LE MUTUZ LIVE TSRAIGHT TALK!!:- KWA WALE LE MBURULAZZ MSIOWEZA KUTUMIA AKILI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

@ LE MUTUZ LIVE TSRAIGHT TALK!!:- KWA WALE LE MBURULAZZ MSIOWEZA KUTUMIA AKILI SAWA SAWA NI KWAMBA HAYA MASHATI KAMA KWENYE HII PICHA NINAYO MENGI SANA KUANZIA YA MIKONO MIFUPI MPAKA MIREFU, SIO KWAMBA NINA SHATI MOJA KAMA MBURULAZZZ WENGI MNAVYODHANI NA NINAFANYA MAKUSUDI KUYAVAA KILA SIKU KWA NIA MOJA TU, NAYO NI KUYATANGAZA CAUSE UWE UNAPENDA AU HUPENDI MIMI NOW NI A BIG CELEBRITY AND I KNOW IT, SO!
- KESHO NINAONDOKA KWENDA WEST AFRICA PAMOJA NA MENGINE NIA NA MADHUMUNI YA SAFARI YANGU NI BIASHARA SO NAKWENDA KUTAFUTA BETTER MATERIALS KWA AJILI YA KUYABORESHA HAYA MASHATI YAWE NA GREAT SHAPE ZAIDI KWA SABABU TAYARI NIMESHAFUNGUA BIASHARA YA LINE YA HAYA MASHATI, NIKIRUDI NDIO NITAANZA RASMI KUYAINGIZA KWENYE THE BIG MARKET, AKILI NI MALI NA AKILI NI NYWELE, MIAKA 30 YA KUISHI KWA WAZUNGU WALINIFUNDISHA ONE THING MAANA YA UBEPARI NI KUTUMIA KILA KIZURI CHAKO NA HASA KIPAJI KUTENGENEZA MAHERA SIO KUTENGENEZA UJINGA! UJINGA! NILIPO VAA SHATI LA KWANZA LA AINA HII WANANCHI WENGI WALINIPIGIA NA KUNI-SMS KWAMBA WANAYATAKA SO NIKAAMUA KU-CREAT BIASHARA ON IT, ONE OF THIS DAYS UTAKUJA KUNIELEWA VIZURI KWAMBA EVERYTHING ARROUND ME WORKS FOR ME ON KUTAFUTA MAHERA NDIO UTAAMKA USINGIZINI, I PLAY!! I JOKE!! I BLOG! I POLITICS!! I MABEBEZ!! LAKINI ALWAYS MY GOAL HUWA HOW I CAN MAKE MONEY OUT OF ANYTHING AROUND ME!! SO KABLA HUJAFUNGUA MDOMO WAKO ON ME AND MY LIFE TAFAKARI KWANZA KAMA UNAJUA UNACHOKISEMA!!OK!! HA! HA! HA! JAMANI JIONI NJEMAZZZ!! - LE MUTUZ
Source:Wiliam Macela Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vp tena naona mipasho inaendelea hapa..

    ReplyDelete
  2. Bado sijaelewa...
    Hivi huyu Lemutuz ni nan hapa bongo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Trust fund baby .Mtoto wa waziri mkuu mstaafu balozi wa USA zamani

      Delete
  3. Huyu jibaba na elimu yake lkn uwezo wake wa kifikiri ni zero.Ukisoma habari zake nyingi kama zimeandikwa na mtu wa darasa la saba.

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha ha, kafilwaaaaaa, na hao wazungu, sasa anataka na Soko bongo

    ReplyDelete
  5. Mashavu, yale kama mapapayi, MxXxxiiuuuu KIBAMIA weee

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  8. Mbona mna chuki za wazi wazi acheni hizo. Lete kaka mashati nami niweke kwa duka langu mana ni mazuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wabongo too much negativity utawaweza

      Delete
  9. Achana na waja songa mbele mungu atakusaidia wanaotukana hawana kaz zakufanya so uc walaumu maana ndio kaz yao.

    ReplyDelete
  10. Jamaa ni jinga tu kila siku ni kulaumu watu wanao lisema wakati lenyewe ni #1 la kutukana watu na kutangaza kielimu chake sijui jamaa hangekua Eng,au Doc,watu wangeama Dar manake litataja Historia ya maisha yake kalibu kila siku mbili kwenye mitandao wakati watu wamesoma na wako kimya lenyewe shule lililosoma aina hata jina mwambie haitaje kama sio vichekesho hapo bongo nizile za Elimu ya watu wazima lingekua na Akili kama linavyo sema lisingekimbia watoto ni laana tupu kama baba yake halivyo litelekeza sasa linalipiza kwa watoto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh! Wewe unamfahamu kweli huyu jamaa. Maana hujakosea hata neno moja.

      Delete
  11. Le mutuz, hili jina ndo naliskia leo.jina limekaa kimagirini hivi..OMG!! ni nani hili jamaa, mnifahamishe? linaongea kwa nyodo lakini linahoja kwakweli.

    ReplyDelete
  12. Lemutuuuuuuuuuuuuuuuuzi!. Hili lijamaa noma.

    ReplyDelete

Top Post Ad