KINGWEDU"NIMEJIPANGA VYA KUTOSHA KUINGIA BUNGENI 2015"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia mjengoni , Kuhusu chama atakacho gombea kwa sasa ni siri yake ila atakitaja mambo yakikaribia....
UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atakayempa kula kingwendu na yeye atakuwa chizi atutaki comedy bungeni sisi

    ReplyDelete
  2. Labda akagombee kwao huko burundi KWANZa si mtanzania !

    ReplyDelete
  3. tunahitaji binge la watu makini SI mzaha kama yeye.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ni div 5.sio binge ni bunge

      Delete
  4. kwa shule gani uliyo nayo ww mpaka uingie bungeni? usichekeshe walio nuna mwanawane.

    ReplyDelete
  5. Kwani profesa maji marefu ana elimu gani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. True! Bora huyu kuliko huyo deep water!!!!!!

      Delete
  6. bakari kitambulio4 February 2014 at 22:06

    mi naona watamchagua wendawazimu wenzake

    ReplyDelete
  7. acha kuish kwa ndoto kaka kama umeshndwa futuhi jaribu kitu kingine.TUNAJENGA UNA BOMOA PUMBAVU!

    ReplyDelete
  8. Unaleta comedy mpaka kwenye blog hiyo kula nani akupe? We bwege nini umechoka kucomedy sio,

    ReplyDelete
  9. Mbona Sugu kaweza........Bunge hili ni mipasho na udaku tuu..

    ReplyDelete
  10. ataweza tu, mbona nkamia kaweza, ntakupa kura angu kingwendu oyeeeeee

    ReplyDelete
  11. Nchi imefikia hapo,kwa kuwa wenye uwezo ,hawafanyi walichotakiwa,sana na yule jamaa alisema muungano wa ,,,,,, na zimbabwe hiyo haitatoka kwenye historis ya dunia.

    ReplyDelete
  12. sasa huyu na diva bora nan mwacheni mwenzenu ndoto n buree na ww uko free kudream...watanzania ndo mana hatuendelei ful kukatshana tamaa

    ReplyDelete
  13. siasa sio sehem yakutokea kimaisha jaman

    ReplyDelete
  14. kwani kigwendu kaanza lini futuhi jamani

    ReplyDelete
  15. ANAWEZA JE HAWA WAMEWEZA? AU HAWAKUWEZA? JUMA NKAMIA, SUGU, VICK KAMATA, KOMBA. MI NAMPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad