KAMA ULIKUWA HUJUI BASI HEMEDY PHD NA NAJMA SASA NG'ARE NG'ARE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimekutana na hizi picha za Hemedy akimbusu msanii wa muziki na filamu Najma na maneno yalioambatana na picha hizo yakizungumzia ndoa na harusi....Huenda sasa hawa ni mambo safi ...Najma alikuwa ni mpenzi wa Mr Blue zamani ......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bassawa....! Baada miez kadhaa utaskia mengine...

    ReplyDelete
  2. Kiruuu. Mahaba niueeee. mtazungukana sana

    ReplyDelete
  3. Umeona mdau hapo juu uyu demu ni jiran yangu khaaa ngoja niishie hapo

    ReplyDelete
  4. Naipenda sn hii couple kama ni kwli

    ReplyDelete
  5. aaah wp uyo dem ni mdogo ake nasra, uyo nasra kamuuza sana uyo najma nw ashakua sugu, + hemed=majanga! Ndoa hamna hapo

    ReplyDelete
  6. Hahaha wamependeza sana pamoja...nawatakiya kila la kheri

    ReplyDelete
  7. Ngoma itambae mm nabisha hodi

    ReplyDelete
  8. Mapenzi ya mastaa yerewi Masawe nirudishie chenji yangu,Nataka nikampe Manka anipe dove

    ReplyDelete
  9. Hakuna lolote hapo

    ReplyDelete

Top Post Ad