HII NDIO IDADI YA TEMBO WALIO BAKI MBUGA YA SELUU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meno ya tembo bado ni ishu kubwa na stori zake bado zinazidi kumiliki headlines kutokana na ukweli kuhusu wanyama hawa wanavyoshambuliwa na majangili mbalimbali,February 20 Meneja uhusiano wa hifadhi ya Seluu ametoa idadi kamili ya Tembo waliobaki.
February 20 2014 mara baada ya kukabidhiwa zaidi ya Milioni 42.5 kutoka hotel zilizopo Seluu Mr Benson Kibonde ambaye ndiye Meneja uhusiano wa mbuga ya Seluu amesema>> ‘Hali  hii si nzuri kabisa licha ya hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali’
Ingawa mpaka sasa haijatoka idadi kamili ya mbuga zingine jumla ya tembo waliuwawa lakini kwa mbuga ya Seluu peke yake imebakisha tembo 13,000 tu kutoka 70,000 waliokuwepo mwaka 1990 kwa mujibu wa Mr Kibonde.

Miongoni mwa sababu alizozi-amplify Mr Kibonde ni kuhusu majangili hao ambao amesema ujangili ni tatizo kubwa ambalo unafanywa na watu wenye fedha nyingi na wana mtandao wa kimataifa hali inayosababisha kazi hiyo kuwa ngumu.
Bado mbuga zetu za Tanzania zina changamoto nyingi ambazo miongoni mwa alizozieleza Mr.Kibonde ni pamoja na kufanya kazi kwenye mazingira magumu,mafuta ya magari kutojitosheleza, chakula na vitendea kazi vingine kukosekana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao tembo walio bakilazima wataisha! kwani tuliowapa dhamana yakuilinda tz nalasilimali zetu, haondio wanawaangamiza bila huruma! ninani atakaye walinda wakati viongozi ndio watuhumiwa?

    ReplyDelete
  2. hatuwezi kusema kazi ngumu kila siku! Watu wapigwe marufuku kuingia ovyo kwenye mbuga! Tatizo kubwa watanzania hatufuati sheria! Mimi nashangaa orodha ya wahalifu SERIKALI WANAYO! bali hawachukui hatua! Hakika ukimchekea nyani utavuna mabua!

    ReplyDelete
  3. tokea nazaliwa mpaka hapa nlipofikia sjaona wizara hata moja serikali imeiweza kuondoa kero bado zote zipo nyuma... Angalia sasa tunajimaliza wenyewe me sina mengi yakuchangia maana nimeumizwa na majanga na upuuzi wa viongozi watanzania kwa mda mrefu sana nachoweza sema ni wooooooooote kuanzia raisi mpaka serikali yake MOTHERFUCKER to them. Ni hilo tu ila kwa ushauri kama wameshindwa kuongoza kiuaminifu taifa letu wajiuzulu

    ReplyDelete

Top Post Ad