AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
- I MEAN WAPO WENGI SIKU HIZI HAPA MUJINI BONGO, ETI UTAFANYA TELEX MARKETING UTAKUWA UNAPATA USD $ 250 KILA WIKI, LAKINI LAZIMA UANZE KWA KUTOA USD $ 1,500 NDIO UWE REGISTERED HALAFU HUYO MHUNI ANAKAA SERENA HOTEL ILI KUKUNASA VIZURI WANAWATUMIA WABONGO VIBARAKA FLANI HIVI, JUZI MMOJA ALINIITA NIKADHANI KUNA DEAL KUMBE HAWA MBURULAZZ, PALE PALE NIKAMPA ZA USO, PEOPLE ACHANENI NA HAWA WATU FANYA KAZI!! ASUBUHI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hivi? Lemutuz ni nan hapa TZ?
ReplyDeleteNakumbuka mange kimambi aliposema watu wampe 15,000 na wafungue duka na duka Hilo liitwe bongolicious .Hivi huko USA Maisha ni magumu Sana yatakuwa
ReplyDeleteMpuuzi mkubwa ww,huwezi kuacha kumtajataja dada Wa watu?na Kama hukumuelewa piga kimya kima wewe.
DeleteMange ndo nani na anahusika vipi kwenye hii stori?
ReplyDeleteLEMUTUZ NI MBULULAZZ
ReplyDeleteKama huna hela kaa kimya. Biashara yoyote ni risk...........unaweza ukalima yakaja mafuriko au ukame and so on........We lumutuz kaa kimya acha wanaotaka kuinvest wajaribu we inakuhusu nn wakitapeliwa???
ReplyDeletejaman wandugu matapeli wapo sana juz wameniemail et nimeshnda cocacola award promo ya usa, et lakn natakiwa kulipa $499 ndo nipewe hayo mapesa, alafu hao majamaa wangu english ya kihuni ka wamarekan kwel, kaa chonjo.
ReplyDeleteBig up Lemutuuuuz kwa kuwa mkweli waache hao wavivu wa kufikiri na kupenda dezo waendelee kucheza cheusi chekundu Mburulaaaaaaz wakubwa hao.
ReplyDelete