AT KATIKA AIBU NZITO 2014, MGANGA AIBUKA NA KUDAI AMESEPA NA LAKI TISA ZAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo asubuhi nilipoamka nilifungulia radio yangu nikakuta Dk Sharifaa akifunguka na kudai kuwa yeye ndio mganga wa A.T
Huu ndio ujumbe wa Dk Sharifaa (Mganga)
‘‘Tangu bado hajafahamika yaani sio mwanamuziki mimi nilikutana naye Zanzibar Unguja,tena nakumbuka kwa mara ya mwisho alikuja na Gerry Rhymes lakini Gerry alikuwa afahamu kitu chochote, chakushangaza tangu nilipomfanikishia mahitaji yake maana mimi ni mganga basi amenisahau kabisa nikijaribu kumpigia simu hapokei mpaka anapokei tuzo anapata safari za kwenda muscat amenisahau mimi ninaomba anipatie vile vitu alivyoahidi kwangu anipatie,sio kwa ugomvi ila sheria zetu sisi waganga kwasababu hizi ni kazi namdai deni la laki tisa nikimpigia simu hapokei ndio maana nimekuja hapa kuripoti’Alisema Mganga huyo.
‘Vitu vingine nilivyomsaidia vipo vingi kwa mfano anapotarajia kuachia wimbo mpya basi anakuja na Cd kwangu na mimi nafanyia taaluma yangu ya Uganga mwisho wa siku unakuta nyimbo zake nyingi zinapamba.Mimi naitwa Doctor Shariffa
SOURCE: Edwin Tanzania a.k.a 255
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wee mganga huna lolote,ni kutaka kuchafuana tu.Kama ni mganga fanya mavitu akulipe pesa zako iweje leo unakuja kulialia uraiani.kakukimbia baada ya kugundua wewe ni one of those tapeli manaotafuta chakula cha siku kuwapaka watu wajivu,

    ReplyDelete
  2. Tanzania wasanii hawakumbuki kuwa Yuko Mungu aliewaumba kbs!!! Yan wanamateso ya ajabu" Ebu Angalia!!!! Mmmmh

    ReplyDelete
  3. Kama kweli wewe ni mganga, fanya mambo akurudishie, kama si hivyo basi wewe sio mganga.

    ReplyDelete
  4. Huyo sio mganga hao ni wasanii wenzake na AT aliokua na ugomvi nao wameona wanawshinda kwa nyimbo za vijembe wameamua kumtafuta mtu kujifanya mganga ili kumuharibia mwenzao,mganga gani njaa anadai pesa jwenye vyombo vya habri,kama wewe mganga kweli mfanyie dawa akurudishie pesa zako sio kuchafua watu kwa aina hiyo,na nyie wa sanii acheni bifu fanyeni kazi badala ya kutunga nyimbo za kukutoa na kupata riziki ya maisha yako una anza kutafuta jinsi gani ya kumtungia uongo msanii mwenzio kumchafua,muogopeni mungu nyie fanyeni kazi acheni majungu.Na wewe mganga ukakubali kujidhalilisha redioni huna lolote Mchawai mkubwa wewe kuharibia watu nyota utachoma duniani na akhera!!Laana kum!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad