MWEE...WADAU HIVI ZILE SHULE ZA VIPAJI MAALUMU BADO ZIPO ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Enzi mie nasoma palikuwa na shule za vipaji maalumu yaani tulikuwa tunasoma ili tuingie shule kama Tabora Boys,Mzumbe,Kibaha,Ilboru na Kilakala enzi izo zilikuwa ni shule maalumu kwa wanafunzi wenye akili ..aka vipaji maalumu .....na kweli yaani zilikuwa zinafaulisha balaaa....lakini siku hizi nasikia tu Marian Boys/Girls Sijui St nini mara Feza eti ndio zinaongoza kwa ufaulishaji , sasa swali langu je izo shule za vipaji maalumu bado zipo ??
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. zitoke wapi na siku hizi ukiwa na hela mwanao anasoma kipaji maalum chezea bongo elimu ndo inazidi kushuka na dv 5

    ReplyDelete
  2. zpo tu majina hamna kitu tena

    ReplyDelete
  3. Zitoke wap cku hiz hela ndo imegeuka kipaji

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanafunz wanaoenda ktk shule hizo wanavipaj.Larkin mazingra ya shale hizo yanaua vpaj vyao

      Delete
  4. Wote hao unawaona wanasoma shule hizi ni kwamba wazazi wao vipato vyao sio vya halali na mfumo huu tumeukubali.Tumeshajenga nchi ambayo haina maadili hata wale waliokuwa ni wasaidizi wa mwalimu walitegemewa kuwa wataendeleza haki na usawa kumbe wao ndio mafisadi wakubwa.Haiwezekani mtu ana wake watatu na ndugu 20 anaowasomesha kwenye shule kama hizi na analipwa mshahara toka serikalini au chama na pesa zikatosha,lazima kuna namna.

    ReplyDelete
  5. Siku hizi yamebaki majina tu hapa bongo pesa tu ndio inayotamba.

    ReplyDelete
  6. SIKU HIZI, WALIMU TU, WAMEKOSA UAMKO, WANADHARAULIWA KUPITA KIASI, ATAPATA WAP MOYO WA KUFUNDISHA KIKAMILIFU?

    ReplyDelete
  7. Kweli kabisa, hata hizo zinazofaulisha angalia idadi ya wanafunzi. Eti unalingaliza shule yenye wanafunzi 150 Div one 40 na shule yenye wanafunzi 30, Div one 29 Div two 1 eti ndo imeshika nafasi ya kwanza au ya pili Kitaifa. Bila kujua kuwa wale nanachukuwa wale wepesi kushika tuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad