MREMBO AIBA SIMU NA KUIFICHA SEHEMU ZA SIRI: APEWA KICHAPO CHA HATARI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MREMBO mmoja mkazi wa Mabibo Makutano jijini Dar es Salaam (jina lake halikupatikana) mwishoni mwa wiki iliyopita alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na kudundwa baada ya kudaiwa kukwapua simu ya mwanaume na kuificha sehemu zake za siri.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, awali mrembo huyo alikuwa akila bata na mwanaume aitwaye Hashim kwenye Baa ya Jassun Inn iliyopo maeneo ya Mabibo huku mwanaume huyo akiwa ametandaza simu zake za kisasa juu ya meza.
 
Imedaiwa kuwa wakati wakiendelea kuponda raha, Hashim alikwenda msalani kwa lengo la kujisaidia na kuacha simu zake mezani, aliporudi hakumkuta mrembo aliyekuwa akiponda naye raha na simu yake moja haikuwepo.
Jasho lilimtoka Hashim na kuwauliza watu waliokaa jirani alikoelekea mrembo huyo,” alisema shuhuda mmojawapo wa tukio hilo na kubainisha kwamba msamaria mwema mmoja alimweleza Hashim mwelekeo wa mrembo huyo.

Bila kuchelewa Hashim aliwakusanya wapambe wake na kuanza kumtafuta mrembo huyo na wakamnasa mita kama 150 kutoka Baa ya Jassun na kumuuliza kuhusu simu iliyokuwa mezani lakini alileta ubishi.
- GPL  
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We msenge itakuwa umeishiwa habari..
    Hii habari ya kitambo sana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. acheni usenge nyi mikundu,mi mbona mi siijui kuma mae zenu.

      Delete
  2. We admn ni msenge sana!

    ReplyDelete
  3. acha kutupa habari za kale..kua up to date kwa matukio sio kukurupuka..

    ReplyDelete
  4. yanikama mjinga vle unazani tnasahau habari inamda kweli naww uliipost leo umeiludia jamani .

    ReplyDelete
  5. leteni habari mpya bana mikundu nyie!

    ReplyDelete
  6. We admin kama umekosa vya kupost piga kimya

    ReplyDelete
  7. We admin kama umekosa vya kupost piga kimya

    ReplyDelete
  8. hivi ukitukana unalipwa kwan

    ReplyDelete
  9. Ukame WA habari

    ReplyDelete

Top Post Ad