UFISADI MPYAAA WA MWENYEKITI WA TAIFA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI, FREEMAN MBOWE WAANIKWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Imeandikwa na 
Habibu Mchange
0762178678:
-------
 Juzi niliandika kuhusu unafiki wa MBOWE kuwahadaa Watanzania ya kwamba yeye hanunuliki, nilitoa ushuhuda wa MBOWE kupokea million 100 kutoka kwa ROSTAM AZIZ aliyekuwa mwanamkakati muhimu wa ushindi wa Urais kwa mgombea wa CCM mwaka 2005 Mheshimiwa JAKAYA KIKWETE, ambapo pesa hizo zilipokelewa mwezi oktoba 2005 na kumfikia mbowe kupitia kwa mke wake ndugu LILIAN MTEI MBOWE, na kumfikia MBOWE ambaye kipindi hicho alikuwa anagombea URAIS kupitia CHADEMA,

hapa mbowe sio tu kwamba alinunuliwa, alihongwa ama kutumiwa kuwadhoofisha wapinzani waliokuwa na nguvu kipindi hicho, bali pia alidhihirisha namna gani yeye ni mpinzani mtiifu kwa CCM (alikubali kutumika) na ni MNAFIKI ALIYETUKUKA.

Leo tarehe 18.12.2013, Magazeti kadhaa yameripoti juu ya muendelezo wa unafiki wa MBOWE na vibaraka wake.

Magazeti yameandika pamoja na mambo mengine, kwa ufupi kabisa hivi ifuatavyo.

• Amemshinikiza mbunge wa viti maalum ndugu JOYCE MUKYA kukatisha ziara ya kikazi za kibunge alipopangiwa na kumlazimisha wakakutane nyumbani kwake DUBAI, inawezekana ni kwenda kumlea motto wao FREELADY MBOWE, ama vinginevyo, lakini huu ni uthibitisho wa UNAFIKI wa MBOWE mbele ya WATANZANIA, kushiriki kutumia kodi za watanzania kwa matumizi binafsi tena ya KIMAPENZI na mwanamke aliyemteua kuwa mbunge bila ya kuwa na uwezo wa kukidhi vigezo vya uteuzi wa UBUNGE ndani ya chama. Kwa sasa JOYCE MUKYA ni mbunge, Hawara na mama wa motto mmoja aitwaye FREELADY MBOWE, Aliyejifungulia NEW YORK NCHINI MAREKANI kwa kutumia kodi za Watanzania.


• MFUASI WAKE ASIYEJIELEWA – JOSHUA NASSARY, wiki chache zilizopita mbunge huyu wa UPEPO WA CHAMA alishiriki kumtuhumu ndugu Zitto Kabwe Kuwa anasafiri nchi nyingi ili apate posho za safari, afadhali aliyemtuhumu kuwa anasafiri, lakini yeye ameumbuliwa kuwa AMESHIRIKI KUCHUKUA pesa za UMMA WA WATANZANIA, kisha kutokwenda kushiriki ziara ya kimafunzo kwa maslahi ya nchi. Million 8 alizopewa nassary si pesa nyingi kusema anaweza kutia hasara sana, lakini ni pesa zinazoweka rehani ule upambanaji anaojitambulisha nao mbele ya jamii, ni pesa zinazoweka hatiani uwajibikaji anaojitamba nao, ni pesa zinazomdhihirisha kwamba yeye ni mwizi wa mali ya umma kama walivyo wezi wengine.

UNAFIKI WA AWALI WA MBOWE NA WAFUASI WAKE.

• Walijitangaza hadharani kuwa Hawapokei na wanapinga posho, LAKINI MPAKA SASA WANARAMBA POSHO KAMA KAWAIDA, na pindi inapotokea imecheleweshwa kulipwa wanasimama kidete kuidai, mwanachadema pekee asiyepokea posho ni ZITTO KABWE.

• MBOWE, kwa mbwe mbwe kubwa alilirudisha gari la kiongozi wa upinzani, kwa nderemo, vigeregere, matarumbeta waandishi wa habari na vifijo, kuwa kutumia gari la KUB ni kuwakosea Watanzania, kuwadharirisha na kuzitumia vibaya rasilimali za Taifa letu, hapa mbowe akajidai ni mzalendo, tuliokuwa tunamfahamu tulicheka tukamuacha kama ataweza kuhimili alichokisema.

• MBOWE, kwa aibu kubwa, akajirudishia gari la KIONGOZI WA UPINZANI, hapa akatafuna matapishi yake mwenyewe, ila safari hii alifanya kimya kimya.

• Kwa masikitiko makubwa hivi sasa mbowe anashirikiana na watuhumiwa wengine wanaomiliki mali nyingi nje ya nchi ikiwemo uswiz na kwengineko. 

• Mbowe anamiliki NYUMBA TATU, Pesa na mali nyinginezo nje ya nchi, anamiliki NYUMBA – AFRIKA YA KUSINI , DUBAI NA MAREKANI. Ameshaitwa kuhojiwa namna alivyoweza kuzipata NYUMBA HIZO ama kama kuna biashara anafanya zaidi ya UMILIKI WA DANGURO LA BILLCANAS.

• Mbowe anawatetea watoto wa kimasikini wa Kitanzania, ili hali watoto wake wote sio Watanzania kwa Kuzaliwa, Mpaka sasa anajitamba kwenye vikao vya chama kuwa mtoto wake mmoja amezaliwa NEW YORK (Huyu ni mmarekani wa kuzaliwa), Mtoto wake Mwingine amezaliwa LONDONI huyu ni Muingereza kwa kuzaliwa , na motto wake wa sasa hivi aliyemzaa na JOYCE MUKYA amezaliwa NEW YORK (Huyu naye pia ni mmarekani wa kuzaliwa). Uzalendo wa MBOWE uko wapi mpaka sasa?.

UNAFIKI ZAIDI

Naomba nishirikiane nanyi kujiuliza maswali machache, UKO WAPI UZALENDO WA MBOWE?, 
Kuna Tofauti gani kati ya mali za Mbowe nje ya Nchi na Vijisenti vya Andrew Chenge?. Mbona hawa wote ni wamiliki wa mabilioni nje ya nchi?.

Uzalendo wa Mbowe unatokana na nini kwa Watanzania, kwanini Watanzania Tumpende Mbowe ambaye hatupendi?, hapendi shule zetu, Hapendi Hospitali zetu, hapendi ardhi yetu ndio maana anamiliki majumba nchi za nje.

Kwanini tusiamini mbowe anashiriki kutuchafua kama Taifa hasa vijana akijua kabisa watoto wake yeye sio Watanzania. Ina maana mbowe hapendi watoto zake waje kuwa viongozi wa Taifa hili kama ilivyo kwake?, kama la, kwanini amewanyang’anya haki ya wao kuwa watanzania wa kuzaliwa?.

Nimeamua kujitoa Muhanga kuwaelewesha masikini wenzangu, walalahoi wenzangu na wanyonge wenzangu, Mbowe sio mtetezi wetu, mbowe ni mfanyabiashara ambaye mtaji wake ni umasikini wetu, anatutumia sisi masikini na walalahoi kama mtaji wake wa kisiasa, anatutumia bila ya sisi kujijua, mbowe ni Tapeli wa kisiasa.

HISTORIA INAMPINGA

Mimi ni mkuumini wa Historia ya ukombozi, ninafahamu dunia nzima namna nchi zilizohitaji ukombozi namna zilivyopata ukombozi na namna ya viongozi wao waliowakomboa walivyojitokeza kwenye jamii.

Mbowe ndio mfanyabiashara pekee anayejiita mtetezi wa masikini duniani, tangu nimewahi kuifahamu historia ya ukombozi,

Hakujawahi kutokea Duniani labda ahera, Masikini wakatetewa na Tajiri, Haijawahi na Jaitawahi kutokea Mfanya biashara yoyote akapanga kupata hasarfa eti kwa maslahi ya Umma, wafanya biashara wote wanawaza faida, hata mbowe anawaza faida na sasa anatafuta faida kwa gharama yoyote.

Tunamsifia Mandela leo, Mandela hakuwa mfanyabiashara, Mandela hakuwa tajiri, Mandela alichangiwa na masikini wenzake kuikomboa Arika ya Kusini, Mandela hakuwahi Kuikopesha ANC pesa ili iwaondoe Makaburuu, Mandela alifanana na jamii aliyotaka kuikomboa na Mandela alifanikiwa kuikomboa.

Wote tunamsifia Nyerere Hapa Tanzania, Nyerere Hakuwa Mfanyabiashara, mwalimu Hakuwa Tajiri, mwalimu Hakuwahi kuikopesha TANU ili kumuondoa MKOLONI, nyerere alichangiwa na masikini wenzake, aliombewa na walalhoi wenzake na alilindwa na mafukara wenzake.

Mkifano ni mingi, hivyo hivyo kwa Samora Machel, Kwame Nkuruma, Milton Obote, Robert Mugabe, Kamuzu Banda, Dkt Martin Lutherking, Mahatma Gandh, Mao Zedong, AmilicaCabra na wengineo wote, KAMWE KUNGURU WASIOFANANA HAWAWEZI KURUKA PAMOJA.
Nitaendelea kuwafundisha mengi ninayoyajua kuhusu MBOWE NA CHADEMA kwa kadri itakavyowezekana.

Itoshe tu kusema kwa sasa kwamba Taifa letu kweli linahitaji mabadiliko makubwa ya kiutawala, linahitaji mabadiliko makubwa sana ya kisera kimfumo na kimuundo, na ni kweli kabisa CCM imeshindwa kuendana na Kasi hii ya uhitaji wa mabadiliko, lakini Bahati mbaya sana watu sahihi wa kufanya Mabadiliko bado hawaonekani, bado Hawapo, Bado wanafanyabiashara ya kisiasa.

TAHADHARI.
Nimekuwa nikipokea meseji za vitisho kupitia simu, email na facebook, kuwa nitauawa kama wangwe, ninasema hivi, nipo tayari kwa yote na mwenye uhakika wa kufanya hivyo asipate shida, anipigie simu kwa namba yangu 0762178678 NITAMFUATA ALIPO ATIMIZE LENGO LAKE.


Kwangu Daima NYEUPE NI NYEUPE na NJANO NI NJANO.
Mimi
Habibu Mchange
0762178678
mchangehabibu@yahoo.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Habibu mchange fanya maisha yako jamaa unapoelekea huko utapotea tu watu hata hawatajua umeenda wapi ya nsondo mwachie ngurumo siasa sio rahisi kama unavoitafsiri ww ni hayo tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eeeeh, Mchange fala sana for sure anawivu na Mbowe ile mbayaa, sitaki hata kuongelea utajiri wa kina mbowe manake tukianza kuchimba viongozi wenye vijisenti sijui atapona yupi. Bila kumtetea mbowe ukweli ni kwamba huu ukoo nimekua na kuukuta unavijisent toka nasoma Azania miaka ya 80 , itkuwa ni ajabu sana leo kusema mbowe katajirika through Cadema na kununua hayo majumba ulaya, otherwise basi msajili, CAG, serikali wote ni wajinga hawajui pesa za chadema zinaenda wapi.hizo pesa anazoongelea mchange hazitoshi hata kumnunulia gari mpenzi wangu, mchange chapa kazi utakufa masikini.

      Delete
  2. Bwana Habibu habari yako imekaa kinafiki zaidi na chuki binafsi, vipi alikushapia mkeo nini?jaribu kuweka ushaidi kuback up story yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata mnaomshambulia habibu nanyi ni wasenge tu pia...badala muhoji hoja zake mnaanza kumshambulia,kumamae zenu,kuma nyie.

      Delete
  3. Wewe uliyeandka ukurasa hapo juu una nia ya kuileza jamii ubaya wa
    Mbowe ili iserve what purpose? so we can hate him, stop trusting him or
    change our minds about CHADEMA? I am not sure what you are trying to achieve and your timing is rather suspicious! Granted, Mbowe may have a nyumba ndogo but who says Mbowe is a Saint? That does not make him a bad leader. Je Bill Clinton?? Watoto wake kuzaliwa outside the country has nothing to do kuwa yeye si mzalendo na kama hujui sharia ya uhamiaji, hao watoto ni Wanzania by parenthood mpaka watakapofika miaka 18. Ina maana basi Mandela hakuwa mzalendo alipoenda kuoa Graca Machel ama? I dot live in Tanzania, I don't belong to any chama cha siasa but what you have written haileti uzito wowote zaidi ya cheap politics. It is rather sad that this is what politics boils down to in our country. Yani na jnsi uivyoiandika hiyo yan ni kimajungu tupu and cheap! Yani kama ulikuwa unataka Zito akuone wa maana naona atakuwa amekasirika kwa sababu as I understand his intelligence ni kama umemshusha hadhi by trying kumsifia. Bora ungenyamaza tu. Actually, wewe umenifanya sasa niwe na curiosity na CHADEMA kabisa... please kwa wanaojua namna ya kujiunga how do you do it ama upo nje ya nchi? I live near Cambridge in the UK je kuna Branch hapa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtamtetea lkn huo ndo ukweli wanajifanya wana uchungu na watu wa hali ya chini lkn wapiiiiiiiiiiii

      Delete
  4. Wacha siasa uchwara Habibu, kama anaye hawara hilo mwachie mkewe alalamike. Kuhusu utajiri wake sioni shida yeyote. Kwani Mbowe amewahi kufanya ufisadi wowote serikalini? Au ukiwa tajiri basi usiwe mwanasiasa. Bullcrap

    ReplyDelete
  5. HABIBU kumamayo unafirwa nguruwe msengewewe! huo unafikiwako kamwambie mkeo

    ReplyDelete
  6. If you can't beat them join them....

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa sijamsoma!

    ReplyDelete
  8. siku zote nimekua nikishangazwa na siasa, wanasiasa na namna ya uandishi wa habari wa kitanzania, kiukweli PERSONAL ATTACKS haitatusaidia kujikomboa kifira na baadae kisiasa na kiuchumi. Busara yangu inanielekeza kwamba watanzania wengi bado hawajajikomboa kifikira kutokana na siasa na maisha tunayoishi. Mimi ukiniuliza kuhusu familia ya Mzee Mbowe siwezi kushangaa ukiniambia wanapesa na nyumba nje ya nchi, ukifuatilia historia baada ya ukoloni ubarazi wa Tanzania Merekani na Wingereza ulipewa chumba katika nyumba ya Mzee Mbowe Merekani na Uingereza mpaka baadaye Mwalimu na nchi yetu ilipoweza kusimama kiuchumi na kupanga pango lake. Leo ukiniambia eti motto wa mzee mbowe yani Aikaeli mbowe anakwiba mali za watanzania na kwenda kujenga majengo nje ya nchi ntakuona bado unahitaji ukombozi wa kifikira. PETTY POLITICS ndiyo inayotafuna taifa letu mpaka tunafikai hatua ya kuwachagua MADALALI watuongoze. Ndugu ntafte tubadilishane mawazo ili ujikomboe kifikira. 0712-174034.

    ReplyDelete
  9. Nyie mnaemtetea mbowe bwana wenu? Mbona imewauma sema

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona ee hata kama ana mabaya wanatetea usenge tu na watasubiri sana

      Delete
  10. We habibu umesema yko usitshwe na m2.

    ReplyDelete
  11. Kuwa mzalendo ndugu yangu, mafisad wapo na wanajulikana, na mbowe humjui vzur hzo ni mali baba yake na nduguze, kwa nn watanzania 2napenda unafiki? WANANCHI kwa sasa 2najua fisad ni yup, kwa wanaonekana wazi, haina haja ya kujisumbua na kupotosha uma, MUWE MNAENDA SHULE NDUGU ZANGU,

    ReplyDelete
  12. jamani mbona mi naona kila mtu ana haki ya kuandika anachotaka ilimradi asivunje sheria ya nchi kwani hapo kuna tatizo gani jamani?naona matusi yamekuwa ni mengi hali ya taharuki imezidi kinachotakiwa ni kuwa kama sio kweli basi mwenyewe mbowe ajibu kwakuwa hapa ki ukweli amechafuliwa sana na kama ni kweli basi ni kama tumejua sasa tatizo lipo wapi jamani?tunatakiwa tushindane kwa hoja na sio matusi yasiyo na maana yoyote jamani mbona hivyo? habibu keshasema kwa hoja zake ambae anasema sio kweli alete hoja zake watanzania tujifunze, hii ni siasa ileile ambayo amezungumzwa zito na ndio ileile ambayo anazungumziwagwa kikwete mbona hakunaga matusi kama haya? LETENI HOJA ACHENI BLAH BLAH HAPA!!

    ReplyDelete
  13. Jaman muachen kaandika maoni yake na kama kuna mt analingine aandike tatizo liko wap?

    ReplyDelete
  14. kiukweli ndg MCHAGE unajiaibisha. wht a senseless article.

    ReplyDelete
  15. Daah Habibu Mchange akuue nani mbwa koko wewe tena kwa faida gani hasw? Sijui ulipataje cheo chadema bt kwa ulichokiandika leo kuhusu mbowe akili yakp haifai hata kusafisha choo tu. Hutajua mavi ni yapi, mkojo upi na shimo liko wapi, coz hivi wewe mtz au mtu wa msumbiji? hujui utajiri wa kina Mbowe upo toka lini au wanamajumba ulaya toka lini au wanaishi ulaya na kuzaliana huko toka lini daaah,

    ReplyDelete
  16. Nimemuelewa sana habib naomba niwekee detail nyngne kwny mgumuink@gmail.com wanaokupnga wote makuma na ndo walewale mashabik wasiokuwa nahata card ya kupga kura. Ntakusaidia kaka kuwafahamsha masikn wengne.

    ReplyDelete
  17. big Habibu, mtu mwenye akili timamu hawezi kubeza hoja zako hata kidogo! Wanaotunisha misuli ya shingo kukushambulia humu watakuwa wanafanya hivyo kwa ujinga na upumbavu uliowajaa au kwa maslahi binafsi na si ya taifa. Mpo wachache sana wenye ujasiri kama wako! Big up once again.

    ReplyDelete
  18. habibu anahoja ya msingi huwezi kihubiri uadilifu wakati wewe si muadlifu..kama kuna mtu anahoja ni bora akampinga kwa hoja acheni matusi

    ReplyDelete
  19. Huo ndiyo inafiki wa siasa za kobongo mwakani ningepiga kura kwa mara ya kwanza nimegairi tena. wote wezi tu kama unapesa kwanin usichangie chama chako mpaka ukikopeshe?!

    ReplyDelete
  20. unatafutie uraia wa mbele watoto wako halafu uanzishe vita tupigane. acha hivyo mzee mzima

    ReplyDelete
    Replies
    1. mambo mengne n ya siri..ndo maana wanafanya nnje mbo mbona vigogo wengne wa CCM wanafanya hvyo knzia Lowasa JK Mengi mmeskia zle n tabia binafsi za watu ata ww ukipata nafas utafanya hvyo..

      Delete
  21. hili la uraia wa mbele kwa watoto wako halafu sisi wakwetu machema ni noma mkuu...kuwa mzalendo mzee wa anga

    ReplyDelete
  22. hili la uraia wa mbele kwa watoto wako halafu sisi wakwetu machema ni noma mkuu...kuwa mzalendo mzee wa anga

    ReplyDelete
    Replies
    1. hakuna uzalendo wowote shwain hawa

      Delete
  23. Cheap politics......

    ReplyDelete
  24. wewe bwana habibu fisadi ni wewe, sababu hizo hela ulizopewa na mafisadi wa ccm kuandika utumbo huu ni za wananchi, kwahiyo naomba ujitafakari kwanza.

    ReplyDelete
  25. tutaomba kesho utuchambulie ya mwingilu nchemba vilevile, maanake yule jamaa alipanga mambo mengi yakigaidi!

    ReplyDelete
  26. tunataka habari kama hizi na zaidi ya hizi kwani zinatufungua macho na masikio yetu, tuko pamoja nawe habibu.

    ReplyDelete
  27. weka vitu kijana wetu habibu tutakusaidia kuzisambaza habari hizi usijali we chambua viongozi wote wendawazimu, mwaka 2015 nilipanga nikichague chama hiki kumbe kama wako hivi bora nirudi kwenye rangi ya kijani tu

    ReplyDelete
  28. mtu mwenye kujitambua na mwenye akili timamu hawezi kudanganywa na propaganda hizi chafu, hii ndiyo inayoitwa CHEAP POLITICS, njoo na hoja watu wakusikilize wazichambue na wa make decisions, siyo unakuja mchafua mtu tena kwenye site ya UDAKU ukasema utamdanganya mtu, kwanza nyie mnajua maana ya UDAKU ninini? ccm achene kutapatapa mshakwishaaa!

    ReplyDelete
  29. KAZI IPO KWA BINADAM.
    MKOMBOZ WA MASKINI NI MWENYEZ MUNGU TU. ZAIDI SANA NA NGUVU ZAKE MWENYEWE.
    SIONI NA SIJAONA MWENYE HURUMA ZAIDI YA MUMBA MWENYE KUUMBA, ASIYENACHO SIKUZOTE HANA MANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad