MCHUMBA WA LULU MICHAEL SI SIRI TENA!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hamida Hassan, Mayasa Mariwata na Galdness Mallya
HAYAWIHAYAWI hatimaye yamekua! Siku chache baada ya sexy lady wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kutangaza sifa za mwanaume atakayemchumbia, amejitokeza mtu anayetaka kuchukua jumla na si siri tena, Amani limenyetishiwa.

SIFA ZAKE
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa familia ya staa huyo anayekimbiza sokoni na filamu yake ya Foolish Age, mchumba huyo anaitwa Johnson lakini ni maarufu kwa jina la JR na pia ni Mkristo kama ilivyo kwa Lulu.

JR ni mfanyabiashara kigogo wa jijini Dar mwenye ‘mahela’ ya kufa mtu.
Pia mchumba huyo ni bosi wa kampuni kubwa ya uandaaji, usambazaji wa kazi za sanaa Bongo.

ALISHAKWENDA KWA AKINA LULU
“Kwa taarifa yenu, tayari JR anafahamika vizuri kwa akina Lulu kwani alishakwenda kujitambulisha na kuna maneno kwamba ndiye aliyempangia nyumba kubwa, Tegeta jijini Dar.

“Unajua yule jamaa aliona fursa akaitumia. Baada ya Lulu kutoka mahabusu kwa matatizo ya kifo cha mwandani wake, Steven Kanumba ndipo JR akafanya juu chini kumnasa hadi akafanikiwa,” kilisema chanzo chetu na kuongeza:

“Muda siyo mrefu zitasikika cherekochereko za Lulu kuolewa.
“Ukweli ni kwamba hata mama Lulu (Lucresia Karugila) amemkubali yule mchumba kwani ndiye anayemfanya Lulu aonekane kama alivyo kwa sasa.

“Sasa hivi Lulu anaishi kwenye bonge la nyumba kule Tegeta (Dar) na suala la usafiri si ishu. Anabadili tu magari. Kusema kweli kwa sasa bidada mambo yamemwendea vizuri.
“Anachoogopa tu yasitokee kama yale ya Clement wa Wema Sepetu.”

AMANI LASAKA WAHUSIKA
Baada ya kumwagiwa upupu huo, gazeti hili liliwasaka wahusika mmoja baada ya mwingine ili kupata mbivu na mbichi za ishu hiyo.

MAMA LULU
Kwa kuwa ni jambo la kifamilia, gazeti hili lilipozungumza na mama Lulu, Lucresia Karugila alisema si jambo baya kwa mwanaye kuwa na mchumba hivyo anamkubali (huyo mchumba) huku akiweka wazi kuwa hana kipingamizi chochote.

Alipoulizwa jina la mwanaume huyo na kwamba ni kigogo mwenye fedha nyingi, mzazi huyo alitoa ruksa aulizwe Lulu mwenyewe.

“Mimi sina sababu ya kumkataa mwanaume ambaye wamekubaliana na mwanangu, kikubwa ni makubaliano, namkubali,” alisema mama Lulu.


HUYU HAPA LULU
Kwa upande wake Lulu mambo yalikuwa hivi;
Amani: Mambo vipi Lulu?
Lulu: Poa, naongea na nani?
Amani: (akatajiwa jina la mwandishi) kwanza hongera kwa kupata mchumba.
Lulu: Nani kawaambia?

Amani: Kwa kazi yetu hii hatushindwi kujua. Je, ni kweli umepata mchumba?
Lulu: Ndiyo lakini nisingependa sana kulizungumzia hilo.
Amani: Anaitwa nani?
Lulu: Siwezi kumtaja leo (Jumanne iliyopita). Nitawatajia tu ninyi subirini. Itakuwa surprise (mshangao), siku si nyingi nitamuanika.

Amani: Je, ni kweli ni maarufu kwa jina la JR? Au wewe tutajie hata jina la mwanzo tu.
Lulu: Nimeshasema jamani nitawatajia kwani ninyi mna haraka gani?
Amani: Je, ni kweli ni mmiliki wa kampuni ya burudani? (anatajiwa kampuni).
Lulu: Hayo yote yatafahamika kwenye utambulisho. Naomba niishie hapo ‘coz’ sina cha zaidi kuhusu ishu hiyo jamani subirini siku si nyingi.


MAMA KANUMBA
Baada ya kujiridhisha kuwa sasa Lulu ana mchumba rasmi, ‘kijumbe’ wetu alimfikishia taarifa aliyekuwa mama mkwe wa staa huyo wakati akiwa na Kanumba, mama Kanumba, Flora Mtegoa ili naye atie neno.

Mama Kanumba hakuwa na kipingamizi juu ya suala hilo zaidi ya kuchekelea huku akiweka wazi kuwa Lulu kwa sasa anaweza kuolewa.
“Mimi sina tatizo kabisa, namjua. Lulu anaweza kuolewa na nimempa baraka zote,” alisema mama Kanumba ambaye kwa sasa ni shosti mkubwa wa mama Lulu.

JR SASA
Hata hivyo, gazeti hili halikuishia hapo kwani lilisaka namba ya simu ya kiganjani ya mwanaume huyo ambapo ilipopatikana, alipigiwa, mambo yakawa hivi:
Amani: Habari yako mkuu JR?
JR: Safi, nikusaidie nini?

Amani: Mimi…(akatajiwa jina la mwandishi na kampuni) wewe ndiye JR mmiliki wa kampuni ya…(anatajiwa jina la kampuni).
JR: Kwanza mimi siyo JR ni GR. Huyo JR ni mdogo wangu.
Amani: Mbona sisi tumetajiwa JR ambaye anamiliki kampuni ya...(anatajiwa tena jina la kampuni).
JR: Oke, ndiyo mimi nikusaidie nini?

Amani: Taarifa tulizonazo ni kwamba una uhusiano na Lulu? Yaani wewe ndiye mchumba wake?
JR: Ndiyo, sitaki maswali (tusi na kukata simu).  
Tangu kitokee kifo cha Kanumba ambaye alikuwa na uhusiano wa siri na Lulu, bidada huyo hajawahi kuwa na mwanaume hadi huyo mchumba aliyejitokeza.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyie acheni udaku. Johnson Rukaza ni owner wa Proin promotion inayosambaza filamu ya lulu na ni kumanage lulu. Na Rukaza ameoa na ana watoto sasa ataoa tena? Labda wote wawili wajitoe fahamu na ndoa ifungwe na mama Rwakatare. Yes jamaa ana hela na makampuni ya kutosha.

    ReplyDelete
  2. HAA NAN AMWOE LULU HUYO NI HAWARA 2

    ReplyDelete
  3. Johnson Rukaza ana mke na watoto,pia ana mwanamke kazaa nae sasa na lulu anaingia tena duuu,wacha movie ziendeleee,hela alizonazo johnson ni madalio ya hela za EPA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yeah ila kazitumia vyema pesa za epa hajazirapanya ila kuolewa nae ni ndoto. Labda kuolewa na mdogo wake Johnson ila yy atabaki kua hawara tu.

      Delete
  4. huyo msela kakosa mke au???????????yn huyo lulu kashafilwaa sana hapa tz...na anatiwa sanaa tamaa zitamuaaa kwanza sidhan km ni mzima huyoo dem....mtoto mdogooo ashafumuliwa mpaka tigooo may be azae kwa oparetion lkn kuzaa kawaida haiwezekan tenaaaaa...hana isue malaya lulu tupa kuleeeeeeeeeeeee anasagwa sn na anatiwa sn

    ReplyDelete
  5. na huyo lukaza namfaham ana mke na hata wadogo zake wote wameoaaa..........pesa za epa zipoo may be ale pesa tuu si kusema ataolewaa hana isue....

    ReplyDelete
  6. Lulu una mwisho mbaaya sana kuliko wa wema sepegtu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mwisho wako unaujua mpaka ukatabiri mwisho wa mwenzako?

      Delete
  7. Watu jamani wamejaaliwa kusema hamna wasichokijua ulimwenguni. Hata lakwako usilolifahamu, waja wanalifahamu. Mungu tunusuru.

    ReplyDelete
  8. Kunaulazima kuolewa staa au kuoa staa mitaani si wako wanawake wengi tu

    ReplyDelete
  9. Acheni kelele nyie vinyago, wamependana wenyewe wakishindwana ni wenyewe nyinyi inawahusu nn, ukiona hvo hamna bahati ya kupendwa. Aolewa mdogo wangu wala usisikilize maneno ya walishindwa maisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaeee, mijitu sijui ikoje, juzi juzi tu wslikuwa wanamshadadia Sepetu kurudi kwa Domo, sasa karudi angalia mineno wanayomkandia, na ndio mibingwa ya kumuombea mwisho mbaya, ndio maana tunalaanika, leo kitoto cha watu kinatangaza jambo la kheri mijitu imeanza kupaka shombo. Sasa wanatakaje. Mbona nyie kila siku mnalala na wanaume za watu na kulala wake za watu. Au kwa kuwa hamjulikani. Mi nakereka sana.

      Delete
  10. Mume ana hela hela, wewe acheni ushamba hakuna tena maisha ya kumtegemea mwanaume hela nzuri ni ile ambayo unatafuta kwa jasho lako vinginevyo utaendeshwa kama gari bovu. kwanza Lulu mwenyewe mtafutaji! Olewa dia ila kumbuka kuwapa kadi hao wakeleketwa ili waone kinachoendelea!

    ReplyDelete
  11. Mmmh kweli wau wanajua kuchonga...anyway lulu usiogope chochote,endeleeni na mipango yenu ilimradi tu uwashirikishe wazazi wako katika hayo unayoyafanya.

    ReplyDelete
  12. we lulu utakuja kupasuka mkundu kwa kupenda mbolo

    ReplyDelete
  13. JAMANI ME NAUZA KUMA NA MKUNDU PIA UKITAKA KUNITIA MDOMONI POA KWA BEI YA SH 5000 ELFU TANO ANAYENIITAJI AACHE NAMBA NAPATKANA SINZA MADUKANI

    ReplyDelete
  14. HUO MKUNDU USHAPANUKA KAMA NDOO HAUWEZI PASUKA KIMBEMBE KITAKUJA KWENYE KUZAA ATOWEZA ZALIA KWENYE KUMA ATAZAA MAVI YANAYOTOKA MKUNDUNI BILA KUPASULIWA ATAUWA MTOTO SHAURI YAKE

    ReplyDelete
  15. Ili tusipate muda wa umbea kila mtu asome hii: http://tasktojob.com/index.php?task=89648

    ReplyDelete
    Replies
    1. toa maelezo kuhusu hyo link

      Delete
  16. duh mi napita tu

    ReplyDelete
  17. HØÒÑGÊRÂ $ÅÑÅ WÄDÄÛ

    ReplyDelete
  18. kuma yake lulu ni noma

    ReplyDelete
  19. Dunia haina hurum ..! Kwahiyo fanya yako lulu

    ReplyDelete
  20. Mi do niliwaambia msione Wala msitamani maisha ya lulu instagram,jasho la mtoka nasikia anamfiraaaaaa mpaka basi.Jamani nyie vigogo sisi tusiona na hela ndio tusipate mademu?mademu wooote mnachukua nyie si bridging na wake zenu?

    ReplyDelete
  21. Duh....kwa hiyo hata huyo hawara wa JR awe mavho kwani LULU kashachukua chombo....kweli mwizi nae huibiwa no matter what...muoneeni mama mwenye nyumba mke halali huruma na watoto wake...hamna hata aibu.

    ReplyDelete
  22. Lulu acha umalaya umeiba mchumba wa husna shogako mbwa ww

    ReplyDelete
  23. jamani mbona JR ni mwanaume aliye tulia huyo X wife wake alikuwa malaya alikuwa anatembea na mume wangu nikataka kwenda kumwambia JR ila nikasikia pia huyo mwanamke anatembea na mume wa mtu tena jirani yanke yani dada alikuwa anaringa huyu sasa hivi anakaa jirani na dada yangu mbezi kachokaa full shangingi watoto wake nasikia wako international yani mdau usisema chaa mke halali yani huyu kaka mstaarabu sana. mbona Lulu anaendaga kwa JR na mke wake anamjua yani huyu X wake nimemfwatilia mama yake ndo hafai.

    ReplyDelete
  24. huyo sio bwana ila ni hawara tuu [lulu ni ishu ya kanumba hata kama kakata ugali

    ReplyDelete
  25. wewe wa sinza madukan unaeuza kuma na mkundu nitafte 0716263804

    ReplyDelete
  26. Da hatar mbona matusi

    ReplyDelete
  27. Replies
    1. miji2 inakera sana sijui wanataka kuolewa wao

      Delete

Top Post Ad