NINA MWAKA KWENYE NDOA LEO NDIO NINAGUNDUA MKE WANGU ANA TATTOO YA JINA LA MWANAUME MWINGINE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari Wadau wa Udaku...
Leo nimeuzika sana wadau Asubuhi wakati napata morning Glory kwa Mke wangu nimegundua Kwenye Titi Sehemu ya chini ana Tatto imeandikwa "I lov u James" kwa Maandishi Madogo sana kama haupo makini unaweza usiyaone...Nimekaa nae Mwaka mzima Leo ndio nakuja ona Nilivyojaribu kumuuliza anakuwa mkali na kusema ni jina la Ex Wake kabla hajakutana na Mimi....Wadau Hapo Mnanishaurije ? Kila nikiona hiyo Tatoo Am Sure Mood zitakuwa zikiniisha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ifute Tu kama VP,akikataa ndo umshuhulikie

    ReplyDelete
  2. nawe muambie achore tatoo yenye jina lako kwenye titi lingine

    ReplyDelete
  3. Na wewe chora jina la dem wako wa zamani kwa herufi kubwa kifuani.

    ReplyDelete
  4. Km inafutika mshauri afute na umueleze ukiiona inakukata ctm km hatak piga tipa ,mbinue,mwage

    ReplyDelete
  5. mpe muda aifute mwenyewe akileta ubish ifute na pasi ya umeme.. .manina zake

    ReplyDelete
  6. Kufuta itakucost sana cha msingi ni kuchora kitu chengine juu ya iyo tat mbacho kita ziba iyo ya mwanzo. Sema apo panahitaji makubaliano kati yake na yako kwanza.

    ReplyDelete
  7. Nyie washauri wote safi sana.very funny ideas. keep itt up.

    ReplyDelete
  8. Kama kuna uwezekano wa kufuta , aifute na umuonye

    ReplyDelete
  9. Ili mradi umeona umeigudua, mpime kama ataenda kuifuta kwa hiari yake. Asipofanya hivyo mpige kibuti kwani " you can't make a whore a house wife - by mail man & snoop"

    ReplyDelete
  10. Mshaur aifute...! Alifanya kosa alitakiwa aifute baada ya kuachana na x-boy wake. Nadhan kama kwel anakuhitaji maishan mwake ataifuta haraka iwezekanavyo. Usimkasirikie bure...

    ReplyDelete
  11. Aifute kama inawezekana kama haiwezekan mtafute njia mbada ya kuyafunika hayo maandishi..

    ReplyDelete
  12. Sasa tattoo ya Ex wake kivipi??......Halafu mwaka ushapita, hata kuifuta??.....Dah!!.....Sasa sijui kinachofuata ni nini........Ndio tatizo la kuzuia Kuku wa Kienyeji!! Kazi kwako.

    ReplyDelete
  13. mwambie aifute, akikataa piga chini, w.wake ni wengi ackuzingue

    ReplyDelete
  14. Nyinyi wotevmliotangulia ni wasenge sana, ushauri gani mnampa mwenzenu au hamjaoa na kuolewa? Yeye kamkuta dem sio bikira na hata yeye sio hakuwa bikiri, inawezekana huyo dem alimpendaga mtu wake mpaka kuchora tatoo bt ni utoto tu au ulimbukeni wa mapenzi, then wakaachana, c ajabu anamchukia huyo jamaa kwa sasa ile mbaya ila kufuta tatoo sio kazi rahisi, na kwa vile imejificha akaona hamna haja ya kuizungumzia, sasa wewe umegundua ni kuongea nae ikaongezewe ili kufuta hilo jina na upime kwa akili ya kuambiwa na yako kwamba hio tatoo ilikuwepo bt haina maana yeyote tena au la ndipo uamue cha kufanya ila kitendo cha kuleta mambo ya ndoa yako kwenye blog ni dalili that u r stupid na ndio maana hujiamini hata kwa mkeo. Humu hutapata ushauri wa maana coz wachangiaji wengi hawako serious or they r just stupid like you.

    ReplyDelete
    Replies
    1. asante kwa taarifa fupi...kwa iyo wew ndo unajiona mjanjaaaa!?..watu bwana...huna ushauri kaa kimya...kukosoa ya wengine nini?...aliyeomba ushauri ndo anastahili kuchambua mawazo kadiri atakavoona linamfaa...mfyuuu..ovyoo.

      Delete
    2. 8:31 we mwenyewe fala sema ujijui.....no body is perfect mfyyy!

      Delete
  15. ulijuwaje wenzio ni wasenge kama na wewe c msenge? Unona umeongea la maaaana.

    ReplyDelete
  16. Chora na ww ya x wako

    ReplyDelete
  17. Ha ha ha haaaaa! W2 jamaniii

    ReplyDelete
  18. Kwa ushenzi chora ya x Wako kwenye uboo ukisimama maandishi yanakua makubwa lazima alie

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahaahaahaaaa.....kwa mtaji huo utakua huna mke wala galfriend na kama unae atakua anatombwa mpaka na kaka zako wa damu...sababu wewe huna akili. kumbe mkeo akikosa hata makosa ya zamani unamlipizia kisasi? so siku akikuta umelala na mademu wengi kabla ya kuwa nae na yeye akalale na wanaume wengi ili muwe sawa..????.foolish....

      Delete
  19. Aandike jina lako juu ya hyo tatoo

    ReplyDelete
  20. Aandike jina lako juu ya hyo tatoo

    ReplyDelete
  21. we 8:31 am , we ndo msenge manina zako, huna cha kuchangia kaa kando c kutukana wenzio, umejuaje watu wasenge km we c msenge mamae zako..... Mxiuuuuu

    ReplyDelete
  22. U re not responsible to ur wife. a year!? sensitive part?! or else she is cheating right now,chunguza nyendo zake todate.acha kubaka!

    ReplyDelete
  23. ongeza upendo kwake,ili asimkumbuke jamaa,Ila kufuta ni ngumu km unaweza umfute huyo jamaa kwenye moyo,wake hapo ndipo utakuwa ,umeokoa jahazi,ongeza upendo,na kumsaidia kisaikologia,na usipaniki,msaidie kazi toka nae,ajione anapedwa zaidi kuliko alivyo kuwa.

    ReplyDelete
  24. Hayomambo ya kuandika jina lam2wake kwenye titi! achananayo, coz ulimkuta nibikla? hatawewe ulikuwa namadent kibao! usimwache kwa ajili yavi2 visivyokuwa namsingi.

    ReplyDelete
  25. Wewe ni fala mwaka mzima haujamchunguza mtu sio dili.muombe tigo akikupa msamehe

    ReplyDelete
  26. Kwani na ww huna wapembeni mpaka mda huu? Au unaona wivu 2 mbona ww mpaka sasa unatomba ! Elewa nyakati hizi unatakiwa usiwe na mmoja maana mwenzako akikuuzi nani atakuliwaza? Mbona MBOWE anae wa kumfuta jasho akikasirika HOME, bus usishangae TAToo my Dear upo hapo!

    ReplyDelete
  27. Hamna jipya mnatukanana tu wakati hata hamuwajui acheni hzo matuc ya jini kama huna la kuongea keep quety n silence dont urgue with no reason

    ReplyDelete
  28. mtombe vizuri atalifuta tu!

    ReplyDelete
  29. kwani tatoo yenyewe ni ipi? ya kuchora inatoka lakini ya kuchoma kwa sindano na wino haitoki maisha sasa akili kichwani mwake kama kweli anampenda hivyo ni vitu vidogo ila achunguze kama kweli hana tena uhusiano na james, amsamehe aendelee na mkewe, jamani mbona wanaume unapenda kukuza mambo hv yeye angekutwa na tatoo ya hawara yake wa zamani au hata wa sasa angefanya nini? msilete mfumo dume hapa, kwangu sioni jipya hamtaki amwache wengine watachukua yaani asithubutu kumwacha

    ReplyDelete

Top Post Ad