google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html JAGUAR NOMA..AWATOA JELA WALE WAFUNGWA ALIYO FANYA NAO VIDEO YA KIOO GEREZA NI | UDAKU SPECIAL

JAGUAR NOMA..AWATOA JELA WALE WAFUNGWA ALIYO FANYA NAO VIDEO YA KIOO GEREZA NI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki Jaguar wa Kenya Amefanya jambo la Maana baada ya kuwatoa wafungwa wawili jela ambao aliomba afanye nao Video ya Kioo Wimbo wake unao tamba sasa...Alifanya hivyo kwa kuwalipia Fine ambazo walikuwa wana dai na hivyo Serekali kuwaachia Huru....Big Kaka
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Big up jaguar May God bless u more and continue with helping the needs...sisi hao tunapepea huku tukiangalia kioo. love u

    ReplyDelete
  2. mungu akubaliki kaka

    ReplyDelete
  3. Kina diomond igen bac

    ReplyDelete
  4. Diomond kapeleka watoto shule,,,wakuiga Mfalme Mswati!!! Good job Jagur.

    ReplyDelete
  5. Me nataka mwanangu diamond anipe pesa ya biashara naombeni mnielekeze anapatikana wapi wanangu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nenda radio Clauds fm uombe kuonana na watangazaji wa XXL ukuwapata waeleze shida yake wanaweza kukukutanisha nae.nionavyo mm.

      Delete
  6. Big up bro ishi n iyo roho blessed

    ReplyDelete

Top Post Ad