NAY WA MITEGO NA MPENZI WAKE MAMBO MOTO MOTO AMNUNULIA MKOKO WA NGUVU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 True Boy Aonyesha upendo alio nao kwa mpenzi wake kwa kumnunulia gari .....check hapa chini:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nami nakuwa mwana music mwaka huu. Kumbe music inalipa hivi!?

    ReplyDelete
  2. Anampenda kweli au ndipo anapolia ujana kwi kwi kwiiiiii!!!!

    ReplyDelete
  3. An old weary trick of using women to hit a punch line....

    ReplyDelete
  4. Haya bhana wamitego ila uwe makiin maana wengine wataweka mafuta na wapo watalitumia kwa matanuzi!!!!

    ReplyDelete
  5. Usichelee sana,hawana maana hao mda c mrefu analichukua

    ReplyDelete
  6. Hahaaa hongera brada ...kumbe biashara ya vinyago inalipa??????
    afu sijakuelewa @EtI super Women????? Sio super WOMAN?

    ReplyDelete
  7. Kaka angalia ucje ukawa unaonga gari wenzako wanapiga kisele 2 uswahilini hko ooh!

    ReplyDelete
  8. hakuna mapenzi ya kweli hapo!

    ReplyDelete
  9. jamani, amuoni hizo alama zao..... ?!
    na kwanini hasitumie "123" badala yake akatumia "966" ?!
    JUST CURIOUS nothin more!

    ReplyDelete
  10. #966 we run this way!tafakari chukua hatua!mmmmh!

    ReplyDelete
  11. mzee hapo umeniangusha,ma hiphop huwa hawaibiwi kirahsi na kujitangaza kama hivo,ck akikumwaga huyo ni bonge la aibu

    ReplyDelete
  12. hilo gari ungempa mamaako ningekuna bonge la mjanja

    ReplyDelete
  13. SIKU HIZI WANAWAKE HUWA WANANUNUA VITU WENYEWE,ALAFU ANAJIFANYA BABY JIFANYE UMENINUNULIA WEWE,TUWAUMIZE WATU,ZIPO HIZO,

    ReplyDelete
  14. Kweli mdau hapo juu huyu dada anapenda xana maflag kweli ilo gari kanunua mwenyewe ila anataka kumuumiza roho mke mwenza aliemfumania na kuxababisha aje mwanza.

    ReplyDelete
  15. Huyu siwema ana mambo ya ajabu kama mwezi umepita kapiga picha nyumba ya mtu hlf katupia insta kanaxema namshukuru mungu.waschana tuache ulimbukeni siunamuona wema anavyohaha now.

    ReplyDelete
  16. Kwikwi ney mwenyewe ana kialtaza sasa iyo harrier aipate wapi na juzi tu kaibiwa vifaa vya m.5 aliojiwa clouds

    ReplyDelete
  17. Jamani nisaidieni#966 ni nn pliiiiiiiiz

    ReplyDelete
  18. Ni code ya kula ujana na wew

    ReplyDelete
  19. YAANI DEMU WANGU NDO ANAONGWA GARI WAKATI NIMELIPIA JUZI TU NUSU MAHALI ?????????????????? YALAAAAAAAAAAA !!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. MUKAZI WANGE BOOOOOOOOOOOOOOOOOJOOOOOOOOOOO !

    ReplyDelete
  21. Ha ha ha mjini watu waongo Ney ana verosa nyekundu et kamnunulia dem lexus mil36 kiruuuu tumewashtukia nauongo wenuuuu au hamjafunzwa na Wema umeona alivyoumbuka?

    ReplyDelete

Top Post Ad