MTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo Madonna, Kim Kardashian, Naomi Campbell, Garcelle, Vanessa Williams na wengineo.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Play boy sio ngono mwacheni dada apokee kitita chake kwa kuonyesha utupu wake only in America watu wananunua gazeti kuangalia mauongo yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani amesema ni la ngono? Na nyie waandishi wa kizazi kipya wa kukopi hata jina mmeshindwa kumuweka? Mnasomea wapi uandishi? Embu tafuteni jina mrekebishe hapo.

      Delete
  2. Her name is Ida Ljungqvist

    ReplyDelete
  3. Sasa cha ajabu Ni nini.wabongo bwana Badala ya kutafuta habari za maana mna shoboka Tu.

    ReplyDelete
  4. Ida Ljungqvist (born September 27, 1981) is a Tanzanian-Swedish model. She was named Playboy's Playmate of the Month for March 2008 and the 2009 Playmate of the Year. She is the first African-born and second Swedish model to be named a Playmate of the Year. She is also the first Playmate of the Year to publicly dedicate her title to philanthropic work through non-profit charities and organizations.

    Ljungqvist was born in Tanzania to a Tanzanian mother and a Swedish father. She was discovered by 2007 Playmate of the Year Sara Jean Underwood at a bebe store on Rodeo Drive in Beverly Hills, California.

    Ljungqvist co-hosted the Playboy New Year's Eve Party 2009 in Miami, Florida alongside several other playmates.
    Personal life

    Due to her father's work for UNICEF, Ljungqvist traveled a great deal. She speaks English, Swedish, and Swahili.

    Since being named Playmate of the Year, Ljungqvist has worked with Empowerment Works, a non-profit, global sustainability think-tank. Her work includes raising awareness about the organization and fundraising.

    Ljungqvist has a degree in fashion design and marketing, and plans to study economics.

    In December 2007, Ljungqvist married Joshua R. Lang. After 5 years together, Lang filed for divorce in September 2008. In November 2008, MSNBC reported a custody struggle between them over their pet Chihuahua.

    SOURCE: www.wikipedia.org # powerofcopy&paste

    ReplyDelete
  5. TUNAOMBA JINA BASI

    ReplyDelete
  6. Jamani acheni kushobokea vitu msivyovijua mtu yoyote Ana access ya kutengeneza picha km yuko any place or magazine yeyote na teknolojia hii watu bado washamba? Huyu Ni Malaya wa Washington DC Marekani jina lake kamili ni Elizabeth Luhanga na anatumia jina la Lizzy Haynes au Liz Haynes Kwenye Facebook ingieni mtamuona na mipicha yake ya nusu uchi. Wewe ulieuliza jina lake ndio Hilo.Hayupo Kwenye play boy magazine or what mbaya km yy nani amuweke? Kwanza shepu yake sio ya playboy wamuweke wala sura za hivyo hawazitaki. Habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  7. we Anonymous wa hapo juu nyie ndo mnao mtoa E;iza mitandanoni sa mnapata nini...kama ni malaya si anatumia maungo yake ipasavyo kwa raha zake inawauma nini......Omby Nyongole hamtaweza mfikia Lizzy hata kwa kumkimbiza jamani yupo mbali sana mtasema weeeee mwisho mtachemsha...mumuache miaka mia nane nyoko nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad