NI SAHIHI KUMUOA X-GIRL WA RAFIKI YAKO WA KARIBU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nilitokea kumpenda sana binti mmoja lakini sikuwa na uwezo wa kuingia kwenye uhusiano naye kipindi hicho na najua alijua kuwa nampenda lakini kulikuwa na vizuizi flani flani.

Binti alikuwa anakaa hostel ya mabibo na nina rafiki yangu sana walikuwa wanasoma naye baadae akamtokea jamaa kagharamia sana wakawa kwenye uhusiano, na jamaa akaniambia lakini binti hakuniambia coz wote nilikuwa nawasiliana nao, sasa nilionana na binti kanisani na nikamuuliza kuwa najua wapo na uhusiano lakini akaniambia waliachana miezi 6 iliyopita, baadae sanaa siku za mbele nikamuuliza jamaa naye akasema ni kweli waliachana japo jamaa ameongea kinyonge na kwa wasiwasi (nahisi kwa sababu alikuwa anajua nampenda yule msichana na inaonekana yeye bado anampenda sana na yeye ndio alimwagwa). 

Basi mimi nikawa nawasiliana na yule binti na kwa sababu nilimpenda siku nyingi nikamwaga sera zangu na binti kanielewa na kwa sasa tumeshaanza rasmi uhusiano japo kimya kimya, kusema kweli natamani kumuoa huyu binti lakini pia namfikiria huyu rafiki yangu, naombeni mnishauri wana MMU, je ni sahihi kumuoa binti aliyeachana na rafiki yako wa karibu?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bac jua na wewe atakuja kuku tombea rafikiyako utakaye mtambulisha kwake mana achagui duh kawaueni

    ReplyDelete
  2. acha uxenge wew kuma zko nyng xo we umeona aliyotomba mwenzako ndo tamu au?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuma zingine tamu ukitomba mara moja umenasa

      Delete
  3. Dah huyu mdemu huko kama nguva!

    ReplyDelete
  4. unafkir jamaa atakuchukuliaje? achana naye japo ni vgum bro coz utajenga uhasama usio kuwa na mantiki

    ReplyDelete
  5. Bwege hujiamini nawatafuta sana hao marriage material ntamuoa mimi huyo

    ReplyDelete
  6. nguva gani fala weee mada nyengine unaleta ishu za nguva..hahahahahaha...

    ReplyDelete
  7. mkaushie huyodematakuretea noma kwa mshikaji harafu ukimuowa sikumoja wata kurana mate narafikiyako mkaushie

    ReplyDelete
  8. Achana na uchinichini, kwanza mdokezee rafiki yako kuhusu mahusiano yenu. Utakachokiona kutoka kwake ndio jibu lako.

    ReplyDelete
  9. kula kitu roho inapenda hakuna cha mshikaji! kama ye katemwa au katema we haikuhusu, demu kesha kuambia yuko free hakuna lawama hapo tomba tu sana jembe tena jiachie nae kabisa kwani we sio wa kwanza achana na huyo rafiki yako.

    ReplyDelete
  10. Haukuuliza ushauri ulipoanza kulala naye, unauliza nini leo hii?

    ReplyDelete
  11. Usijari sana pen I kama makini uota popote cha muhimu mtaarifu rafiki yako kuhusu hilo na je mwanamke anakupenda kweli au anataka kumuonyesha/kumkomoa rafiki yako

    ReplyDelete
  12. Kama huyo rafiki yako anampenda huyo dada bado mi naona just do not marry.her kwasababu nung'uniko lake litakuwa kama laana kwenu na mtajikuta ndoa yenu inamatatizo mentioned.

    ReplyDelete
  13. Matatizo hapo sio huyo dada mwenye matatizo ni wewe, kwanini utembee na mpenzi wa rafiki yako hata kama wameachana? acha ushamba wanawake wazuri wapo wengi tena wanazidi kuzaliwa, tena wamejaza kuliko huyo unaemwita eti Nguva. Mwache mara moja.

    ReplyDelete
  14. Huyo binti achana naye mara moja, kama ameweza kutembea na wewe atashindwa nini kutembea na rafiki yako mwingine? hafai kabisa huyo, tafuta Nguva mwingine mbona wapo wengi tena zaidi ya huyo.

    ReplyDelete
  15. we tomba saaana hadi hamu yako iishe then mmbwage.

    ReplyDelete

Top Post Ad