KIKONGWE AKAMATWA CHUMBANI KWA MTU AZANIWA KUWA NI MCHAWI-PICHA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hili ni tukio lilitokea huko Bukoba ambalo linamhusisha Kikongwe mmoja ambaye jina lake bado halijapatikana kukutwa chumbani kwa mtu huku akiwa mtupu chumbani kwa mtu.
25Mpaka sasa bado haijajulikana kama ni Kigarura au pengine alipata matamani ya mwili akaona pengine chumba kile kingemfaa kumpatia msaada wa mambo yake.
28Bibi Kizee huyo anakadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 70,ambapo amekamatwa alfajiri ya leo January 31 hata hivyo polisi wamefanikiwa kumnusuru na kifo baada ya kumchukua na kumpeleka kituo cha polisi.
30Mashuhuda wa mwanzo wanadai walimkuta bibi huyo akitapatapa bila kujua nini la kufanya huku akiwa mtupu na nguo zake zikiwa pembeni kitendo kilichotafsiriwa kwamba pengine bibi huyo anaweza kuwa mchawi,huku wengine wakisubiri taarifa ya polisi na wengine wakisema huenda bibi huyo alipatwa na matamanio ya kimwili.
Story na picha:bukobawadaublog.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bibi alikuwa na nyege alikuwa anataka kutombwa

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Nawewe akili huna, km huna hoja kaa kimya cha kutoa matusi maana yake nini?

      Delete
  3. wewe unaetukana unatukana kwanini?au huyo ni bb yako?

    ReplyDelete
  4. Du hi dunia imekuwa ngumu sana mungu amsaamehe kama ni mchawi kama sio basi ana jambo lake anajua yy

    ReplyDelete
  5. Eeeeh huyo bibi anamiaka 76 bado kweli anaweza kuwa na nyege kiasi hicho mpk anaingia kwenye nyumba ya mtu mmmmh wonders shall neva end

    ReplyDelete
  6. Ni mchawi huyo wala sio nyege za alfajir alikwenda kuwanga akashindwa

    ReplyDelete

Top Post Ad