AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akiongea na kipindi cha Showtime Next Chapter, Juma Nature aka Kiroboto amesema jina la ‘Dada Mondi’ lililofanya wengi waamini kuwa ni version yake ya Diamond, ni jina la msanii mwingine kabisa. “Hamna diss ya kumdiss Diamond, Diamond hajadisiwa,” amesema Nature. “Pale katajwa mtu mwingine kabisa anaitwa Dada Mondi na anakaa mitaa ya kwetu. Bado hajatoka halafu anataka sifa.”
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Xaxa kiroboto unamuogopa domo kiukweli SMS imefika kwakuwa anajishuku kumbe ni yy
ReplyDeleteNyote ushuzi xaxa we kiroboto hivi hapa tz no msanii gani anayependa mi sifa ka si domo kwa kuwa anajishuku SMS imefika kiukweli mi sfa linapenda
ReplyDeletekwani huyo dayamond ni nani mpaka asipondwe. anapondwa raisi ndo itakua yeye..mxiuuuuu.
ReplyDeletesafi hiooooooo kibla waelekeze kwanza diamond msenge tu toka atahiliwe hatulii....
ReplyDeleteujumbe umefika wala usijitete dom anapenda sifa sana
ReplyDelete