BOB JUNIOR AWACHANA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOJIUNGA NA CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kufuatia baadhi ya wasanii wa Bongo Movies na mmoja wa Bongo Flava kutangaza kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi huko Mbeya katika Maanzimisho ya miaka 37 ya chama hicho. Kumekuepo na mawazo tofauti kuhusu uamuzi waliochokua wasanii hao. Wengine wakisema kua wasanii hao wamepewa mshiko ili waipaishe CCM wengine wakisema kua walichofanya ni jambo zuri.

Leo msanii Bob Junior kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliamua kuwachana wasanii waliojiunga na CCM, alisema kua hakukua na ulazima wa wao kujiingiza katika siasa na pia alisisitiza kua hakukua na ulazima wa wao kujitangaza kua wameiunga na chama hicho. Moja ya kauli aliyoisema ni " muelewe kwamba iyo ni janja ya nyani kwani sio kuingia kila sehem mpaka watu wajue bongomoves so mjipange kwan mtaanguka kisanaa "

Itakumbukwa kua mwaka 2010 mwanadada Nakaya na msanii Marlow walijiingiza katika siasa jambo ambalo lililowafanya kushuka kimziki hadi leo hawasikiki. Msanii Marlow kupitia gazeti moja alisema kua anajutia kitendo chake cha kujiingiza katika siasa kwani kilimshusha sana kisanaa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mnatapatapa msiojua kitu kujiunga kwao nimoja yahaki ya msingi kwao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe,mtu kama msanii anachukuliwa kama muelimishaji wa jamii,kwa kwa kitendo hicho unajijengea madaraja wewe mwenyewe na kujipoteza,unatakiwa kuwa mtu asiyefungamana na upande wowote

      Delete
  2. M2 anaishi atakavyo co mtakavo kua mjanja bob j

    ReplyDelete
  3. Nashindwa kufahamu ivi itabidi tuanze kuuliza kila mtu anamiaka mingapi kuikanyaga mjini yani bongo darisalam mana kama mwenyeji huiulizi swali mara mbili !!!!!shekhe cjui ndo babu junia sijui ndo upumbavu gani unapokuepo bongo hakikisha mkono unakwenda kinywani tu cio kujaji nani kaingia ccm na wewe si ingia au nenta chadema uko kwa ilo bowe sijui bowe sijuindo dude gani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big up mdau! Umenena vyema. Mjini kila mtu na technics zake zakusaka maisha ilimradi usivunje sheria. Na suala la nani aingie chama gn ni jambo binafsi halihitaji mjadala wala nn. Huyo mbwiga anaeponda wenzake mbona hakuanzia kwa kina Sugu?
      Mijitu mingine bana hooovyo!

      Delete
  4. Ngoja waingie huko watakoma na mafilm yao hayo ya kingono wafikirie kabla ya kuchukua hatua watashuka kisanaa bila wao kujitambua na kuanza kutupiana uchawi wao kwa wao.

    ReplyDelete
  5. BOB JUNIOR NILIJUA UNAAKILI KUMBE NDIO WALEWALE MBONA AFANDE SELE ALIPOJIUNGA NA CHADEMA HUKUSEMA LOLOTE ACHENI UJINGA KUWA WANA CCM KUNAUHUSIANO GANI NA KAZI ZAO ZA SANAA HIVI KWELI NA WEWE KWA UPUMBAVU WAKO UMEONA CHADEMA NDIO CHAMA SAHIHI KWA LIPI CHADEMA NI WAFANYA BIASHARA SIO WANASIASA ETI SLAA ANASEMA NDANI YA MWAKA MMOJA TANZANIA ITAKUWA YA VIWANDA NA NYIE MNAONA NI KWELI ACHENI UMBULALA

    ReplyDelete
  6. Hv bob umesharudiana na mkeo? Au unakula kwanza ujana? Acha hizo this is world. The end of the day tunaacha kila kitu.

    ReplyDelete
  7. Kujiunga na ccm ni kuchemka vibaya kiusanii,anguko la ccm litawazoa wengi,wameisha hao!

    ReplyDelete
  8. Kijana wa leo kujiunga ccm ni kukosa kujiamnini na kua muoga wa kimaisha ukidhani kwamba kwa kufanya hivyo bas utayapatia maisha kiurahisi bila kujali unapojiunga ni mahala sahihi, bila kufikiri kwamba wew kama kijana ni wa muhimu kuleta mageuzi nchi hii kwani kuna mambo mengi hayapo sawa na ccm ndo kiini cha matatizo. Badala kutatua tatizo unajiunga kwenye tatizo. Sisemi wa2 waende chadema ila unaweza fanya mambo yako tu bila kujiingiza mahala na kipindi cha uchaguzi ukapiga kura yako mahala sahihi! Tatizo letu ni woga, unafiki na kutojiamini. Tutashuudia watoto wa wakubwa na vibaraka wao wakituongoza kila cku kama hatuacha woga na unafiki. M2 unajua ukweli lakini unachagua uongo kwa makusudi ili uweze kupewa kinafasi. Fuck y'all cowards

    ReplyDelete
  9. Hivi nyinyi mkoje? Kwann umpangie mtu maamuzi yake,wewe ni nani? Baba yake? Mama yake? Mkewe? Mumewe? Waacheni na maamuzi yao wenyewe,anaetaka mageuzi ajigeuze mwenyewe na uwaache wao na mambo yao. Haya ni maamuzi yao ndio maana ya demokrasia uhuru wa mtu kujiamulia mambo yake mwenyewe ili mradi acvunje sharia.

    ReplyDelete
  10. ccm ndo chama pekee u betta noe y'all mufuckas.. Chadema mbwembwe 2

    ReplyDelete
  11. Hilo senge tu! bob

    ReplyDelete
  12. Jamani mbona wasanii wengi tu wamejiunga kwenye vyama? Afande Sele,Prof Jay,Sugu wao kosa lao nini?

    ReplyDelete
  13. ufinyu wa kuwaza pumbafu

    ReplyDelete
  14. KIJANA KUJIUNGA CCM NITOKUWA NAUWEZO WAKUFIKILI, NCHIHI HAINA MADAWA, HAINA UMEME, KILA MAHALI NIMIGOGORO YA ARIDHI NA ELIM TUMENYIMWA! 2NADANGANYIWA SEKONDARI ZA KATA (YEBOYEBO) WALIM HAKUNA! HALAFU ETIKIJANA UNAJIUNA NA HAO MAFISADI HUYU UZEEN ATAKUWA MCHAWI! NANIZAIDI YAMCHAWI!

    ReplyDelete
  15. KIJANA KUJIUNGA CCM NIKUTOKUWA NAUWEZO WAKUFIKILI, NCHIHI HAINA MADAWA, HAINA UMEME, KILA MAHALI NIMIGOGORO YA ARIDHI NA ELIM TUMENYIMWA! 2NADANGANYIWA SEKONDARI ZA KATA (YEBOYEBO) WALIM HAKUNA! HAYAYOTE YANAFANYWA NASELIKAL YAMAFISADI! HALAFU ETIKIJANA UNAJIUNA NA HAO MAFISADI HUYU UZEEN ATAKUWA MCHAWI! NANIZAIDI YAMCHAWI!

    ReplyDelete
  16. Labda wanataka ubunge.

    ReplyDelete
  17. 8:44 bila shaka ww chukua chako mapema...........

    ReplyDelete
  18. wacha ushoga wasanii wanajitangaza wasenge bado wanafanikiwa achilia mbali ccm wacha kuwaharibia watu kazi na wao wana maisha yao wewe inavonesha maisha yako sio halisi unajibanabana bure wacha ufala ishi kawaida ucijipe tabu madhali huvunji sheria ya kitu chochote una haki ya kufurahia maisha yako usiwe rambo

    ReplyDelete
  19. bob kaongea ukwel nyhe wote mambulula, ccm wametafuta wa2 wanaojulikana ili kampen zao zinoge, hamkukosea kujiunga na chama chochote mmekosea kujtangaza
    ila siwalaumu njaa zenu ndo zmewapelekea kufanya v2 bla kufkr kwa danganya toto ya kuwa mtasaidiwa kazi zenu, mtabak palepale na makazi yenu yatazd kuibiwa labda muendelee kulogana na kuibiana nyota kama kawaida yenu!

    ReplyDelete

Top Post Ad