google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html HAYA SASA SEREKALI YATOA TAHADHARI KWA UPATU HARAMU KAMA ULE WA TELEXFREE | UDAKU SPECIAL

HAYA SASA SEREKALI YATOA TAHADHARI KWA UPATU HARAMU KAMA ULE WA TELEXFREE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Serekali imetoa tahadhari kwa wale wanao cheza michezo ya Upatu haramu ambayo sio uwekezaji halali ...Mfano ni kama wale Deci na sasa hawa Telexfree....Niliongea kuhusu hilo kwenye makali zilizopita na sasa Serekali nao hao ...Shauri zenu Sasa Akili Kimkichwa....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wapi joyce kiria na shamimu mamaa ya sembee muisome hiyoo..eti pesa za bure nyooo si muingize ndugu zenu na wakwe zenu ili mtarijike wenyewe vizuri..

    ReplyDelete
  2. Sasa kwa nini serikali isi wachukulie hatu hao Telexfree na how come walianza vipi vipi huu upatu wao haramu wakati serikali ipo inajua na awafanyi lolote it means watu na blogs kama hizi wasinge anza lalamika na kushutuka kwamba hao Telexfree ni fix yani wizi mtu basi serikali yetu ingekuwa kimya kabisa me I bet kuna viongozi wa juu wana big share kwenye hii Telexfree tats y serikali ipo slow kufanya kazi yake yani Tz imeozaa sana mpk kinyaa

    ReplyDelete
  3. na sisi wananchi wenyewe hatusomi tu masomo yote hayo yalowahi kutupata??? mfano DECI ilikuwa ni somo tosho. in short hakuna hela halali inayopatikana kiurahisi. we have to work hard

    ReplyDelete
  4. Shikamoo mange wangu

    ReplyDelete
  5. Shikamoo mama Bhokenzo

    ReplyDelete
  6. Shikamoo MANGE KIMAMBI hizi ndio huwa nyakati za wewe watu kukuelewa na umuhimu wa blog yako UNAONEKANA..Alichambwa saana alipowastua watu kuhusu utapeli huu wa Telexfree..Haya sasa ichambeni na serikali...SHAMIM MWASHA NA JOYCE KIRIA MPOOO????

    ReplyDelete
  7. Watanzania muache ushamba telexfree wanauza software na sio upatu kama serikali yenu inavyodai.Huo waziri wa fedha nae ni kilaza tu.Telexfree ni software ya VOIP(Voice Over Internet Protocol),ambayo unapiga simu kupitia link ya internet kama ilivyo Skype,Go to call,yahoo voice etc.Muwe mnafanya utafiti sio kila mnaloambiwa mnafuata tu.

    ReplyDelete
  8. Most of us don't give a f**** about what you people keep about Telexfree we will keep using it and signing in more people to join it "long stays Telexfree"...... To hell with all you who critisize it

    ReplyDelete
  9. Long live Telexfree

    ReplyDelete
  10. Serikali endeleeni kusema yote...... We don't give a fuck, tuacheni na Telexfree yetu, nyie endeleeni na pembe za ndovu na madawa ya kulevya, Telexfree hatuna uwezo wa kwenda kuua tembo kwaa ajili ya ndovu wala kupeleka madawa ya kulevya China. Sisi tukifanya hayo tunakamatwa kwasababu nyie hamkamatwi endeleeni huko na sisi tuendelee na Telexfree......(Big up sana Dada Joyce kiria)

    ReplyDelete

Top Post Ad