LINEX "ISSUE YA MIMI KUTOKA NA AGNESS MASOGANGE IMENISABABISHIA MATATIZO NA FAMILIA YANGU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi ulioenezwa siku kadhaa zilizopita baada ya kupost picha mbalimbali akiwa na video vixen maarufu wa hapa bongo Agnes Gerald aka Masogange.

Baada ya picha hizo kusambaa Linex alikana habari zilizoandikwa na baadhi ya blogs kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mrembo huyo.
“ni kweli watu wa blog mnapush sana kazi zetu but nimesikitishwa na habari hii iliyoandikwa na blog kadhaa mtasababisha tutashindwa ata kukaa na Dada zetu au marafiki zetu Uliza b4 Hujaandika ujinga am single na sina haraka ya kua na mpenzi.” Aliandika Linex kwenye akaunti yake ya facebook.



Kupitia Facebook jana mwimbaji huyo wa ‘Kimugina’ ameendelea kulalamika juu ya matokeo ya habari hizo za uzushi:
“Daaah Uzushi ulioenezwa na baadhi ya blog miyeyusho umesababisha Umenitofautisha na familia yangu ndugu jamaa na marafiki wish kama Mungu awafunue ndugu jamaa marafiki washabiki wangu waujue ukweli bado naendelea kupokea cm nyingi za maswali japo nilishaongea b4 kwamba sina mahusiano na Masogange daaaaah.”  

Credits:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa Linex kinachokusikitisha ni nini? Mssogange ni dem poa kuliko hadhi yako hata kama una vihela vya mboga bado dem huyo ni matawi kwako, so usingesikitika ungekanusha tu kwamba c kweli, sasa ww unasikitika as if umepewa kashfa wakati kiukweli umepata kik, acha ubwege.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ww kweli fala eti kapata kik, nani maarufu kati ya linex na masogange? Afu kutembea na malaya ka yule ni kujishushia hadh ktk familia

      Delete
  2. kiki kutoka kwa punda ama?we naye fala tu hamna cha kiki hapo zaidi ya kujishushia hadhi tu.

    ReplyDelete
  3. Huyu demu anafanya linex abazalilika kwan anaskendo nyngi chafu kitu ambacho ni tofaut name linex. Hata ningekua mm ningekanusha. Tako sio sababu ya linex kushushiwa hadhi yake eti kisa demu ana mashalah kwa nyuma ndo ashoboke noooooo!

    ReplyDelete
  4. Polee linex, mie hyo story niliona ni uzushi kabisa mana mshikaji wewe huna maskendo hayo

    ReplyDelete
  5. eti bado uko singo huna mpenzi lol! unasugua na sabuni au nn nenda huko cha ajabu nn

    ReplyDelete
  6. Huna lolote kinachokuliza nini au unatafuta umaarufu kwa stail hiyo hapo! Kaaah nyimbo hazitungiki nini Linex Inaonekana unfurahia kupata chanc ya kupiga picha na mtu Maarufu xo unatumia njia ya kujiliza ivi........jipange hii umechemka!

    ReplyDelete
  7. kuma nyie mlosema anatafuta kiki, huyo msichana nimdudu mabaya sana, lazima ajitete

    ReplyDelete
  8. Linex nilimuona mjanja kumbe bonge la boya ndio maana familia yako wanakuona hamnazo wewe huyo malaya mbwa umemuona dili kweli wewe bwege.

    ReplyDelete

Top Post Ad