NIMEKARIBIA KUFUNGA NDOA NA NILIMDANGANYA MCHUMBA WANGU KUWA MIMI NI BIKIRA, JE NIFANYEJE?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenzenu karibia yananikuta makubwa sijui itakuwaje natamani siku zigande....mimi ni msichana wa miaka 23 nilikutana na Mkaka mmoja mwaka umepita sasa tukawa wachumba akanitambulisha kwao na mie nikamtambulisha kwetu na kuanza uchumba rasmi lakini katika kipindi hicho chote wakati tunaanza nilimdanganya mimi bikira kaka wawatu akafurahi sana na kuahidi kutonigusa mpaka siku ya harusi yetu na kweli kaka wa watu hakunigusa mpaka leo zimebaki week mbili tufunge Harusi..na amewaambia wazazi wake waandae zawadi watakayo nipa baada ya kunitoa bikira siku ya Harusi tutakapofanya kwa mara ya kwanza , Eti atawapelekea shuka lenye damu alafu nipewe zawadi ya kujitunza, ki ukweli mimi sina bikira kabisaaa, ilitoka toka na miaka 15 , Naombeni ushauri hili litanitokea puani na kunipa aibu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya ww katombwe huko

    ReplyDelete
  2. Mweleze mchumba Wako ukweli kama kakupenda haitokua tabu ilakama hajakupenda jipange Kula kibuti, sea la shuka si tatizo ka hujatiwa mda mrefu akikutomba vizuri damu lazima itoke lands ka Una mkuma likubwa pwapwaaaa aka bahari

    ReplyDelete
  3. Usiwe na wasiwasi mm mwenyewe ni meoa kwakutegemea bikra na sikuiyona lakini niko na mkewangu mpaka leo usijali kwahilo.

    ReplyDelete
  4. Bora yako. Mimi nna miaka 24 na bado bikra...kila nkipata mpenzi anataka kunido..nkikataa ananiacha anasema hawez subiri mpaka ndoa ndo anitoe bikra. nakaribia kugive up lakini dada zandu wananiambia nijitunze tu ntapata mtu. sijui lipi ni lipi...niitoe yaishe au nimngoje huyo mwanaume atakaestahili kunitoa bikra baada ya ndoa.

    ReplyDelete
  5. Subir sikub ya honey moon. Asipoona damu mwambie ilitoka na baiskeli. Mi mwemyewe wakat natombwa first time damu haikutoka kwaajili ya kuendesha baiskel

    ReplyDelete
  6. Kamua limao 3 huko chini mara mbili kwa siku ndani ya wiki mbili ubikra utarudi

    ReplyDelete
  7. Kaendelee kutombwa!

    ReplyDelete
  8. Mm pia nliolewa bikira n cjawahi hata kupigwa kiss n mtu, bt nlivoolewa hata damu haijatoka bt nliumia n kulikuwa padogo. So kma sio kicheche jitunze mpka uolewe

    ReplyDelete
  9. Mpe mkundu alafu mwambie ukweli..ataelewa

    ReplyDelete
  10. Mshauri kuwa ulikuwa huna bikira ya mbele ila ya nyuma bado bikira haki ya nani atafurahia

    ReplyDelete
  11. Utunze bikra kwa ajili ya nani..mume..no.niliolewa bikra baada ya kumaliza Masters at the age of 26.ila ndoa chungu kila siku kusalitiwa sasa hiyo wamtunzia nani atakaekuja kukumbuka kuwa alikukuta bikra.

    ReplyDelete
  12. Tunza bikra yako mama.. bado wapo wenye imani ya kuoa bikira. na wewe mdada ulotoa hoja kama sio bikira mwambie ukweli mwenzako kabla hujaachika siku ya harusi......

    ReplyDelete
  13. Simpendi binti kwakuwa yeye ni bikra. Nampenda binti kwa ukweli na uaminifu wake nikibaini au nikahakikishiwa na ninaemuamini na anamjua kihakika...

    Ktk ulimwengu huu na zama hizi za globalisation hapatikani binti bikra kamwe, labda bikra ya kuunga kwa waganga wa jadi na wakunga.

    Mabinti wengi cku hizi huchakachuliwa hata hawajabaligh....

    ReplyDelete
  14. Uongo MBAYA....Nenda zanzibar uliza kwa SALEH MADAWA anaweka bikra za kupandikiza....ungeongea ukweli mwanzo yasingekufika....umeyataka.

    ReplyDelete
  15. Wengu humu mmeshaur vizuri nafk division 5 humu leo ni wachache

    ReplyDelete
  16. Mpe mkundu mwambie ulimaanisha unabikira ya mkundu atakuelewa tu.

    ReplyDelete
  17. ww tulia hakufanyi chochote

    ReplyDelete

Top Post Ad