa laana za mwenyezi mungu, ulivyokuwa unahangaika kuwanga ili uingie ndani na wenzio wanahangaika kuikatia viuno ili na wao waile hiyo hiyo, tena ushukuru kumjua huyo mmoja tu Kay kisa na yeye ni maarufu, na hao wasiovuma kwenye magazeti na kwenye mitandao, wanabeba sembe yenu na bamia pia wanakusaidia kuibeba, na uzuri wa Mr. sembe kwenye kukata wala si bahili. Ulizani Mboni hakutaka kuingia kwenye ndoa, muulize aliogopa nini, alijionea cha kufa na ugonjwa wa moyo, sasa wewe kwa uroho wako maisha ya mkato na kupenda vya juu huku familia mwenzangu na mimi ukaona hapa hapa ndiyo pa kuwangia niingie, sasa tulia tusaidiane kula hiyo pesa. Wewe zaa watoto ulee nyumbani, mke ni pambo la nyumba sisi wabeba sembe acha tukutafutie pesa na tugale gale naye ili mgao uwe mrefu, na kama ujuavyo mwanamme akishakuwa mme wa mtu anavyokuwa mtamu weweeee kama mishikaki ya samaki samaki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe Mange wivu utakuua, punguza zako chuki wewe ndio uliyeanzisha yote haya ulianzia pale ulipoona harusi yake ilivyobomba ulichanganyikiwa na kutoamini yule mpiga picha mambo yake ndio mazuri hivi hasira zako ukamuanza kumpakazia mume wake ukamchafua kwenye blog yako haikusaidia mwenzako anazidi kupanda chati wala hajigusi kukujibu ukaona haitoshi sasa umezua sijui kajala anaiba mume wake yote hayo unajichosha tu na mimba uliyo nayo utazaa mtoto hajatulia wewe ulifikiri kuolewa na mzungu ndio kupata? wenzako tulio bongo tunamaisha mazuri kuliko yako ya kiapartment shoga hasira zako za kufulia usiwatolee mdada wa watu sugua gaga huko mwenzako anazidi kupanda juu wewe hata heshima ya kusimama mbele za watu huna mwenzako mpaka ikulu anakaribishwa nani kanunaa

      Delete
    2. Mange kwa wivu hajambo .oh cancun is calling Kumbe unaenda Kwenye harusi .my hubby promised me atanipeleka cancun Kumbe baba ake lance aliwalipia hotel na mlienda Kwenye harusi .Muongooooooo nyooooooo

      Delete
  5. hahahaaaa watu mna maneno sijawahi kuona!!! duh sasa shamim hyo ndoa si inamtokea puani!!!! lkn nae acha yampate alivyomtenda mumewe wa kwanza laana zinamrudia baba wa watu alikua mpole sana na mstaarabu!!!! na walivyoachana alimwachia kila kitu shamim na kuanza maisha upyaaaaa!!!! naona baba wa watu alichoka kufanywa mume bwege ona sasa laana zinavyokujia shamim!!! kupenda maisha ya juu ndio kulikokuponza sasa hvi unashea kibamia na kila msichana hapa mjini...

    ReplyDelete
  6. Wanawake WA kimachame ndo maana wanauwaga waume zao kisa hivihivi huo mtindo ungerudi watu washike adabu zao.mwanaume Akiwa kiwembe unafutilia mbali unabaki Unakula vyako na wanao.pumbavuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. Shamimu mpenzi, malipo ni hapa hapa duniani, uliikimbia ndoa yako kisa bwana hana mshiko na wewe unataka uonekane mdada wa mjini. Ukahaha kila kona uliyoambiwa huyu mganga ni noma bi dada upo, hatimaye ukaangukia hapo, mwenyezi mungu anamakusudi yake kukuweka hapo ili ufundishwe utamu wa usaliti, ulichezea ndoa yako ya kwanza, mumeo alikuwa mwaminifu sana na alikupenda sana, ila wewe ulikuwa mwingi wa habari kutafuta pedeshee, ulimvulia chupi kila mwanaume uliyesikia anapesa na hajaoa, hukujali kama anamtu, ndiyo maana ulivyo mkavu na ushirikina wako ukamnyang,anya mwanaume shoga yako mboni, leo unaipata jeuri yako. Kwa taarifa yako hata mdogo wangu anakula sahani moja na wewe, sijui ndiyo hizo biashara zenu haramu mnazomtuma maana hata simuelewi, kila kukicha safari, biashara ya maana hana, kila siku anakwea pipa, anavitu vya thamani na anajenga wakati mimi dada yake na professional yangu na kazi yangu nzuri, kipato kizuri, simfikii vitu anavyomiliki, haya watoto, mliyataka makubwa sasa mtulie kama mnanyolewa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. shoger huchoki? kama huna kazi njoo ufue chupi za mume wangu Shamim ndio keshakuzidi kubali matokea shosti unajichosha kujaza kurasa humu umecomment wee hakuna hata anayekusaidia umejaa mwenyewe unasema comment na kujijibu mwenyewe khaa unatia huruma kwa kweli

      Delete
  8. Jamani mi mbeba mabox huku nipo mbali kidogo na home TZ, hebu mnieleze vizuri, hivi Shamim naye kawa maarufu kwani? Inamaana siku hizi ameshakuwa mdada wa mjini hadi anapata jeuri ya kumnyang'anya bwana dada Mboni au ndiyo hizo mnazosema nguvu za giza anatumia? Namkumbuka shamim kasoma na dada yangu Moro Secondary Enzi hizo, na mbona huyu shamim ni mmama, maana age yake inalingana na dada yangu? kweli huko dar hakuna wazee kama nilivyosikia siku hizi mnasema uzee mwisho chalinze. Haya ngoja tuje likizo tumtafute huyo Mr. Sembe tunamtaka na sisi tunakazi naye, maana tunavyomuona Kajala alivyo msweet basi huyo bwana anachaziada lazima tukijue haiwezekani, nije bongo miezi miwili alafu nisilale naye thubutu yakeeeeeee,

    ReplyDelete
  9. We Anony mbeba mabox umenichekesha kweli..... unalaana wewe, yaani utoke huko na hiyo likizo yako eti umempania bwana wa mwenzio. Ukimuona huyo kaka unaweza ughairi, kawaida sana na ule mshepu wa kajala naona anamezwa ndiyo maana kadata, huyo bwana alivyo hana nyama kau- kau Fulani ila waleti yake ni noumaaaaa. na huyo unayemuulizia kama kawa dada wa mjini anajitahidi kupenya penya asikike, ila bado hajajua kuvaa na magauni yake ya vitenge kama bruda au sister wa kanisa la mtakatifu teresia. Alafu mashoga zake ndiyo wanaomzunguka yeye hajui. haya kama unaswali niulize tena.

    ReplyDelete
  10. Haha mweeh siku hiz mjin ukisutwa basi ww utakuwa international mbea.siku hz ni kugoogle blog tu umbea wote unaupata.....kwikwi walah presha za wadadavuaji unaeza ukakimbia nyumba ukamuacha mmeo...nmechakaje huyo mbeba box utafikir ana shea na mr sembe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tutamsaidia kumaliza hizo Pesa za sembe tutfilisi mr sembe na sembe wajanja hatutabeba sisi twaja kuzitafuna tu na kusepa nakuja kubeba pesa hizo nije Nile raha huku mamtoni box limenichosha mie

      Delete
  11. We Kajala, hebu nyamaza, tena usituuzi. Ulivyoenda South na Mr. Sembe ni kaka yako? na mlilala hotel moja tena chumba kimoja, na huyo Mr. Sembe alivyokuwa anakufata usiku kwenye msiba wa baba yake Wema watu wakiondoka kukitulia, alikuwa anakuja kuhani msiba, unajilaza kifuani kwa kudeka utasema na wewe ni mtoto wa marehemu umekuja kufarijiwa au niendeleeee!!!!!!!!!!!!! chezea tu dudu hiyo haina mwenyewe hapa mjini kila mtu anakula nyama ya tembo kwa ukali wa kisu chake. Sasa ulinuna nini shoga yako Juaniter Pemba alivyoomba pesa kwa Mr. Sembe, si ulijua labda na yeye anataka kibamia akajisevie, ulimuogopea nini Juaniter kumbe ule mshepu au? na mtapokezana sana huyo Mr. Sembe mwaka huu au mlikuwa hamjui kama na huyo naye ni sukari ya warembo. Tatizo anavuma Diamond tu kumbe wengine wapo......................

    ReplyDelete
  12. mh binadamu muna maneno nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mh mume wa mtu ni mtamu mkamueeee hadi akome na mkewew atamlisha ndanio haaaaaaaaaaaaaahahahaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shamim kayataka mwenyewe.Hakuna mdada aliyekuwa naheshima kubwa ktk jamii kama Shamim wa 8020 blog fashion leo hii kwishine
      Udada wa mjini wakuvaa madini umemponza.Yaani marafiki zake wanamcheka mpaka basi.

      Delete
    2. Analaana ya mume wake.Mume wake wa kwanza ndio alimtoa matongotongo.Kujua na wadada wa mjini kosa akaanza kumdharau mumewe.Wameishi miaka mingi na mtoto wamezaa.Abdul mwenyewe hata mkononi hajai.Mwanaume anawanawake msururu.

      Delete
    3. Shamim kayataka mwenyewe.Hakuna mdada aliyekuwa naheshima kubwa ktk jamii kama Shamim wa 8020 blog fashion leo hii kwishine
      Udada wa mjini wakuvaa madini umemponza.Yaani marafiki zake wanamcheka mpaka basi.

      Delete
  13. Ukisikia ma huge, ma small yana nafuu ndio haya.

    ReplyDelete
  14. Kuchamba kwingi huko.

    ReplyDelete
  15. Ataipata wapi tena heshima wakati maisha yake yanaendeshwa na uharibifu wa watoto wetu. Tunapoteza nguvu kazi ya taifa kwa uteja, wao wale, wanye ma waneemeke. Siwapendi Sana waunga sembe. Jamiu tuamke

    ReplyDelete
  16. Heeeee macoment mingii than marefuuuu aaaaaagh upuuziiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni mtu mmoja huyo huyo kajaza micoment humu anaumwa ugonjwa unaitwa wivu au kwa kingereza wanaita jealous Shamim anamkosesha usingizi

      Delete
    2. mange hata uongee ujaze kurasa la global publisher Shamim kakuzidi kimaisha kubali tu matokea uishi kwa amani kampeni zako za kumchafua hazitafanikiwa zeze anajitambua na kujiamini unapoteza muda wako buree

      Delete
    3. we nae utamfananisha Mange na Shamim. Unachekesha kweli. Yani Shamim ana maisha mazuri zaidi ya Mange?

      Delete
    4. acheni kumuingiza mange katika hili swala,sisi tuliobongo ndo tunaojua ukweli..mimi kwa macho yangu nilimshuhudia abdul akija kwenye msiba wa wema usiku, na alikua beneti na kajala.,abdul hajatulia kabisa huo ndo ukweli..my dear shamimu wanaume ndivo walivyo vumilia tu ukishindwa fungasha virango,.pesa ipo ila shughuli unaipata mmmh bora kuwa na maisha ya kawaida tu..

      Delete
  17. we nae utamfananisha Mange na Shamim. Unachekesha kweli. Yani Shamim ana maisha mazuri zaidi ya Mange?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange hata pa kulala tabu .yupo Kwenye kiji apartment kafulia .anakaa apartment moja na shoga wa harrieth Stanley .

      Delete
  18. Mimi napita tu.

    ReplyDelete
  19. Ni kweli Mange mnasemaga mkorofi, anapenda ugomvi. ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Huyo Shamim hagusi hata chembe kwa Mange. Tena kwenye suala la kujiamini huyo Shamim hana hata chembe, anayejitambua na kujiamini hashindi kwa sangoma hata siku moja. mange amemzidi shamim kwa mbali sana hata tukiwaweka chini kwenye mavazi bado hamgusi. Au hilo shindano la vifaa vya kilimo lenye zawadi ya million 5 imekuvuruga. Mmeng'ang'ana mange kajaza kurasa-kajaza kurasa, ukute hata muda naye hana. Huyo Mange yule Majuu, Mr. Sembe na Kay wanalalana bongo na tunawaona, leo hii mnamtwisha mzigo wa lawama Mange, kweli muke ya muzungu unadamu ya kunguni. Sasa kwa taarifa yako wewe unayejifanya unajua habari za hawa wauza sembe, njoo slip way kesho usiku jumapili tare. 22, matako yako, uje na camera ukitoka hapo umpelekee picha shamim.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange Ana nini .Hicho kiji apartment cha kupanga .Zenat analalaseblebi .Hana hata nursery ya kuweka mtoto

      Delete
    2. Sa ulikuwa unataka apange vyumba vingi ili mkaombe hifadhi na baba ako, umevurugwaaaaaaa. Huyo shamim ndoa anaiona chungu hapo alipo, anatamani atoke ila hawezi kuziacha hela za sembe. Kama yeye mwanamke kweli na anajielewa na anajiamin amuache bac mr sembe km hajapauka km amemwagiwa cement. Wanawake simameni msitegemee wanaume. Hahahaha wapi baba Iqra na mboni masimba, nenepeeni kwa raha zenuuu

      Delete
  20. Mmmmh, naona hapa pana mpambano kati ya vibaraka wa Mange na vibaraka wa Shamim. Ushauri kwa wabeba pochi wa Shamim, nyamazeni mnavyojiongelesha mnazidi kumuanika na kumshushia heshima huyu dada wa watu, na nyie team Mange, sasa basi inatosha tutafute umbea mwingine sasa. Ila kwa wale team Kay endeleeni kula bata refu uwanja ni wenu kwa sasa, tukirudi huko wabeba box mtasubiri sana tu.

    ReplyDelete
  21. na huyo mr sembe nasikia anapenda kweli kabang na kibamia chake,

    ReplyDelete
  22. kabang ndo nn jaman m mgeni

    ReplyDelete
  23. nitafute nikuelekeze we wa wapi wewe?

    ReplyDelete
  24. Mzungu wa mange kafulia Hana hata nyumba wala Gari .gari la kushare jina la Gari lake .www.intelius.com.mange analea mume

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo ndo mwanamke sasa, ulitaka na yeye amkimbie mumewe akapokonye mabwana wa shoga zake kisa wana hela za sembe? Mange hongera kwa kumlea mumeo, endelea 2 kum-support ht km kafulia, waache hawa wadada wa mujini walioletwa na mbio za mwenge wavamie 2 wauza sembe, na mtapangwa foleni mpaka mkome mtonyooooooooo

      Delete
    2. anoy 10:46 inaelekea shamim anakukosesha usingizi, Shamim amekuacha mbali sana kaza mwendo umfikie,badala ya kupoteza muda kushinda kwenye neti kuhate kachukue form za kujiunga na kozi ya kienglish uongeze angalau akili umkaribie Zeze,

      Delete
  25. He, makubwa. tangu lini zeze naye anajua English....... ha ha ha ha ha ha, we anony wa 4:43 usituache hoi wenzio, na uache kuendelea kumdhadhalisha mama wa watu.

    ReplyDelete
  26. Wewe uliyemfananisha MANGE na SHAMIM utakua mgonjwa inabidi ukalazwe wodi za kibasila malaria imekimbilia akilini, Mange mtoto wa mjin wewe hata chupi anazovaa huyo Shamim hagusi msyuuuu.... Shamimu mwenyewe kuongea shida kama ana minjinoi iliyopandiana mdomon

    ReplyDelete
  27. hahahahahahhahahah atakua anampa ndogoooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  28. du bongo tambalale waswahili wanasema,pia mwanaume ni kama mwiko wa ugali ukichafuka unauosha unatumia tena,kajala kwa raha zako mamii

    ReplyDelete
  29. ZEZE SHAMIMU, MAMA IRQQQQQQQQQQQ. MUKE YA MUUZA SEMBE! UPO

    ReplyDelete

Top Post Ad