MTEGO WA KUJIUZA WAMBADILI BABY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mwanamuziki Baby Joseph Madaha kunaswa na mtego wa kujiuza uliotegwa na gazeti hili hivi karibuni, mdada huyo anaonekana kubadilika na anadai mgogoro uliojitokeza kati yake na meneja wake, Joe Kairuki kutokana na tukio hilo umekwisha.



Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni msanii huyo ambaye ni kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri alisema, tukio lile limefanya ajifunze kitu na kubadilika kwake kumesababisha bosi wake amsamehe na waendelee kupiga mzigo.

“Kweli nimejifunza kutokana na makosa maana kunaswa kwenye ule mtego kumenigharimu sana lakini nashukuru nimesamehewa na mkataba ninaendelea nao, yale yamepita na sasa ni kazi tu,” alisema Baby Madaha a.k.a The Queen of Swaga.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dada muombe sanamungu akuondolee pepohilo badotnakupenda sana kuamwema kutakufanya ubarikiwe zaidi .

    ReplyDelete
  2. UKOME NA TAMAA ZAKO ZA UMALAYA PAKA WE KASORO MKIA

    ReplyDelete
  3. tabia ni ngozi ukijisahau utarudia hamna dawa ya umalaya ila tunakuombea pepo mchafu atoke na uendelee na vitu vya maana piga kazi

    ReplyDelete

Top Post Ad