DIAMOND SI MCHAWI..BALI ANA JITAMBUA NA ANA WASHAURI WAZURI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii nguli  katika kuiga sauti za watu maarufu  MC Babu Ayoub aliyewahi kutamba na wimbo wa chaja ya kobe ameibuka na kusema mkali wa ngololo Diamond si mchawi.
Mkali huyu wa kibao cha chaja ya kobe  ambaye pia aliwahi kushiriki katika wimbo wa ndiyo mzee wa Prof.J alifunguka mbele ya mwandishi wetu.

ALisema “Diamond si mchawi ila anajithamini kama msanii,anajua umuhimu wake anajitambua na hata kama hajitambui basi anawashauri wazuri kwa maana ya menejiment.anajituma kwani anajua kucheza na muda na yuko kibiashara zaidi si kama wasanii wengine waliowahi kuhit,jamaa najua pia kucheza na media ,ukimpa nafasi hafanyi makosa.Aidha msanii huyu anayetegemea kuja na kibao chake kipya amedai msanii Diamond ana haki ya kuwa hapo alipo lakini pia itakuwa ni fundisho kwa wasanii wengine waliohiti na watakaohit.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We MC Babu Ayoub ndo zako kfagilia mastar ili wakbebe!fala 2 ww

    ReplyDelete
  2. barnaba anaimba mpk mishipa yashingo inatoka huyo domo kuimbaimba kidogo tuuu mihela hihaa tunguli inahusika sana kama nawewe babu umeishiwa sema au unamfagilia ili akuzawadie gali

    ReplyDelete
  3. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni na kila mtu ana nyota yake so usifananishe fulani kuimba hajafanikiwa na yeye D kuimba kakubaliwa hapo ni nyota 2 na kama mnjiona washauri wazuri waambieni hao wasiofanikiwaa watumie bac hizo tunguli mijitu ina roho mbaya haipendi maendeleo ya mtu mlizoea mtu akifanikiwa freeemason lakn sasa hivi anatumia ndumba hovyooo na nyie si mtumie kama zina faida

    ReplyDelete
  4. HANA LOLOTE MCHAWI MKUBWA

    ReplyDelete
  5. INAHUUU WALA HAI HUUU KAMA DILI NAWE ROGA UTOKE KIMAISHA BASI

    ReplyDelete
  6. nani kasema diamond mchawi? We babu ayoub nawe unatafuta kick nin

    ReplyDelete
  7. Diamond hana uchawi wowote bali ni mchakarikaji na ana management inayojua biashara.vijana msitegemee ndumba kutoka kimaisha mtalost.ndumba waachieni wazee wa enzi hizo ambao ulimwengu wao tayari ulishapita siku nyingi? Dogo diamond kaza buti tafuta pesa ila punguza umalaya utakufa kabla ya muda wako bila plan za Mungu halafu ulichokwisha kifanya kikakosa maana.

    ReplyDelete
  8. chezea domo wewe tumia tunguri nawewe kama unataka kutoka

    ReplyDelete
  9. Diamond anajua bhana,achen siasa dgo n mkal mbya!

    ReplyDelete

Top Post Ad