MIMI NILIACHWA HIVI..JE WEWE ULIACHWA VIPI NA MPENZI WAKO?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika haya mahusiano ya Kimapenzi, ktk kuachwa na wapenzi, nyie mliachwa kwa style gani? Mimi ktk mahusiano kadhaa niliachika hivi:


Kuna mmoja tulipendana sana, yaani sana, huyu nilisoma nae A- level, na kikubwa nilichomvutia ni upstairs, nilikuwa nakimbiza sana ktk combination yng ambayo na yeye, alikuwa anasoma! Tulikuwa boarding school, pamoja na mapenzi ya dhati ambayo nilipendwa na huyu kiumbe, F 5 na 6 sikuwahi kupewa papuchi.


Alikuwa na kauli yake "kuwa na subira J, katika siku ya ajabu, nitakupa vitu vya ajabu" Nilikuja kuachwa siku ya kwanza ya Orientation ya 1st yr kisa nilihoji kwa nini anaambatana na mkaka 1 na kila nikiwakuta wanaongea ki-external (kilugha) Niliambiwa mwanzo na mwisho wako leo kunifuatilia!


Huyu alikuwa wa kitaani Moro, nikiwa chuo DSM, alikuwa akija kuniletea papuchi! aalinipigia simu nirudi moro, kuna shida ya dharula, nikafikia hotel badala ya home. Alikuja kunipa penzi chupu chupu niwehuke! Kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 9, kila nikilala, naamshwa! mpk nikamuuliza ******** una nini leo? mbona si kawaida yako? Asubuhi akaniogesha kwa mara ya kwanza, tusharudisha chumba tunatembea, akanambia "leo home inasomwa barua yangu ya posa" nilikuwa natafuta namna ya kukuaga! Mimi hoi!


Mwenzangu , naomba kupata mbinu zilizotumika wakati unaachwa kwa namna 1 ama nyingine! Kama vp pita kimya kimya!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tulikuwa na uhusiano kwa muda wa mwaka, nilipikiwa dinner tukala tukashiba, tukatiana then akanishika mkono akasema sio wewe ni mimi babe.Ila wazazi wapinga uhusiano wetu so siwezi kuwa na wewe! Nilihisi kuzimia, nilikuwa nimesha mpenda..akasema nilale kwa vile ilishakuwa usiku sana then kesho ni bebe vyangu tusijuwane! Nilimsubiri kasinzia anakoroma, nilichana makochi na mkasi, nikaweka laptop yake kwenye maji, nikaweka matobo nguo zake zote, nikaimiminia tv yake maji , nikakata mapazia,nikaimwagia carpet yake maji..then nikanyata navitu vyangu nikatoka nje nikakwanguwa gari yake na ufunguo,nikatoboa mataili , nikafungua gas tank lake nikaweka chumvi,then nikajiskia fresh nikaenda kwangu. Hiyo ni miaka mi nne ilio pita mpaka leo akinionaga huyo kaka anataka kunipiga! Chezea feelings za watu wewe , ana bahati sikumuuwa! hehehehe

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mkali du kweli feeling za watu hazichezewe mtu anaweza kufosaro bure

      Delete
    2. Kabisa usichezee feelings za watu! Ukimtongoza mtu mwambie ukweli, me nakutaka kama girlfriend /boyfriend au nataka tuwe friends with benefits au na kutamani tutiane mara moja tu. Ila sio kuchezea feelings za watu!

      Delete
  2. USIULIZE ULIZE OVYO MAPENZ YA CKU HZ MOYO MGUM KWANZA

    ReplyDelete
  3. feeligs mbaya kweli,lkn why mtu usiwe mkweli tka mwanzo,unasubiri mwenzio kazama penzin af ndo unaleta ujinga..........ingekuwa mm ningemchapa makofi kwanza alaf nkasepa zang

    ReplyDelete

Top Post Ad