KAULI YA MWANASHERIA KUHUSU SAKATA LA OKWI KUICHEZEA YANGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe. Mgongolwa alisema watu wamekuwa wakipotosha kuhusu Sakata la mchezaji huyo "Hicho kipengele wanachosema kama amecheza klabu mbili kwenye mashindano husika haruhusiwi kucheza klabu ya tatu, kipengele hicho kingepata nguvu kama kungekuwa na zuio la muda, lakni hakuna zuio lolote, ndio maana Fifa wakamruhusu" source Mwananchi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mashetani mekundu yatalia tu, kila siku yanajaribu kuzuia Okwwwwiiiiii asikipige DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANN!!! watalia tu!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. rage keshakula hela ya okwiiiiii

      Delete

Top Post Ad