LOWASSA NA WENZAKE SITA WAPEWA ONYO KALI NA CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Press Conference ya CCM imefanywa na Nape saa 8.... Issue ni kwamba wale vigogo 6 wa CCM wamepewa onyo kali, karipio na kwa maana hiyo watakuwa chini ya uangalizi maalumu kwa miezi 12 kuanzia jana kutogombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CCM... Lowassa, Ngeleja, Membe, Wasira, Januari, Sumaye... Uwezekano wa kugombea nafasi ya urais yaota mbawa?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo ndo ccm bwana chadema mlie tu

    ReplyDelete
  2. Hiyo ni ndoto muda wa huo unaisha kabla mchakato wa kupata mgombea wa urais ndani ya ccm haujafika.Hawawezi kumzuia Lowassa ktk harakati zake,ni kichekesho kusema eti wamezuiwa kugombea nafasi yeyote ndani ya chama mwaka mmoja wakati hakuna uchaguzi wowote ndani ya chama kwa kipindi hicho, hiyo ni kiini macho hakuna lamaana walioamua,wenye akili pevu tumeshaling'amua hilo.

    ReplyDelete
  3. CCM Kiboko, maamuzi sahihi. Ingekuwa Chadema hapo ni Usaliti, sijui umamluki na kadhalika halafu na kuishia kufukuzana fukuzana na kusingizia CCM uchawi. Tatizo la akili Ndogo kutawala akili kubwa. CCM wao hawajatafuta mchawi. Wamefikia maamuzi kiutu uzima. Kazi kwenu CHADEMA. CCM miaka 2000.

    ReplyDelete
  4. Really ?? Mdau hapo juu karne hii unaisifia CCM?labda kama ni fisadi ama ndugu yako yupo kwenye system.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndo hao hao weziiiiii wanajilimbikizia Mali mbulula nyie

      Delete

Top Post Ad