google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html LULU AKUMBUKA MAPENZI YA KANUMBA VALENTINE’S DAY | UDAKU SPECIAL

LULU AKUMBUKA MAPENZI YA KANUMBA VALENTINE’S DAY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori:  Mayasa Mariwata
WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni akikumbuka mapenzi ya jamaa huyo aliyetangulia mbele za haki.

Lulu alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) iliyosherehekewa duniani kote Ijumaa iliyopita.

“Kuna mtu natamani kumtakia Happy Valentine’s Day kwa kuwa nakumbuka mapenzi yake kwangu lakini kwa bahati mbaya siwezi kwa sababu hayupo na haiwezekani tena,” alisema Lulu.

Hata hivyo, alipobanwa amtaje, staa huyo ambaye ni sura ya mauzo ya filamu za Kibongo alikiri kuwa ni Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012, siku ambayo kamwe hawezi kuisahau maishani mwake. 
Credits:Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. http://VisitorsToCash.com/?invite=4137

    ReplyDelete
  2. out of topic mdau 2:56 am, mwizi mkubwa.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani we hujui? Huyo 2:56 nitapeli wa kufa mtu. Yy hana comments zaidi ya kufanya promo ya huo utapeli wake mmamae zake. Wabongo kwa kupenda shortcut watamegwa sana kwa kupenda pesa za bure.

      Delete
  3. Huyo 2.56 hapo juu atawapata wajinga manake hawakosekani..mi hata sija-click hapo manake najua ni utapeli tu.

    ReplyDelete
  4. Wee muongo umeclick

    ReplyDelete
  5. HUYU MKUNDU MALAYA JINI MTOA ROHO ZA WANAUMEE...MKIMBIEN...KWA WANAUME MNAOHITAJ KUISH

    ReplyDelete

Top Post Ad