HUYU HAUSGELO SIMTAKI HAJUI KUPIKA WALA KUFAGIA ANAEMTAKA AWEKE COMMENT HAPA TUWASILIANE NIMKABIDHI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KATIKA MAHAUSGELO bom huyu wa kwanza hajui kupika wala kufua, sioni sababu hata moja ya kumlipa hii alfu hamsini kwa mwezi, anaemtaka anambie kwenye comment nimkabidhi maana nilimtoa kijijini kwao alipomaliza la saba nikajua atanisaidia kumbe hakuna kitu. Nirudishiwe nauli tu ya kumtoa kijijini. Asante kwa kunisikiliza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nani wa kula matapishi yako

    ReplyDelete
  2. Ushauri mpwndwa kama hakufai mrudishe ulipo mtoa.unaweza ukampa mtu mwingine alafu akapata matatizo,na kwao wanakujua wewe.uyo ni binadamu sio kitu ,kwamba ukiona hakifai utatupa au uta mpa mtu.kwako anaweza akawa hakufai lakini kwa wenye nao anathamani kubwa sana

    ReplyDelete
  3. Mi nataka housegirl kwel serious

    ReplyDelete
  4. mmmh npatie mimi maana

    ReplyDelete
  5. hata mm namtaka kwel...!

    ReplyDelete
  6. Mfundishe! Umeshasema katoka kijijini na darasa la saba, ulikuwa unategemea nini? Au unaogopa alivyoanza kunawiri?

    ReplyDelete
  7. Huyu mpumbavu mkubwa anayedhan mtu anauzwa. Angekuwa mtoto wa dadako ungemtafutia mtu wa kumchukua. Angalia utu wewe leo upo kesho ukifa nani ataangalia watoto wako kama hawatakuwa mahausigelo kama huyo. Mie pia ninae housgel hajui majukum yake kabisa ila namfundisha na najua atajua tu. Mrudishe kwao ww. Kuwa na utu,,,pesa mavi gan!!!

    ReplyDelete
  8. huyu kweli hana utu hata kidogo. na sidhani kama unaweza kuishi na dada wa kazi. kwa jinsi ulivyojieleza inaonyeasha una roho mbaya kama ya mkaanga sumu.

    ReplyDelete
  9. Nipatie phone no.unipatie huyo house girl m'y phone:0785-596604

    ReplyDelete
  10. Huyo muongo anawatia ujinga tu.

    ReplyDelete
  11. mimi nataka TIGO tu kama anatowa weka namba ya simu yake

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  13. namjua huyo house girl mcheki kwenye........chumbachaudaku.blogspot.com

    ReplyDelete

Top Post Ad