JE ULISHAWAHI KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU ALIYEKOSEA NUMBER YA SIMU?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa kawaida binadamu tumekuwa tukiingia kwenye mahusiano ya kimapenzi katika mazingira tofauti tofauti mfano kwenye daladala,kwenye mkusanyiko wa sherehe,kwenye mazingira ya kutafuta elimu n.k.

Nia na madhumuni kutaka kufahamu je ushawahi kuwa na mahusiano na mvulana/msichana aliekosea namba kwenye simu yako ?

Na kama ushawahi je mahusiano yenu bado yapo hai au mmekwisha achana na mwenzi wako ?

Karibuni wadau tuweze ku share experience
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo hapo bado

    ReplyDelete
  2. mi kicheche mzee wa kumega na kutema ila nshawatomba weng

    ReplyDelete
    Replies
    1. usubiri na wewe ukimwi ukumege uone shwain wewe

      Delete
  3. Yes nilisha wahi na mpaka leo mimi na huyo mtu nimarafiki sana! Lol

    ReplyDelete
  4. Mi ilishanitokea na tupo ktk Ndoa sasa

    ReplyDelete
  5. Mdogo wangu aliolewa kabisa, na ana watoto 2 na huyo mtu.

    ReplyDelete
  6. Nilishawai na sasa nipo nae kwenye ndoa two yrs sasa..

    ReplyDelete
  7. nilishawahi na sasa nipo nae kwenye ndoa tuna miaka 6 sasa na mtoto mmoja

    ReplyDelete

Top Post Ad