google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html OSTAZ JUMA AMZALILISHA MWANAMUZIKI PNC..SIJAPENDA HATA KIDOGO...NAKUCHUKIA OSTAZ JUMA | UDAKU SPECIAL

OSTAZ JUMA AMZALILISHA MWANAMUZIKI PNC..SIJAPENDA HATA KIDOGO...NAKUCHUKIA OSTAZ JUMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na hii picha ambayo inasemekana Mwanamuziki PNC alikwenda kuomba msamaha kwa Boss wa Watanashati Bwana Ostaz Juma , Lakini Boss huyo akampiga picha PNC akiwa anaomba msamaha kwa magoti na kuipost hiyo picha kwenye mtandao wa kijamiii.....Huu ni udhalilishaji sana aiseee ....Sijapenda kabisa ikichukulia namjua PNC toka akiwa Mjini Mwanza na Maisha yake yalivyo ..Its so sad jamani ....Toa Maoni yako kama ni Sahihi ama Alikosea
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

41 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa wewe ustaz juma na musoma unaona ujanja kumdharirisha mwenzio tulijua mjanja kumbe mburura limbukeni wa maisha nimeamin kuishi mjini sio ujanja. Muone na suruali yako kama mgambo

    ReplyDelete
  2. kwani ye nani mpaka mfanye ivyo binadam mwenzie si ungana ye sio mungu

    ReplyDelete
  3. Ostaz jinga kabisa

    ReplyDelete
  4. Poa tu kwani kalazimishwa kupiga magoti? alichodhalilika kipi sasa.!!!!

    ReplyDelete
  5. Kwa dizaini hii wasanii wa bongo yawezekana hata kufirwa na hao maboss zao ni rahisi sana leo PNC kesho tutamuona DOMO kapiga magoti siku akinyanganywa funguo ya prado.

    ReplyDelete
    Replies
    1. weka baton ya KULIKE bhana.....point fulu

      Delete
  6. Kwani alilazimishwa kupiga magoti? Kajidhalilisha mwenyewe, kwa staili hiyo hawa wanamuziki wanawezwa kuliwa kisamvu.

    ReplyDelete
  7. Ki ubinadam SI poa anaesema poa akilini hajawaza kama angekuwa Ni yeye na Ni mwendawazimu

    ReplyDelete
  8. Acha upumbuv ww uliyesema domo atafuata yule ana hela kuliko huyo ustadh juma .achen chuk na kumwombea ujinga wako mtu mwingine.dua la kuku halimpat mwewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. arafu wewe kuma kweli nilijua unaakili kumbe matako aliomuombea dua nani watu imewaboa kumpiga picha na kuziweka mtandaoni au bwana wako ustaz juma

      Delete
    2. Wewe huoni kama unadhalilisha Wanawake? Au hauna mama mwenzetu? Hamna tusi linguine zaidi ya kuaibisha Wanawake kwani nyie hamna viungo?

      Delete
  9. Ubabaikaji wa maisha ndio umemzalilisha.cheo cha mungu unampa binadamu mwenzio nkt!chanuka wacha kuwa lofa kaka,nilikuwa nakuaminia lakini kwa hilo cjalikubali.

    ReplyDelete
  10. Huyo ustadh Juma ni mpumbavu kabisa maana huwezi kumfanya hivyo mwanaume mwenzio maana yake nini...

    ReplyDelete
  11. Hamna shida na yeye siku ya umrikiyama atadhalilishwa na M/mungu p we usiwaze hii nidunia

    ReplyDelete
  12. Kuna mishipa bila kumtaja domo kwny usenge hawajisikii vizur....ht km ndo mti wenye matunda basi uachen upumue ili uzae matunda mengine mazur kaah

    ReplyDelete
  13. Hata kama kaimbwa eti amebuma si sahihi kumpost mwezake hivyo.Kaombwa msamaha yeye kaona afadhali alipize.Bila shaka Ostadhi Juma ni illuminati.

    ReplyDelete
  14. Hii ni Aibu kubwa sana kwa PNC..
    Huyo ostaz aliwahi kumfanyia dogo janja hivyo hivyo!

    Sema hata hivyo wasanii wabongo mtafirwa hadi mkome wasenge sana nyie..
    Kwan we PNC huwezi ukatafuta management nyengine uka achana na hiyo ya mtanashati?

    Kwa kitendo hicho cha kukupiga picha huku umempigia magoti..
    ina onesha wazi hata akikuomba mkundu utampa!!

    ReplyDelete
  15. ww pnc lofa,tena lofa wa kjij achna na hyo MBWA,jkate kwnye mazngra hyo,kwan anawza kukufanyia k2 zaid ya hcho cku yeytne!

    ReplyDelete
  16. Pnc angeanza kutangaza kua yeye ndio kaombwa msamaha, ostaz juma mjanja sababu anawajua hao wasanii. Nyie hapa munaandika musioyajua imekula kwenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. naona kama mdau umeongra ingawa siwajui hawa watu

      Delete
    2. sio lazima ucomment sasa hapo ndo umeandika nin?

      Delete
    3. ujui unachoa andika ndugu yangu bora usi comment Ostaz mjanja ndio ujanja gani huo angekua anataka kufanya hivyo angeifadhi hizo picha angemsamehe siku Pnc anamgeuka angetoa kama ushaidi jamani eeh picha hizi hapa ushaidi
      huyo Ostaz ameshafanya hivyo ata kwa dogo Janja anapenda kuzalilisha bongo Flavor alafu mimi sioni kama anauwezo sana kivile mpaka akafanya ujinga huo ni fala tu na ulimbukeni hizo pesa za majini zina mwisho

      Delete
  17. yapo mambo mengi mtu unaweza kuyafanya yakakuendeshea maisha...muziki wa bongo niwakichoko sana lazima unyenyekee watu flani ndo ufanikiwe...we umeimba miaka miingi hujasave hata kamtaji unakalia kupigia sananume wenzio magoti...sijafurahia hicho kitendo japo kwa akili yangu siwezi kufikia kitendo alichofikia PNC...pole bro fungua akili changamka!

    ReplyDelete
  18. OSTAZ JUMA MUOGOPE MUNGU ...I swear for the name of God ukiendelea kuwadhalilisha wasanii hivyo utaisha kama mshumaa mungu yupo...

    ReplyDelete
  19. Hana Akili Huyo Ustaz Juma Not Fair At All

    ReplyDelete
  20. Pumbafu thana ww Ostaz
    Kwan huo uhostaz kakupa nan?
    F*k uuuuuuuu........
    Pesa zako zsiwe craa za kuwatesa wenzio bwana.....

    ReplyDelete
  21. Huyu Ostaz juma hana lolote wala si lolote kwa kitendo alichofanya si cha kiungwana yeye ni nani mpaka amfanyie hivyo binadamu Mwenzie yeye Mungu?? alafu sijaona alichonacho mpaka anakua na Jeuri hivyo huyo bwana mdogo mali alizokuwa nazo afikii ata robo ya uwezo alionijalia Mwenyezi Mungu lakini sipendi kujitangaza Magazetini na sipendi kumfanyia hivyo binadamu Mwenzangu akika Mungu ambaye anaona nafsini Mwetu ata muhadabisha kwa jeuri anayoonyesha wala sio Ostaz kama anavyojita huyo ni Kafiri tu jitu lisilo na ubinadamu nimechukia sana.

    ReplyDelete
  22. Fuck uu j wa musoma nd kumaaaaaa la mmko

    ReplyDelete
  23. Achana na huyo tapali njoo kwangu nitakufadhili pnc mie ninahela chafu kuliko huyo njoo ofisini kwangu t.r.a posta ulizia johnson

    ReplyDelete
    Replies
    1. Loh!! Una hela chafu johnson nipe bas na mimi mtaji nifanye yangu afu nitakurudishia

      Delete
  24. Uyo j msenge tu kwanza sura ka tofari imegoma kuiva

    ReplyDelete
  25. kwa utajiri gani!?huyo niwakufilwa tu kuma la mama yake...

    ReplyDelete
  26. imebuma ndo imeleta shida

    ReplyDelete
  27. Huyu ostadh juma ndio wale wale wakina Chief Kiumbe unampa mtu gari kwa hiari yako then unaenda kumdhalilisha kwenye vyombo vya habari, , mi nahisi kwanza alimlazimisha dogo apige magoti kuomba msamaha then akampiga picha ili airushe kwenye mtandao akifikiria kuwa watu watamuona yeye wa maana sana. Katika hali ya kawaida kuomba/kuombwa msamaha ni kitu cha heshima na furaha kwa wote wawili muomba na muombwa sasa inapofikia hatua ya kutoa picha kwenye mitandao ina maana aliyeombwa msamaha ni mnafiki na hapo hakuna msamaha.

    ReplyDelete
  28. hawana ujanja pnc ni kichwa ila kwa ustdhi wamefika wanaweza potea kumbuka 20 pacent suma lee jambo squad wote hawa wana tuzo ila hawataki kusimamiwa huyu alienda piga show ya fasta ostdh alikhwa hayupo hii ndo shida pnc utapotea kama upo kimkataba tulia ukikosa meneja utapotea c

    ReplyDelete
  29. Namuonea huruma pnc coz ni mpole mnoo..huyu ostadhi ni mdhalilishaji ana lolote kwanza nyie mmesikia wapi msaan wa ostadh yuko juu kazi kuwachukua kuwatesa kuwalipia viprodaction vyake uchwala basi hela zake za kuungaunga alimchukua dogo janja kwa mbwebwe mwisho wa siku kashuka tofauti dogo alivyokuwa tiptop alimchukua sharo hvyohvyo sharo kaja kufanya mziki mzur alivyochukuliwa na cloud na hk wa maisha club..mimi nakushaur we na dogo rudin tip top kaombeni msamaa kule mlikuwa juu sana..mwenzenu mb dog karud tena kwakupiga magot mbona awajamtangaza.. mziki wa bongo mgumu sana..ata uimbeje mpaka wenye media wenyewe waseme huyu awe juu ndo hvyo ufisadi adi kwenye mziki kwanza huyo ostadh meneja gani nae anaimba atawatoa nyie wakati nae anataka kutoka kakupiga mipicha anatafuta kiki tu kaona jina limepotea mshamba huyo muuza ngombe tu wamusoma mla mirungi hela zenye za kungaunga kwanza anauostadhi gani kafir na mwenyez mungu ata mfunza

    ReplyDelete
  30. wanamuziki jifunzeni kwa matukio kama haya.Hakika huyu jamaa ni mshamba kapitiliza aliona sifa kumbe ulimbukeni.

    ReplyDelete
  31. hahaha..!!daa
    ni shida kumpigia goti msenge msenge tu badala ampigie goti Mungu amsaidie anafanya upumbavu!!

    ReplyDelete
  32. wote hawana akili, alie ombwa msamaha na alie omba msamaha, wa kuombwa msamaha na kusamehe ni Mungu Pekee. amtegemeae binadam amelaaniwa. usijikweze ustazi maana kuna wakati wa kucheka na kulia.

    ReplyDelete

Top Post Ad