google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html HIVI HAWA WATU WAPO DODOMA KUCHUKUA POSHO AMA KUANDIKA KATIBA? | UDAKU SPECIAL

HIVI HAWA WATU WAPO DODOMA KUCHUKUA POSHO AMA KUANDIKA KATIBA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nina wasiwasi na uwakilishi wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, ninajiuliza je, wataweza kutimiza jukumu walilopewa na Watanzania na Rais Jakaya Kikwete la kusimamia mchakato wa kupata Katiba Mpya au la?

Wasiwasi wangu unasababishwa na jambo moja, kauli za baadhi ya wajumbe hasa ile ya kuanza kufikiria masilahi yao na kusimama kidete kutaka yatekelezwe bila kujali endapo yana athari kwa taifa. Wakiwa katika siku yao ya tatu, baadhi ya wajumbe walianza kuwatia kichefuchefu Watanzania kwa kulalamikia kiwango cha posho ya Sh300,000 na kutaka kiongezwe ili walau kifikie Sh500,000.

Ikumbukwe kuwa kila mjumbe wa bunge hilo anapokea Sh300,000 kama posho kwa siku awapo katika kikao cha bunge hilo.

Jambo baya zaidi ni kuwa wakati baadhi ya wajumbe wa bunge hilo wakidai nyongeza ya posho, tayari Watanzania walishaanza kuhoji iweje wapewe kiasi kikubwa hicho cha pesa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo nn mbona sijaelewa tushachoka na hii habari ni hivi posho haiongezwi hata kwa bunduki mtu anaeona posho ndogo afungashe virago kwani wasipokuwepo katiba itaachwa kufanyika kwendeni kule tushawachochoa manyambizi nyie

    ReplyDelete
  2. ngoja nkupe jibu wapo kuchukuwa posho kubwa na kununua malaya wooote waliohamia dodoma

    ReplyDelete
  3. HAKUNA CHADEMA CUF WALA CCM, WOTE WANAJALI MASLAI NDIYO MAANA UTUMIA WAGANGA NA KUONGA KUPATA KURA. UKIPUNGUZA POSHO ZA VIKAO UWEZI KUONA WABUNGE WANAOGOMBANIA VYAMA

    ReplyDelete

Top Post Ad