Nina Miaka Minne Kwenye Ndoa ila Mume Wangu Hajawahi Kunifikisha Kileleni..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mimi mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya:



1. Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi


2. Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii pale “Dar es Salaam“ kisawasawa kama tunado ile style ya chuma mboga.


Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi morogoro……tatizo nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama hatobadilika, basi nita-confirm namba (1) ya hapo juu….so na mimi nitaanzia  kutafuta wa kurusha nae roho.

Naomba mnisadies what to do at the moment!

By Koleta
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pumbavu sana mtu anachoka kazini Kuwa mbunifu kupiga show nje utarudi na ngwengwe

    ReplyDelete
  2. Ule umalaya wako huja acha km makalio unayo basi mpe tu weka futa halafu mwambie sitaili ya kuchuma mboga unauingiza mwenyewe mambo yatakua vizuri malaya mkubwa.

    ReplyDelete
  3. akili yako iko mkundun we kumanyambis
    yaan cjui una nin wew...
    unajua ni jins gan mumeo anavyokujali?
    kama mwanzo alipafm vizur..hebu jiulize nn kimebadrika sasa!!
    nakuomba kaa chini tena kwa hsia kali ongea na mumeo, nn tatzo na uache kuhis mambo hucyoyajua

    pia inawzekana mchaw ukawa mwenyewe (hucbweteke fara we)
    ikishndkana kabsa ni bora ushirikishe wazee

    huo utumbo wako wa kutoka nje, wala c suruhisho
    kwn huyo ataendelea kuwa mumeo mwenye hak na kuma yako nawe una haki na mboro yake
    amka dadangu......(sory kwa kukutus ...sio siri umeniudh sna)

    ReplyDelete
  4. Kaa naye na umweleze shida yako kwa upole na dhani atakuelewa,,kwa msaada zaidi niandikie e-mail zambezi@gmail.com

    ReplyDelete
  5. afu na nyie udaku weken kichwa cha habari sahihi.mmeandika miaka minne akat bi dada ansema miaka yote alikua anafaid isipokua ndan ya huu mwaka mmoja

    ReplyDelete
  6. i think kaa ufikilie coz hayo manbo hutokea tu coz ukute kabanwa kweli na shughuli even me my b alikua ivo kuja kukaa nae nikamuuliza reason aliyonipa kweli alikua lyt so it better ukaka nae atakwambia kila kitu na utakaa kwa aman as me

    ReplyDelete
  7. Wewe mtoto mjinga sana sana, mbona hio ni kitu cha kawaida sana, hivi unategemea nguvu za kiume za mwanaume zinabakigi ivo ivo toka ujana mpaka uzee? umri unavyoenda, majukumu ya familia, kazi nk hupunguza kwa kiasi kikubwa uwezo wa sex. tatizo wanaume lazima usimamishe, wakati wewe unapanua tu miguu inaingia hata kama hujisikia utapata mzuka juu kwa juu. lielewe hilo coz hata ukipiga show nje hata wa nje ataishiwa nguvu hivo hivo, labda ubadili kila cku na ngoma hutapona.

    ReplyDelete
  8. badilisha mtindo kukufanya

    ReplyDelete
  9. unatumia staili gani wakati wa kukutomba?

    ReplyDelete
  10. Ha ha ha.mwafurahisha kweli.kwik kwik kwik.leo nimecheka sana.

    ReplyDelete
  11. Kaa nae mweleze ukweli na jinsi unavyojisikia naye atakuelewa tu. Pia badili na staili ya mapenzi na penda kuvaa nguo zinazomtamanisha ukiwa naye chumbani uone kama hatopiga mambo.

    ReplyDelete
  12. hicho kidogo ridhka nacho acha tamaa kuma ww

    ReplyDelete
  13. Mwenza wako hajui shida unayopata kwa vile hujamweleza kwa kumaanisha.
    Mdau ameshauri vizuri kuwa kumbuka mwanzo ulikuwa unamfanyiaje mpaka wote mnaridhika. Ukikumbuka fanya hivyo hivyo mambo yatakuwa.
    Suala la badiliko la umbile mpaka unakiri Dar hafiki vizuri jukumu linarudi kwako kuhakikisha anakufikia bila kutumia nguvu nyingi. Vinginevyo ttz litakuwa kwako kama na wewe umeongeza uzito kiasi cha kushindwa kumrahisishia.
    Nakutakia heri hivyo nisingeshauri utafute nje.

    ReplyDelete
  14. Pole bi dada ongea na vizuri atakuelewa pia tafuta mtu mzima wa jinsia yako unaemuaamini uzungumze nae.

    ReplyDelete
  15. Pole bi dada ongea na vizuri atakuelewa pia tafuta mtu mzima wa jinsia yako unaemuaamini uzungumze nae.

    ReplyDelete

Top Post Ad