MWIGIZAJI MAINDA HOI HOSPITALINI..MWENYEWE AJIFARIJI NA UJUMBE HUU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka kulitaja mara moja. 
SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO CHINI...

maindasmallbabyTrowback.......imebaki historia tu......maana magonjwa sasa hayana nafasi kwangu....nimejua kwa kupigwa kwake Yesu mimi nilishaponywa kitambo. Asante yesu kwa kuchukua udhaifu wangu,magonjwa yangu,unyonge wangu...na Umenipa Tumaini maisha yangu yote acha nikutumikie ipasavyo.japo najua nitakutana na vikwazo ila nitashinda coz wewe ulishafanya njia siku nyingi.mapambano yanaendelea huku nikizidi kukukili wewe Yesu kuwa ndie Bwana na Mwamba wangu....EMMANUEL:GOD with US.........
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole mungu atakusaidia utapona.

    ReplyDelete
  2. Ni ugonjwa gani huo unaomliza hivo?

    ReplyDelete
  3. Kwa hiyo anataka michango Kama kawaida Yao? Hujisifia Sana Na kuonekana kwenye club za usiku kila siku wakiumwa misaada, huo ndio umaarufu wa bongo.

    ReplyDelete
  4. msenge kweli amepata wp muda wa kupiga picha na kuz2pia instagram asi2zingue ana2igizia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajua maana ya throwback au hata hiyo ni tatizo?? Hajasema anaumwa leo kasema throwback.

      Delete
  5. HIZO PICHA,NI ZAZAMANI,NDIO MAANA AMEMSHUKURU MUNGU,KUWA TANGU AMFATE YESU MAGONJWA,HAYAMFATI TENA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amina, yesu ni njia na uzima

      Delete
  6. NGOMA HAIONGOPI KUMAMAKE,MCHEKI RAY ALIVYOKWISHA,TUNAMSUBIRI NA YEYE PIA AOKOKE,TATIZO LENU HAMUMJUI MUNGU HADI MUUMWE,UMAARUFU UMWAINGIZA SHIMONI!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jaman jaman imeandikwa usihukumu kabla haujahukumiwa, tena akasema ni nani aliye mkamilifu na arushe jiwe kwa mwanamke huyu

      Delete
  7. Matusi ya nn wew anony5:21? Hiv wew umepima. Acha kuhukumu wenzio. Kama anao au hana yey anajua. Katika ukoo wenu hakuna alowahi kuugua v.v.u. Kuwa na utu...matusi yako katukane wazazi wako labda watafurahi. Usihukumu...utahukumiwa!

    ReplyDelete
  8. NA CAROLITE AACHE PIA!

    ReplyDelete

Top Post Ad