MAAJABU:ANGALIA SEHEMU YA PUA KATIKA PICHA HII KWA SEKUNDE 15 ALAFU ANGALIA PEMBENI UNIAMBIE UMEONA NINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Embe na wewe Angalia Sehemu ya pua ya hiyo picha hapo juu alafu angalia pembeni mwa hiyo picha hapo kwenye weupe uniambie umeona nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu wa dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe muogope Mungu! Huyo kwenye picha ndio Mungu wa dunia!!??

      Delete
  2. I don't see a thing.

    ReplyDelete
  3. naona Kush heaven. Full kumoka kush kama kawaidaa

    ReplyDelete
  4. Picha kama unaiona tena halafu inapotea

    ReplyDelete
  5. Nimeona picha ya yesu

    ReplyDelete
  6. Nimeona picha then ikapote

    ReplyDelete
  7. Haaaa mtuuu au macho yangu? Ni nn hichi?

    ReplyDelete
  8. Nimeona picha ya yesu

    ReplyDelete
  9. Acheni uongo. Kwa walioenda shule kidogo hii ni michezo ya darasa la tatu(std iii). Just a matters of light reflection.!! Mfano ukiangalia sana jua kisha uangalie pembeni utaona kitu cha duara sawa na jua ulilotoka kuangalia. Kwanini hujiulizi hajaweka picha nyeusi.? Sababu rangi nyeusi inanyonya mionzi na rangi nyeupe au ya kang'aa inaakisi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nae sura ushuzi..shule unaijua....sura ya yesu ndo inayoonekana ambayo ni ya kila kiumbe,nyau we kasome tena anza std 1 na huo uzee wako kazi unayo

      Delete
  10. Hakuna kitu upuuzi mtupu.

    ReplyDelete
  11. Sijaona chochote cha ajabu.

    ReplyDelete
  12. hakuna kinachoonekana pembeni wapendwa muogopeni Mungu.

    ReplyDelete
  13. Kama unaona picha tens then inatoweka. Nyie division 5 elewen swali Kobe nyie

    ReplyDelete
  14. oohhhhhhhhhhhhh my god! love that.

    ReplyDelete
  15. nimeona tako lako ka sokwe

    ReplyDelete
  16. kuna picha inatokea pembeni lkn ni kutengeneza tu so siwashangai binadamu wanaobingana na mungu wala hawanishughulishi

    ReplyDelete
  17. nimeona picha ya yesu

    ReplyDelete

Top Post Ad