MKE WA KIGOGO WA CHADEMA, JOYCE KIRIA AMVAA FREEMAN MBOWE NA KUIRARUA CHADEMA NZIMA .... HAYA HAPA MAKOMBORA YAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NGUVU YA ZITTO IMEMUINGIA HADI MKE WA JUNIO KILEO,KILEO NI YULE AMBAE ALILALAMIKIWA NA KUSHITAKIWA NA ZITTO KUWA ALIWEKA KWENYE MTANDAO WAKE HABARI ZA KUWA ZITTO KAONGWA NA CCM

MKE WA KILEO BI JOYCE KIRIA AAMUA KUANIKA UKWELI HADHARANI
Dada Joyce Kiria ambaye ni mwendesha kipindi cha Wanawake Live CHA EATV
Haya ndiyo maoni yake katika mjadala mmojawapo katika wall ya Albert Msando. Mjadala upo chini ya Kitila na Mwigamba wavuliwa uongozi.
"Kama CDM mmeamua kuchonga barabara, msiwaache wanaokwenda kinyume na Miiko na Maadili ya Uongozi. Mh Mbowe kazaa nje ya Ndoa! Mh Mukya kazaa na Mume wa mtu. HAO NI VIONGOZI WA AINA GANI??

Na Viongozi wengine wenye tabia za namna hiyo hawafai hata kuwa wajume wa nyumba 10...

CDM Mkiishia kwa ZZK mtakuwa Mmebagua sana. Na mtakuwa mmewaonea sana kina ZZK na his Team. Mtazamo tu

Yangu Macho...

Uaminifu ndo Msingi wa mambo yote! Ukishindwa kuwa mwaminifu kwenye familia yako, Ndoa yako, nyumbani kwako, hakuna mahali pengine utaweza kuwa Mwaminifu.

Hayo ya Ufisadi yanaanza na Mtu binafsi, Familia, ( Mke) na mwisho ndo Jamii...

Umeshindwa kuongoza Familia yako, ivi kweli Taifa ndo Utaliweza??

CDM msipokubali chujio liwapitie wote, mkabakia kuangalia tabaka na vidagaa mtachelewa sana kufika....

Mtazamo wangu na Msimamo wangu ndo huo...

Uchaguzi ujao ni heri kuchagua Mtu siyo chama! kama mambo hayatabadilika...

Note: Jazba inatoa watu povu kweli..mie huwa sijali

Hiyo inaitwa Vunja Ukimya, Elimika,

Uaminifu wa Kiongozi yeyote na dhamira yake ya kubeba Dhamana ya Matumaini ya Wananchi Ni Lazima Ianzie nyumbani kwake.

Kama Kiongozi ameshindwa kutunza Uaminifu kwa Mke wake, (familia moja) atawezaje kwa jamii (familia lukuki) kama Kiongozi ameiumiza familia yake ya watu wachache, atashindwa vipi kuwaumiza watanzania wengi asiowajua....

Unapomuumiza Mke wako aliyekuzalia Watoto, kwa kutoka nje ya Ndoa, tena Ukazaa huko!! wewe huna tofauti na Mafisadi wengine...

Hufai Kuwa Kiongozi hata wa Nyumba 10....

Huo ndo msimamo wangu mimi Joyce Kiria..... Tokeni povu lakini hamnisumbui ng'o... Ukweli daima nitasema ili niepuke Unafiki na Uzandiki niwe Huru...."
Credit: Emmanuel Shilatu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

38 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mambo meengi yatasemwaa saaaana kuhusu Mhs Mbowe, lakini Mbowe ni binadamu tu kama wengine, tungeweza kupata taarifa za kila mmoja huko juu, basi labda Mh Mbowe angeonekana cha mtoto, kunamijitu michafu huko acha tu, na ni watu wakubwa tu!!!

    ReplyDelete
  2. Aisee mpekuzi si ujaribu kusoma hbr yako kabla ya kupost? Mume wa Joyce Kiria anaitwa Henry Kileo. Junior ni mtoto wake.

    ReplyDelete
  3. asante bi joyce

    ReplyDelete
  4. Yan MIMI nimeachana na Chadema kbs!! Ni uzinzi tu! Joyce mwaya tumechoka na mambo ya Mbowe kbs mara Grace Kiwelu mara Irene Lema! Or mara chifu Agwao jamani Uwiiiiii!!! Labda Ni tamaa tu Ni Laana??? Ebu akue jamani!!! Mke wake ameokoka apige goti Mungu atamsaidia kupigana na Huyu Joyce Mukya! MANAKE Ni mchawi mbaya!!

    ReplyDelete
  5. Upuuzi, Chadema sio chama cha kuangalia ndoa ya mtu, ndani ya ndoa kuna vitu vingi na inapotokea jambo lolote kunakuwa na sababu ambayo mtu yeyote watatu anakuwa haimhusu

    Ndoa ni ya watu wawili, na makubaliano ya wawili, mtu wa tatu akianza kuumia na mambo yasiyomhusu ni UCHOKO

    ReplyDelete
  6. Mdau Wa 12:20 Mungu akubariki!!! Tumsaidie kiroho Lily mtei jamani!'n wenye ndoa tumsaidie mwenzetu!!! Joyce mukya anaenda Naigeria kuloga jamani!!' lkn Huyu Mungu yupo!!' iko sk yatamrudi tupo mtaona

    ReplyDelete
  7. Mdau Wa 12:23ni msenge!! Ujui mada inasemaje!!' ua na wewe unamfira Huyu Joyce mukya??? Pumbavu!!' hapa Ni ukweli mtupu!

    ReplyDelete
  8. acheni ubwege, hata nyie mnayecomment humu kumhoji Mbowe na ndoa yake, hatuyajui yenu, inawezekana nyie ndiyo wazinzi kabisa, mdau wa 12:23, nakubaliana na wewe kabisa Chadema cyo ndoa ya mtu, nyie inawahusu nini ndoa ya Mbowe? pumbaff!

    ReplyDelete
    Replies
    1. C sio viongoz,so tukioa,tukiacha,tukiwa na vimada lukuki haiadhiri chochote kiongoz c wakufanya hayo bana

      Delete
  9. mmh haya mbona hayahusiani..huyo jakaya kikwete mbona ana watoto kibao tu nje na ni rais, mbuge komba naye tena ana watoto nje..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Iambien din yenu iruhusu kuoa wake wanne, rais anawatoto ndio uliza anawake wangapi na ni halari

      Delete
  10. Joyce mukya anatabia chafu sn!! Mwaka 2010 alimchukua mume Wangu wakati anauza duka la nguo hapa Arusha stend ya vifod!! Akamloga na kuendesha vx ya mume wangu!' sikushindana nae nilipata washauri wengi Wa kunishauri!!! nilifunga maombi ya sk 7 tu nikalia na Mungu """" weeee achana na Mungu bwana allinijibu Kama mvua ya mawe aliona dunia chungu!! Aliachwa Kama Mbwa mume wangu akaniomba msamaha!!! Kwanza akaniambia MIMI Ni nzuri zaidi yake yeye ana miguu Kama fimbo!!! Eti Leo Ni Mbunge!!!! Eeeeeeeeh

    ReplyDelete
  11. Eeeeeeeeeeeh!!' Mbunge Alikuwa muuza duka!!!' uwiiii dunia kwishine!!!

    ReplyDelete
  12. Unauhakika gani kama huyo wa kwako hana nyumba ndogo we joyce ww hii ni dunia,usimnyooshee mwenziio kidole kimoja vingine vya kutizama ww dada.omba sana Mungu

    ReplyDelete
  13. Na wewe bwana Uko Wapi??? Ujui wabunge Wa Chadema hata Kama wewe Ni kuuza nyanya sokoni!! Mama ntilie! Au dada poa unachaguliwa?? Hawana makuu au uwe naa Cv bora!!chezea!!!!

    ReplyDelete
  14. Mdau Wa 1:04 usinifanye Mjinga Kama wewe!' MIMI Ni muombaji Hakuna Mfano mume wangu tuko wote mara kanisani!! Mara Dubai mara Marekani!' nakuambia bora awe na mwanamke Bt sio Joyce anafirwa na wanaume Wa mererani!!!!

    ReplyDelete
  15. CHADEMA ni chama cha uma, hata ukiwa mchunga ng'ombe, ukija na sera nzuri wanakuchagua, hawangalii sura!! Mungu ibariki Chadema, haya ya zito yatapita tu na ataenda nyumbani kwake ccm!!

    ReplyDelete
  16. Huyo anazania mbunge anazaliwa akiwa mbunge? Si bora muuza duka Marehemu Chacha Wangwe alikua anauza Bangi Tarime

    ReplyDelete
  17. msitoke nje ya mada huo ni mchoko usiokuwa na mada mambo ya ndani ya ndoa hayahusu uongozi ila tunataka viogozi bora hapa

    ReplyDelete
  18. Kiongozi anatakiwa awe msafi, ni kioo cha jamii, kama anakuwa mzinzi hafai kuwa kiongozi, wajinga wataona kuwa hayo niya binafsi, ila kwa kiongozi kwenye jamii yana impact kubwa.

    ReplyDelete
  19. Chadema imepoteza mwelekeo. Ukabila utawamaliza nyie chadema.

    ReplyDelete
  20. Mi nahisi elimu nayenyewe inachangia (Joyce

    ReplyDelete
  21. Halafu Ni muongo mkubwa mkimkuta saluni akijishaua utafkiri Si Mbunge!! Yan nilimkuta akijisifu saluni jinc amemkamata huyo baba freeLady unaweza zimia!! Alipoondoka nikuuliza Ni Nani huyu jamani? Nikajibiwa Ni Mbunge vita maulum Chadema! Nilipigwa na butwaa! Nikasema Mbona ajiheshimu Mbona anatofauti na machangudoa!!! Mbona amuogopi huyu Mungu!!! Anajisifu kumkamata mume Wa mtu??? Kwenye kadamnasi!!! Jesu's Shuka!!!!

    ReplyDelete
  22. mh makubwa haya

    ReplyDelete
  23. Aliepost ni zero brain au brain wash hakuna hoja hapa zai ya kupana matope, Poole coz sio tatizo lako ILA IQ yako ni zero pia hujaelmika

    ReplyDelete
  24. joyce kiria naona unayachukuria mambo ki uwanawake live zaidi.acha kuchanganya mambo,pamoja nakua na mwanamke mzuri duniani zaidi yako ww joyce, bill Clinton rais wa marekani alichepuka nje ya ndoa na monica lewinsicky....sembuse mbowe mwenyekiti wa chadema!!!!ninyi wanawake ni urithi wa kwetu tunawatumia tutakavyo na wanamme hatuna haja ya kuwagombania mpo wengi.usaliti wa zzt c wakuvumlika maana umeathiri fikira za wengi mno kuliko huyo mtoto mmoja wa mbowe aliyemmimba huyo kimada wake .........na usariti hata ww unao.....naomba uendelee kutoa orodha ya wasariti wenzio ndan ya ndoa n wengi endelea kutaja mwanamke live

    ReplyDelete
  25. Asante mdau kwa kutufungua macho na kujua ukweli Wa viongozi wetu' tutakuwa Makini na hawa Viti maalum sn! Atutakubali wakuokotwa okotwa hovyo! Hii Ni hatari sn Mbunge kujishau mbele za watu!! Arusha kuna hospital azina madawa& mablankert kwa nini asiende hata Mara moja kupeleka Angalau hata matunda kwa wagojwa??? Mbona anatuvunja moyo hv? Huo Ni ushamba mkubwa sn!! Je Elimu Yake vp??? Sera je??? Mmmm!

    ReplyDelete
  26. Mdau no 5:04 Nafiri Ulikuwa KUZIMU Ndo Umerudi duniani! Tuko serious na mada wewe Unaleta. uchawi wako!!! Pumbavu

    ReplyDelete
  27. Joyce Kiria asante! Ebu tuambie hao wanawake hapo juu Ni akina Nani?? Na wako Wapi mamii? Kwa Amani tu !! Nakupenda Mwanamke Wa shoka"HAPANA OGOPA!!

    ReplyDelete
  28. Anatafuta UMAARUFU MAVI, na mumeo hatakuwa hana kazi sana, maana huna mdomo sana na ujuaji umekujaa.

    ReplyDelete
  29. Elimu Yake form four'(zero) sera Yake gorofa Njiro!! Hata ukimuuliza Tanzania imepata Uhuru lini Ajui! Yeye lilichompeleka bungeni Ni kuzaa tu sio kudai maslahi ya WAZALENDO WALIOMTUMA! Hii Ndio sera ya Joyce mukya!!!

    ReplyDelete
  30. Na huyo Joyce kiria mawazo yake ya kidarasa la Saba yanamsumbua mumeo Hana mbele wala nyuma ukianza kuwa discuss watu kila mtu ni Malaya wewe ndo usiseme ulikuwa changudoa mkubwa, je ni kiongoz yupi aliye msafi

    ReplyDelete
  31. Na aliye waambia mume wake ni kigogo nani Hana mbele wala nyuma Elimu inasaidia jamani mtu anaamka Ana post instagram atakacho kabla ya kufikiri

    ReplyDelete
  32. Utujibu huyo Grace"Irene" Chiku" Ni Akina Nani? Maadam mambo yako Adharani tujue bc wako Wapi??? Manake issue Hii iko tangu mwaka Jana!! Na hawa mademu niliwasoma pia kuwa Ni Wa huyu kaka yetu Freeman!' mambo ya kuficha hayapo tena! Tuna Uhuru pls!

    ReplyDelete
  33. Asanta sana joyce,,,,kula 5,,,,, da! Umenikuna haswaaaaaaa nikakunika.

    ReplyDelete
  34. Wewe Joyce kiria uliokua unayafanya kinondoni unafikiri hatuyajui wewe na hawara yako yule muha mwenye chuo cha global college pale Mango garden. Acha unafiki

    ReplyDelete
  35. kama uongozi tungeangalia ndoa hata kikwete asingekuwa rahisi. huyo joyce kilia ndoa yake ya mwanzo na dj nelly ilimshinda baada ya kupata umaarufu na kufatwa na watu wenye pesa akamuona mumewe hafai na kudai talaka kwa nguvu hadi mahakamani. alikubali kuolewa ili ajisitili. only GOD can judge

    ReplyDelete
  36. Joyce joyce joyce mdogo wangu,heri ujinyamazie tu,kwakuwa kuna kamsemo kanasema nyani haoni kundule.habari ya usafi wala usitangaze itakurudi,na kumbuka hako kakipindi unapigapiga kelele hapo Eatv ,hako kamedia ni kamshkaji wake jamaa,hii nimekutonya tu ili mdogo wangu usije ukawa jobless soon.Ya ngoswe mwachie ngoswe.chunga kinywa couse kinaua.ni ushauri wa bure tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad