JAYDEE AOMBA USHAURI KUBADILISHA JINA LA BAND YAKE, HATAKI TENA MACHOZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muimbaji wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee afikiria kubadilisha jina la band yake kutokana na machozi yaliyokuwa yakimliza kipindi hicho yameshafutika.

Amefikiria kubadilisha jina hilo la bendi yake na isiitwe Machozi Band kama ilivyozoeleka kutokana na sasa hatoe tena machozi kama ilivyokuwa hapo awali.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika hivi " Nafikiria kubadilisha jina la band sababu Machozi Machozi niliolia zamani yashafutika. Mnashaurije???" alitupia swali hilo kwa mashabiki wake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

25 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna haJa gan kubadilisha Jina? Kwan ukiendelea kuiita Machozi Band hata km haulii tena shida iko wap tulia tu dada ang hilo Jina halina shida yoyote bhana

    ReplyDelete
  2. Na aulize mambo ya maana Kwani alipoliita Hilo jina la Machozi alitaka ushauri? Na aamue tu vyovyote ni sawa sie tunataka mziki mzuri sio jina la band!

    ReplyDelete
  3. Mmh weke machozi yamefutika

    ReplyDelete
  4. Achageni usenge kwani kuibatiza alimuomba nani ushauri?

    ReplyDelete
  5. Furaha band, naona itafaa zaidi.

    ReplyDelete
  6. Andika Gadna band maana umemtawala mkaka wa watu kama umezaa wewe..!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli, mbaya zaidi haja kwenye kipindi chake mwanamke hata hana kauli za kike

      Delete
  7. SISTER NAKUSHAURI KITU, WEWE WEKA JINA AMBALO LITAKUWA MILIKI YA FAMILIA YAKO. MIMI NAONA KAMA UNGEWEKA JINA HILI

    GARDNER HAFURUKUTI BAND. AU BLOK 41 FEVER.

    HUO NI USHAURI WANGU TU KAMA SHABAKI NEVER MISS SHOW ZAKO

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbavu zangu mie.teh teh teh...eti jina gani...

      Delete
    2. full support ilo jina litafaa sana, maana ROSE MHANDO HAKUKOSEA KUIMBA - MWANAMKE MUBAYA

      Delete
  8. Makengeza bandi au jasho na damu band

    ReplyDelete
  9. DADA MJIN MACLAH MBELE

    ReplyDelete
  10. ushauri wangu acha kumbuluza mumeo uyo maliyoooo oye gadna maliyooo oye bend yako ihite gadna mariyoo

    ReplyDelete
  11. omba ushauri wa kupata mtoto miaka yote unawaza staree kuzaa uzai nyoko we unamtawala kaka watu ndo maan unenepi kwa roho mbaya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdai swala la mtoto acha kuongelea hujui anaumia kiasi gani na ameangaika Vipi mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu mseme kwa mengine sio mtoto hakuna mwanamke duniani hasiyetamani mtoto

      Delete
  12. Muache amtawale si mumewe we inakuuma nn? Kuzaa au kutokuzaa ni mapenzi ya mungu, pepo mkubwa we

    ReplyDelete
  13. we mdau apo juu nazan na wew unafuga maliyoo kama jide unamtetea unamjua miaka nenda rudi mtoto amna anawaza staree kahaba we shugamami mwenzie jide we kumanina

    ReplyDelete
  14. Yeye kaomba ushauri wa jina la bendi si vingine. Sasa hayo maoni mliyotoa kuhusu maisha yake ya ndoa yanauhusiano gani na mada kuu? Hivi unapoteza muda kuandika matusi wkt boriti kwenye jicho lako mwenyewe hujaitoa? Busara itumike kdg huna haja ya kwenda darasani kufundishwa busara.

    ReplyDelete
  15. aombe ushauri azae na aiite band jina la mtoto wake atakayemzaa...

    ReplyDelete
  16. aombe ushauri azae na aiite band jina la mtoto wake atakayemzaa...

    ReplyDelete
  17. Shetan wewe siyo bure, umuache miaka 800 komando wetu, punguza kisebusebu

    ReplyDelete
  18. jaman kuwen na busara kidogo,kaomba tu ushauri kama huwez kushauri kwa hekima piga kimya

    ReplyDelete
  19. kuzaa au kutozaa ni mapenz ya mungu,angalia nawe pia isikukute au isimkute ndg yako

    ReplyDelete
  20. jamani swala la kuzaa nimapenzi ya Mungu jide anaangaika sana kutafuta mtto kwanini ulopoke? wewe c Mungu. nakama anambuluza mumewe nimaisha yake , acheni chuki kwanini msiwaseme hao wengine wanaochuna mabuzi na skendo za ajabu? dada wawatu katulia. wote mlio mponda komando kumambuzi nyie tena wasenge wote

    ReplyDelete

Top Post Ad