MZEE MAJUTO APIGILIA MSUMARI KAULI YA KALA JEREMIAH.."SOKO LA FILAMU HALILIPI BONGO BORA NIKALIME"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mzee Small Ameliambia Gazeti Moja la Michezo Hapa Bongo kuwa Tasnia ya Filama Bongo Hailipi kabisa kwani walio shikilia soko wana Masharti magumu sana hivyo kujikuta msaanii hapati chochote ...Amezidi kusema kuwa ni bora aende akalime..Amesema kuwa akipata mfadhili wa kumpa Trekta basi atahama mjini na kwenda kulima kijijini...
Kauli hiyo inapigilia msumari kauli nyingine alie itoa msaani Nguli wa Bongo Flava Kala Jeremiah aliyosema kuwa hana sababu ya kuingia kwenye Tasnia hiyo kwani Hailipi hapa Bongo.....
Unaonaje ?
Udaku Specially.com 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona kichwa cha habari hakiendani na mhusika kwenye habari? Au mzee majuto anaitwa mzee small jina lingine?

    ReplyDelete
  2. Bongo ukanjanja every where!!

    ReplyDelete
  3. huyu babu cy nae

    ReplyDelete
  4. Bongo Movie ilikufa na Kanumba; ndiye aliyeileata kutoka Kaole na akaondoka nayo wakati mauti ilipomfika mapema kabla hajaifikisha alikokuwa akitaka kuipeleka. Mauti yalikatisha safari yake ya Hollywood ambayo ndiyo ingeleta mapinduzi makubwa sana ya Bongomovie wakati iwapo angerudi. Tangu Kanumba ameondoka sijamsikia mwana bongomovie yeyote akishiriki nje ya nchi kwa kuombwa zaidi ya Lucy Komba ambaye hana ubavu aliokuwa nao Kanumba.

    ReplyDelete

Top Post Ad