KINACHOWAPONZA WANAWAKE WENGI NI MAAMUZI DUNI KWENYE MAMBO YA MSINGI..ONA HII

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

LABDA HII ITAWASAIDIA:
Kinachowaponza Wanawake ni POOR DECISION MAKING IN CRITICAL ISSUES.
Unakuta mtu anajua kabisa ana Boyfriend Levi la Kutupwa,analala mtaroni kila siku,anafikishwa nyumbani hajitambui kafikaje,yeye yupo tu amekazana na Fanta yake..Unachumbiwa na kuolewa na hilihili levi,unasota nalo miaka 2 ya ndoa inakuwa kero...Ulimvumilia kwenye Uchumba coz hamkuwa mnalala pamoja,analewa na kutapika akiwa kwake na wewe uko kwenu..Sasa Mzigo ni wako,mko SAME BED..Anatapika hapo..Harudi home siku 4..Na hata akirudi yuko Njwii,hata 'kazi hawezi kupiga'
Unaenda kulalamika kwa Mchungaji kuhusu Tabia mbaya ya mmeo...YOU KNEW IT..Ukapuuzia na ukakubali kuolewa na JANGA...Mtabaki kusumbua Wachungaji na Wakwe kuwapatanisha wakati mlikuwa na Muda wa kujuana kabla hamjaamua kuishi pamoja
Kipindi cha Uchumba kitumie KUMFAHAMU VIZURI..Sio ukitumie KUMCHUNA,KULA BATA,OFA ZA KITIMOTO,TRIP ZA BAGAMOYO,KUMPIGA MIZINGA YA PERUVIAN HAIR..Ukasahau KEY ISSUES...Mmekaa miaka 6 ana watoto 2 na Wanawake wengine..Analewa na kulala mtaroni..Halafu analeta Posa unasema kuolewa ni Bahati.
Yakikushinda Usitusumbue...Sio kila POSA ni bahati,Posa nyingine ni kichaka tu cha kutua majanga yao...Your Decision TODAY will affect your TOMORROW...Think twice before you say YES to a Problem.
By Seth De Jesus
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ACHA USENGE WEWE ME C NDO NIMELIPENDA NA POMBE ZAKE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msenge wewe usoelewa.... ndio umelipenda mwenyewe na pombe zake sasa kila cku kwa mchungaji na wakwe kwa nini, nyoko mmoja wewe!

      Delete
    2. Yn wabongo mkiwezeshwa mnaweza

      Delete
  2. Dah mi mwanaume ila umenigusa kinoma mazee,umeongea ukweli an sio kila mwanaume utakae kuwa nae basi lazima akuoe wengine wanaletwa kwenu kukufundisha maisha tu,ila kuyajua yote haya inaitaji busara na kuwa mwerevu na shule kdg,ila kwa hawa wanaotombwa na kina daimond hawana huo upeo wa kufikiria haya..too bad to them...

    ReplyDelete
  3. watu wana akili finyu mschana hana ht shughul anataka olewa yan chupi ikitoboka anunue mume 7bu ndoa nyingne mke anadharaulika anaonekana tegemez sanaaa
    kuwa tegemez nusu bn nna kias hik niongezee kiac flan nifanye kitu hik unaheshimika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo ndo mnapokosea masela, mwanamke akishaolewa kazi yake ni kujiremba na kutombwa tu na mumewe na si kujihudumia, kupika, kufua wala kufanya kazi yoyote ile.

      Delete
  4. we nawe fala au,iategemea bana km anafaa kuwa mke na hana shuhuli c unamtafutia cha kufanya,ishu km hana uwezo wa kufanya iyio shuhuli na hafundishiki ndio tatizo,aende bongo movie tu,ila namini kwa wanaojitambua awez cosa means nzuri za kumsaidia mumewe,

    ReplyDelete
  5. bonge ya point asee kuna wanawake wasenge sn wanapelekwa na ynyew ipo tu mxiuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. Mlio kaa bado mnawaza kuna wanaume siku hizi poleni sana unaacha kufanya kazi kutafuta pesa kutwa na boyfrend akitembea na rafki zako unalia miezi kibao alafu unamsamee anakuoa anatembea nao tena wanaume ni viburudisho visivyo na guarantee fanya yako songa mbele utapata wa type yako tu.wanawake tunaweza

    ReplyDelete
  7. huwezi kuepuka watu wanabadilika kutokana na mfumo wa maisha.anaweza asiwe cha pombe but ndani ya ndoa aka-change.
    in true love, no body fall to a perfect guy but we learn to love a guy perfectly.

    ReplyDelete
  8. Truee aisee......! kuna mmoja hapa ana majanga yake namuangalia tu anafikiri nimekufa nimeoza atajuta kunifahamu. Come on girls fanyeni kazi, earn your own money..! wanaume hawana maana akitokea anaejielewa poa, ila hawa wa IG na FB sio wa kujipa nao stress kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad