MSAADA:NAKUFA KWA MAWAZO KWA MESEJI HII NILIYOIKUTA KWA SIMU YA MPENZI WANGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenzetu nimekoma kuchungulia simu ya mpenzi wangu, Maana nimekuta message moja mpaka sasa nafikiria najiona kama mimi sijui mapenzi ....na nikizubaa ntaibiwa Gal wangu ..ki ukweli sijawahi mtumia msg tamu mpenzi wangu huyo kama hiyo na sina uwezo wa kutunga msg yenye mvuto...Nahisi ntaibiwa na wajuzi wa Mapenzi 
Meseji yenyewe hii hapa chini:

"Ki ukweli Mpenzi , Nakupenda kutoka rohoni na nimevutiwa na wewe kiasi kwamba natamani unipe moyo wako uwe wangu niutunze mpaka siku ya mwisho wetu, Nakuona kama furaha ya maisha yangu toka tuonane ewe malkia, Naomba usiniangushe naona matumaini ya penzi kwako, Nakuhaidi kukupa furaha katika kipindi chote tutakachokuwa pamoja huta juta kuwa na mimi, Nahitaji uwepo wako katika dimbwi hili la Mapenzi"

Mwee Nifanyaje? ..Nimeuchuna sijamwambia kitu ila Roho inaniuma
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. copy na ww umpestie teh teh teh

    ReplyDelete
  2. Uwiiii usishke tena simu elewa simu ya mwanaume haishikwi ni presha tu unapata huko

    ReplyDelete
  3. Wewe msenge kweli, unadhani mapenzi ni kumwandikia mashairi mpnz wako? mapenzi ya ukweli ni vitendo basi, mpende mwenzio na ajue unampenda na mwambie hivo, mtosheleze kitandani mpaka aishiwe hamu kabisa sio wewe ukimaluza basi unajiona kidume, mwisho msaidie shida zake kadiri ya uwezo wako, nasema kadiri kwa maana usiigize life ambayo huiwezi.halafu kuwa muwazi kwa kila kitu akujue vizuri who u r. Ukifanya hivyo hakuna mtunzi wa ngonjera atasikilizwa hata kama anajya kusoma utenzi kiasi gani, wanawake wanapenda mtu anajiamini, anajali, mkweli na anaemtosheleza kitandani basi, sio ngonjera.

    ReplyDelete
  4. Mhh makubwa, ila ngonjera hutamanisha madem wengi hilo la kutandani Ni stage ya 2

    ReplyDelete
  5. wewe bwege kweli ulifikili uko peke yako? ukitaka ya kumiliki yako kachonge kiwandani.

    ReplyDelete
  6. Achana na simu utaumia kaka mwanamke ni UA popote anachanua cha msingi mwonyeshe mapenzi ya kweli

    ReplyDelete
  7. Jamani naombeni msaada wadau mpz wangu jana kaona mag nachart narafikiyangu wa kiume ambaye ni kijana tuliwahi fanya nae kazi;huyo kaka alinisalimia na akanitumia picha ya vinywaji akaniambia karibu nikamuuliza uko wapi akaniambia yupo gheto kwa rafikiyake basimm nikamwambia siwezi kwa sababu nipo na mpz wangu baada ya hapo akaniambia poa hakuna shida.coz ananichukulia kama dada yake na mm km kk yanguna sijawahi kumvunjia heshima.baada ya hapo mpz wangu akashika cm yangu akaanza kunitukana na kuniita malaya akampigia cm mama yake akamwambia mama yake maandalizi ya mahari na haruc yasitishwe.nikampigia yule kaka aliyenitumia msg akaniambia ananiheshimu sn na yupo na demu wake tusizoeane na akagusia akasema mwambie mwanaume wako ajiamini na aache uboya kwani alinikuta bikra.basi jamaa kuona hiyo msg ndio akazidikunipiga nifanyeje naombeni ushauri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unapigwa na ndoa bado?!!!..makubwa...ukiingia je?

      Delete
  8. 4:06 AM.... Muahidi tigo atarudi!

    ReplyDelete
  9. Kweli kwa jicho ataendelea kukupenda na hatomwambia kamwe mamake!

    ReplyDelete
  10. Hiyo meseji ulioona kwenye simu ya mpenzi wako wala usiamaki ukaona huyo mwanaume mjuzi wa lugha za mapenzi ni UWONGO kakopi kwenye magazeti y GPL ata wewe ukitaka nunua hayo magazeti utakopi humo then uta send kwa swt wako na haswa GAZETI la ijumaa na siyo ijumaa week end linalotoka jumatatu, ucpate kihoro meseji zipo Za kumwaga unasoma mpaka unapata NYEGE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KWA HIYO WEWE UNASOMA HILO GAZETI ILI UPATE NYEGE?

      Delete
  11. Wote mikundu mnatiwa na baba zenu.kawapeni wao mikundu yenu kuma la mama zenu zinanuka shahawa

    ReplyDelete
  12. Ya Mama Yako Je Hainuki Shahawa?

    ReplyDelete
  13. Ngonjera mashairi ni kabla hujampata ukishampata ni ujuzi kitandani ndio utakufanya uheshimike/upendwe hata kama pochi ya kusuasua.....

    ReplyDelete
  14. shosti hapo juu pole saana,huyo mwanaume ni mkatili kwel lipi baya ulilofanya akulipe huo udhalilishaji wa mpk kumpigia mama yake?dah nakuonea huruma ila kama wako atajirud tu.Asipojirud let him go jipe moyo kuwa he was not yours.Wako atakuja tu.Jipe moyo

    ReplyDelete

Top Post Ad